mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Hakuna nyakati ambayo mwanamke alishindwa kuzishinda limitation za mwanaume. Kwa wakati huu hii ndio silaha yao na hakuna vita itakayowashinda.

    Kila enzi mwanamke aligundua namna ya kuushinda ungangari wa mwanaume Yule Jamaa wa "Ooooh kabla sijajenga nyumba yangu nataka nikarabati ya wazazi" sasa hivi anatuma kodi ya miezi mitatu ya huyu tipwa tipwa 🤣 Najua Poor Brain anaelewa nachokimaanisha🤣
  2. JamiiForums Tanzania KITAA INTELEJENSIA: Wanaoongoza kula wake za watu.

    1: Doctors 2: Marafiki wa mitandaoni 3: Headmasters/Mwalimu wa mwanao 4: Boda Boda 5: Boss wake kazini 6: Garden boys 7: Graduate alieko kitaa muda wote 8: Mfanyakazi mwenzio 9: Mpangaji mwenzio/Jirani 10: Wachungaji/Manabii feki/Mashehe ubwabwa 11: Wauzaji dukani
  3. JamiiForums Tanzania Kijana usikurupuke kuoa mwanamke usiyemjua vizuri

    Salamu za nini wakuu! Bado niña hang over za Kwanini wale ndugu wamefungwa goli chache Jana. Wanaweza rudisha Zile aisee! Niende moja Kwa moja kwenye mada. Kwa wale Vijana Ambao wanataka kuoa epuka sana kuoa mwanamke Kisa HISIA ZA MAPENZI na KISA KAKUTUNUKU TUNDA ukadhani unapendwa. Kuna...
  4. JamiiForums Tanzania If I Were Not Who I Am Today! — Kama Nisingelikuwa Niliye Leo!

    Kama nisingekuwa niliye leo, huenda nisingeweza kuandika maneno haya kwa uhuru, kwa undani na kwa kujiamini. Huenda ningekuwa mtu wa kukata tamaa kwa urahisi, ningeishi maisha ya kuigiza, nikijaribu kufurahisha kila mtu isipokuwa nafsi yangu. Lakini niweza kukua, kujifunza, kuanguka, na kusimama...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mwanamke aliyetoa Mimba ana nuksi balaa

    I will be short ukitaka nuksi, tembea na mwanamke aliye toa mimba, yani amna kitu kitaenda, kama ni business kila siku mambo magumu, ukiajiliwa ndo kabisa, life utoboi wanawake wengi walio toa mimba ndo wanaongoza kwa nuksi mjini, Kama unabisha test zali, kama una demu ukipiga tu napata shida...
  6. JamiiForums Tanzania Son Heung-min afungua kesi dhidi ya Mwanamke aliyedai ana ujauzito wake

    Mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Son Heung-min amefungua kesi Polisi dhidi ya Mwanamke ambaye alidai ana ujauzito wa staa huyo wakati sio kweli na kwamba alifanya hivyo kwa lengo la kupata fedha kutoka kwa Son. Wanasheria wa Son wanadai Mdada huyo alitoa madai hayo Juni 2024 na akataka fedha...
  7. JamiiForums Tanzania Je, umewahi kuwa na mahusiano na mwanaume au mwanamke Asexual?

    Umewahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume au mwanamke ambaye hapendi ngono. Yaani sio muoga kwa sababu ya dini au nini ila hapendi tu ngono na hata ukifanya naye anaonesha kama kinai au hatoi ushirikiano sana; yaani anaweza akawa anakupenda romantically lakini kimwili hapendi...
  8. JamiiForums Tanzania Mwanamke wa kwanza kuniliza machozi

    Ni kule kwenye ile wilaya ya mkonze,ni miaka mingi sana imepita,kipindi hicho nipo kidato cha kwanza.Nikakutana na huyu mrembo,alikuwa kapanga nyumba moja jirani sana na kwetu,alikuwa akiishi na shemeji yake.Alikuwa mrembo sana kwa sura na umbo.Alikuwa kamaliza la saba,toto la kinyamwezi,rangi...
  9. JamiiForums Tanzania Mwanamke ilikuwaje hadi ukapigwa mmeo/bwana wako?Wewe mwanaume kwanini ulimpiga mama watoto/mchepuko wako?

