mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Wanaume zijue siri ambazo hupaswi kumwambia mwanamke wako kamwe

    Huu ndio ukweli kila mwanaume anapaswa kuujua: 1. Hofu zako kuu. Leo anaweza kukufariji… kesho akazitumia kama silaha dhidi yako. 2. Kiasi halisi cha salio lako la benki. Siri = nguvu. Uwazi kamili = udhaifu. 3. Idadi ya wapenzi uliowahi kuwa nao. Haitawahi kusaidia. Itabaki kukutesa. 4...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Anne Makinda: Mpigieni kura Rais Samia, hao wengine hata mkiwapigia kura hawatashinda, kwanini upige kura ya kushindwa?

    Aliyewahi kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda amesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ni mwanamke wa kipekee mwenye akili na maono makubwa, kiasi kwamba hajawahi kumuona mwanamke mwingine mwenye uwezo kama wake. Akizungumza leo Juni 24, 2025, kwenye Jukwaa la...
  3. JamiiForums Tanzania Tukio lingine tena la mwanamke kujilipua bomu sokoni, Uganda

    Museveni siku hizi amelegea, makobaz ameyaachia yanaanza kuzagaa na yanamshika kidevu, hili ni tukio la pili mwanamke kujilipua bomu. Kuna lile la kwanza ambapo mwanamke na mwanaume walilipukiwa na bomu walilokusudia kutumia kulipua Wakatoliki waliokua wamekwenda kuhiji. Halafu hili soko...
  4. JamiiForums Tanzania Mwanamke ana funguo ya sex. Mwanaume ana funguo ya ndoa

    Mwanaume ni gatekeeper wa ndoa. Wakati ukifika ndie atakaemua amuoe nani kwenye orodha ya machaguo yake. Hakuna ndoa bila maamuzi ya mwanaume. Mwanamke ni gatekeeper wa sex. Ndie anaemua afanye tendo na nani kwenye orodha ya machaguo yake. Hakuna sex bila maamuzi ya mwanamke, vinginevyo awe...
  5. JamiiForums Tanzania Wakati wa Kukiss kama mwanamke unataka mkono wa mwenzako uguse wapi?

  6. R

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ajiua na wanawe (4) kwa sumu kisa mke mwenza kajengewa nyumba

    Katika tukio la kusikitisha na kuzua maswali mengi kwa jamii, mwanamke mmoja aitwaye Kangw’a Tungu Mahigi (25), mkazi wa Kijiji cha Lugubu, Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, amefariki dunia kwa kunywa sumu aina ya Ruruka 80 WDG, inayotumika kuua viwavi jeshi vinyamizi — huku pia akiwanywesha...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke wa kunichezea na kuniharibia uvulana wangu.

    Nahitaji mwanamke wa kunichezea ,kuniharibia maisha na uvulana wangu.
  8. JamiiForums Tanzania Ninahitaji Mwanamke Tasa (Mwanamke asie na uwezo na kushika mimba na kuzaa)

    Naenda moja kwa moja kwenye maada. Nina miaka 33, kabila langu (siri), kazi yangu (siri) na mkoa ninaoishi kwa sasa (siri) ingawa ni kanda ya ziwa. Nina watoto wanne, wakiume wawili na wakike wawili pia. Watoto watatu nimepata kwa mama mmoja na mmoja nimepata kwa mama mwngine. Mzazi mwenzangu...
  9. JamiiForums Tanzania Mwanamke aliyeathirika

    Yupo Hapa kijana ana Age 30 Muathirika Anahitaji Mwanamke wa kuwa naye kimahusiano hadi ndoa Uwe serious na mwenye kujimudu kiuchumi Njoo Pm niwakutanishe Yupo Arusha
  10. JamiiForums Tanzania Moja ya madhara ya kijana kuyajua mapenzi ukubwani ni Kuhonga na kumnyenyekea Mwanamke

    Nipo Salama! Salama! Sijui ninyi huko. Sio rahisi kijana ambaye ameanza mapenzi wakati wa balehe yake akikikua akaanza kuumizwa umizwa na mapenzi. Au ukamkuta anahonga au kupelekeshwa na wanawake. Asilimia tisini na tisa ya wanaume unaowaona wanahonga au kupelekeshwa na wanawake kwenye...
  11. JamiiForums Tanzania Vijana wengi wa kiume wana "overplay" nafasi zao katika maisha ya mwanamke

