mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Sio JF pekee itakuunganisha na mwanamke jaribu na nja hii..

    Una kila sababu na kupata umpendao... Pata wanawake wa mataifa mbalimbali na ongeza furaha hapa...
  2. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa Mwanamke kwa Mwezi mzima ana Siku 5 tu za Yeye kupenda 'Kungonoka' na zinginezo huwa anatimiza tu Wajibu kwa Mwanaume wake?

    Kama hii ni kweli Kitaalamu basi huenda Wanaume wengi tukawa tunatimiziwa nao tu Wajibu japo huwa tunajitutumua.
  3. JamiiForums Tanzania Sababu 4 zenye kufanya mwanamke anawachukia wanaume pamoja na kuyachukia mahusiano

    Ukiona mwanamke yeyote ambaye anajiita strong and independent woman,super woman, Wakanda forever, mwanamke wa shoka n.k nyuma ya hayo majina kuna maumivu makali sana moyoni ikiwemo msongo wa mawazo, kujichukia,kukata tamaa ya maisha . hivi sasa kuna ongezeko la single mother ulimwenguni kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Mwanamke ni nani?

    1.Mwanamke ni binadamu mwenye anafunguliwa biashara ya kuuza mboga na mumewe halafu kama mume amekosa pesa aambiwe mke chukua mboga tupike anakasirika na kusema mumewe atamfilisisha biashara yake anasahau kua alipewa hyo biashara ndio mume akikosa aweze kumsaidia na ukumbuke pia yeye atakula...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nafasi ya Uongozi unayoipata Mwanamke isiwe sababu ya kuharibu familia

    https://www.youtube.com/watch?v=BQDpwewcZEw Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Maadhimisho ya Miaka 10 tangu kuanza kwa mafunzo ya Uongozi kwa Wanawake Tanzania (Female Future Program) pamoja na Mahafali ya Wahitimu wa Awamu ya 10 ya Mafunzo hayo...
  6. JamiiForums Tanzania Ushauri: Hela ninazompa atunze zinakuwa pungufu bila maelezo ya kujitosheleza, nini kimejificha?

    Heshima kwenu wana jamvi! Niende moja kwa moja kwenye mada husika, Niliweka utaratibu kuwa kila siku nikirudi kazini nampa 10000 mwanamke wangu ambaye naishi nae na nilimkuta ana mtoto mdogo wa kiume mwenye kama miaka minne hivi na tunaishi wote watatu, hiyo hela haitumiwi hadi...
  7. JamiiForums Tanzania Mwanamke sio zigo

    Hili ni jina la hovyo kabisa ambalo wanaume tumewapa wanawake,ni upuuzi na utovu wa heshima kwa wanawake
  8. JamiiForums Tanzania Titanic inazama je utatoa nafasi yako ili umuokoe mwanamke

    Mara kadhaa tumekuwa tukipata kusikia kauli mbiu nyingi kuwa wanawake wana nguvu na uwezo mkubwa katika jamii. Ni jambo ambalo sikatai na kulikubali kwani linaongeza chachu ya maendeleo ndani ya jamii zetu. Ila sifa na mapambio yakiwa mengi tena wakati mwingine yakitumia maneno ya kutusi...
  9. JamiiForums Tanzania Kipimo cha mwanaume wa maana, na mwanamke anayejielewa kwa ajili yako.

    🔘 MWANAUME WA MAANA NA MWENYE UPENDO WA KWELI KWAKO; Utakutana nae kwenye nyakati zifuatazo, 1. Wakati wa kukupa mimba. 2. Wakati wa kulea/kutoa matunzo kwa mtoto wenu. 3. Wakati wa matunzo ya familia yenu kwa ujumla. 🔘 MWANAMKE MREMBO NA MWENYE KUJITAMBUA KWA AJILI YAKO; Utakutana nae kwenye...
  10. JamiiForums Tanzania Mwanaume akimpenda sana mwanamke husababìsha uwezekano mkubwa wa kuachana

