Naam,
Kijana zingatia sana unapohitaji kuoa basi usioe mwanamke aliyewahi kuachika, yaani aliyewahi kuolewa na mwanamume kisha akaachika. Usioe,.
Pia kama kaachika na mtoto au watoto huyo ndio USIOE KABISA, kaa nae mbali.
Unajua kwanini nimekwambia hayo? Basi tumia mda wako kusoma andiko langu...