    Michepuko imeheshemishwa sana siku hizi, nafasi yake ni kahaba alie changamka ila vijana wana wapa privilege. Vijana wanaiga ngozi nyeupe kupigia magoti wala ugali wenzao. Vijana wanababaika na matako manene kupelekea kufanya ya ajabu ajabu.
  12. JamiiForums Tanzania Msongo Wa Mawazo: Athari za msongo wa mawazo kwa mwanamke

    Msongo Wa Mawazo Ni Nini? Msongo wa mawazo ni mfadhaiko wa akili anaoupata mtu kutokana na shida, taabu, dhiki, matatizo au changamoto zinazomkabili katika maisha ya kila siku. Kwa kawaida mtu hupata msongo wa mawazo pale anaposhindwa au kukosa namna ya kukabiliana na jambo linalomsumbua...
  13. JamiiForums Tanzania UK wachagua mkuu wa ujasusi Mwanamke

    Shirika la kijasusi la Uingereza, maarufu MI6 litaongozwa na mwanamke kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka mia moja 16 ya uhai wake. Blaise Metreweli, aliyejiunga shirika hilo mwaka 1999, atakuwa mkuu wa 18 akichukua nafasi ya Sir Richard Moore baadaye mwaka huu. Kwa sasa anahusika na...
  14. JamiiForums Tanzania Katika kosa ambalo hutakiwi kufanya kama Baba ni Kuogopa Mtoto wako Kupewa Sumu na Mwanamke. Toto jingajinga Fukuza. Usibabaishwe wapuuzi wasiokutii

    KATIKA KOSA AMBALO HUTAKIWI KUFANYA KAMA BABA NI KUOGOPA MTOTO WAKO KUPEWA SUMU NA MWANAMKE. TOTO JINGAJINGA FUKUZA. USIBABAISHWE WAPUUZI WASIOKUTII Anaandika, Robert Heriel Mtibeli! Wewe ni Mwanaume, sasa ni Baba. Usiwe dhaifu kiasi cha kufanya vitu ili kutafuta validation kuwa wewe ni...
  15. P

    JamiiForums Tanzania A woman above 30 yrs is seriously needed:

    Succeeded,with all thanks Be blessed
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini mwanamke huwa anajuta sana baada kuachana na mwanaume mwema sana kwake

    Kwa wanawake wengi hujikuta wanapoteza hisia za mapenzi kwa mwanaume ambaye ni mwema sana,mpole sana, mstaarabu,hapendi ugomvi wala migogoro,mwanaume mwenye kuomba msamaha mara kwa mara hata kama makosa amefanya mwanamke,mwanaume mwenye kujitoa mhanga sana kubadilisha maisha ya mwanamke,mwanaume...
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa bikra

    Natafuta binti bikra ili Mungu akijalia awe mke wangu. Vigezo Umri: miaka 21 hadi 26 Rangi: Mweupe Dini: Mkristo na mwenye hofu na Mungu Elimu:Chuo kikuu Ambae anajijua ni bikra au anamjua binti ambae ni bikra karibu inbox tuyajenge. Nipo serious
  18. JamiiForums Tanzania Nikifanya hiki kitendo kwa mwanamke, nini kitatokea?

    Mimi nina mazoea ambayo sijui kama ni mazuri au mabaya. Nikipiga bao lazima nikojoe pia mkojo wa kawaida kusafisha njia. Sasa kuna mademu wengi wanataka nikimaliza niiashe mashine humo humo ndani iki shtuka shtuka wakati inaendelea kutema nyongo. Wanajisikia raha. Kitendo kinachofuata kwangu...
  19. JamiiForums Tanzania Nitaoa mwanamke mshamba

    Wazee wa kazi Hamjambo? Mimi kama mimi nitaoa mwanamke mshamba wazee wangu, wanawake wajanja nawaachia nyinyi aisee Unaoa mwanamke anajua kilakitu instagram anajua yeye page zote za umbea amezifollow tamthilia za azam anangalia zote kuanzia saa 10 mpaka saa 6 za usiku, youtube anajua mpaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…