    Kisaikolojia mwanaume huwa hapendi sana isipokuwa Mwanamke ndiyo ambaye huwa anapenda sana. Ikitokea mwanaume anampenda sana Mwanamke husababisha migogoro ya kimapenzi yenye kujirudia rudia, mwanaume huanza kulalamika, kususa,kununa, kutishia kujiua, kutishia waachane,kulia,kupiga magoti lakini...
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kujenga nae maisha

    Nina uhitaji wa mwanamke umri usiozidi miaka 30. Awe na uwezo wa kusimamia biashara, asiwe single Maza, nipo serious. Karibuni
  12. JamiiForums Tanzania Mwanaume wa kwanza kutumiwa pesa na mwanamke ni mimi siku ya valentine 💌

    Au kuna mwanaume mwingine uko katumiwa tujuane tulio pata wanawake wa hivi huyu si nione anaoneka sio kama wengine wa jf
  13. JamiiForums Tanzania Mwanamke akiwa na mkia anajiamini kuliko mwenye degree

    Eti ni ya kweli haya ? Naona reply nyingi kwenye nyuzi zangu kua wanawake waliojazia kwenda nyuma ndiyo kila kitu. Haya mtuambie mnayapendea nini matraaakoooo makubwa 🍑? Vipi wanawake wenye makalio makubwa, huwa mnapata special treatment kwa ajili ya maumbo yenu au ni usumbufu tu? PS: Sisi...
  14. JamiiForums Tanzania Kicheche anageuka wife material pale anapokuwa ni sexy na mesmerizing. Bandidu anageuka attractive pale anapokuwa na pesa na ushawishi

  15. R

    JamiiForums Tanzania Kwa research niliyofanya, Ukioa mwanamke kwao ni first born na kalelewa na wazazi wote ni wife material na wavumilivu

    Haya mambo hayana formula lakini tunachoangalia ni pattern, wanawake wengi wa kundi hili kuna vitu vingi wanafanana kwenye maisha ya ndoa. Conditions: Kwao wawe wawili au zaidi, watoto wa baba moja mama moja Awe kalelewa na wazazi wote, sio baba na mama walifarakana Kutakuwa kuna...
  16. JamiiForums Tanzania Dalili 5 za mwanamke kufika kileleni.

  17. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini yaomboleza kifo cha Mwanamke wa kwanza mweusi kuwa Nuclear Scientist

    Habari Wakuu! Mwanamke wa kwanza wa kiafrica kuwa nuclear physicist amefariki dunia tarehe 9/02/2025 akiwa na umri wa miaka 37. Mwanamke huyu anaitwa Senamile Masango ambaye amezaliwa mwaka 1987 katika kijiji kiitwacho Nongoma kilichopo Kwa Zulu Natal nchini South Africa. Masango alijiunga...
  18. JamiiForums Tanzania Nimeamua kumuacha mwanamke ninae mpenda sana roho yangu inaniuma sana

    Habari. Moja kwa moja kwenye mada Mnamo mwaka 2016 nikiwa form form five mkoa x nilibahatika kuonana na huyu binti mweusi, mrefu wastan, mnene kiasi na mcha Mungu mpaka sasa. Nilimpenda ikiwa ni sababu hizo alikuwa ananishauri muda mwingi kuwa mtu mwema na kumpenda, kumcha Mungu wakati wote...
  19. JamiiForums Tanzania Mwanamke akishaanza kuona hastaili kuteseka umalaya ndio unaanzia hapo

    Narrative kama.. "Sitaki nioelewe nimtegemee mume tu" "Nataka niolewe angalau na pesa zangu au kazi" "Niolewe bila ata kazi mume akifa ntateseka" "Sitaki niolewe then nipelekeshwe" Zimetengeneza single mothers wengi na wanawake wasomi wasiolewa mpaka miaka 30+..... Plus umalaya wa kutosha...
  20. JamiiForums Tanzania Maumivu Wakati Wa Tendo Kwa Mwanamke.

    Maumivu wakati wa tendo la ndoa kwa mwanamke hujulikana kitaalamu kama dyspareunia. Hili ni tatizo linalowakumba wanawake wengi kwa nyakati tofauti. Maumivu haya yanaweza kuwa ya muda mfupi au ya muda mrefu, na yanaweza kusababishwa na sababu za kimwili au za kisaikolojia. Leo katika mada...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…