    Sijawahi kupiga mtu anayeitwa mwanamke ila nimewahi kupigana,kupigwa na kupiga na wanaume wenzangu hii ni torati pale ninapoona nataka kufanyiwa uhuni na uwezo wa kupambana ninao huwa nakubali lolote lile litokee nipigwe,nipige au tupigane yote ni matokeo. Nimeshuhudia mara kadhaa vidume...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Jifunze kuishi na mwanamke kwa akili

    Habarini wakuu natumaini mko wazima wote leo niwaeleze ,Maana ya kuishi na mwanamke kwa akili ni kuwa na uhusiano wa busara, hekima, na uelewa na mwanamke katika maisha ya kila siku. Hii inaweza kuwa katika ndoa, uchumba au hata maisha ya kawaida ya pamoja. Inahusisha mambo yafuatayo: 1...
  11. JamiiForums Tanzania Mwanamke hupaswi kusimama Madhabahuni umchafu wewe

    Ukitaka kujua mwili wa mwanamke una mambo yasiyo ya kawaida mwambie mwanamke ambaye yuko kwenye siku zake achume mboga kama vile tembele, majani ya maboga au achume pilipili iliyoko shamanic. Vyote na vingine sijavitaja hapa VITAKAUKA. Hatuelewi kuna uhusiano gani kisayansi na hali aliyonayo...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanamke Mwenye Mlima Kama Huu Huo Ujasiri Wa Kuchit Atautoa Wapi Kwanza

    Sawa Wanaume Hatuliziki Hata Tupewe Nini Ila Nakupeni Siri Moja Hakuna Mwanaume Anaweza Kuchit Akimiliki Mwanamke Mwenye Mlima Kama Huu Huo Ujasiri Wa Kuchit Atautoa Wapi Kwanza. Mkoa Gan Tanzania 🇹🇿 Kuona Viumbe Vyenye Milima Kama Hii👇👇👇 Kawaida Japo Sura Ni Za Baba Zao. Tunaishi Na Vimbau...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Sasa nimeamini kwanini hata viitabu vya dini vinasema mwanamke anapaswa kuwa ni msaidizi tu

    Haika nimeamini na kuelewa ni kwanini vitabu vya dini(Bibilia) inasema wazi kuwa mwanamke ni msaidizi tu na si vinginenyo. Yaani wewe kila ushauri unaoletewa unauukubali hata kama una madhara makubwa yanayoweza hata ku-backfire. hapo baadae. Watangulizi wa muhusika hata nao walikosea, ila si...
  14. JamiiForums Tanzania Kama unataka sex ya haraka tongoza mwanamke mwenye hasira za karibu ambaye wengi wanamuona mkorofi na jeuri

    Wakuu habari! Wanaume siku zote kazi yetu ni kutafuta pesa, kutatua changamoto na kuhudumia familia Ikitokea mtu anataka sex ya haraka basi wanawake wenye hasira za karibu na mdomo ndio chaguo sahihi Kikawaida hawa ni watu wa mihemko wao muda wote huhisi wanadharauliwa, suala la kufikiria...
  15. C

    JamiiForums Tanzania CCM mmeingia kwenye history, mmetengeneza dikteta mwanamke wa kwanza Afrika

    Ukimuangalia sura yake unaweza ukadanganyika lakini Samia Suluhu ni mwanamke katili rais Afrika kwa sasa. Madikteta wenzake Afrika mashariki Yoweri Museveni wa Uganda na Kagame wa Rwanda kwa sasa hawamfikii Samia kwa ukandamizaji wa wapinzani wake wa kisiasa. Mpinzani wake wa chama kikuu cha...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuishi naye

    Mimi ni kijana wa miaka 28. Nmeajiriwa sekta binafsi , kipato changu ni 400,000 kwa mwezi natafuta mwanamke wa kuoa kuanzia miaka 17 hadi 24 awe mzuri wa sura , awe rangi yoyote, asiwe na mtoto, awe na elimu yoyote, awe mkristo wa dhehedu lolote awe tayari kuishi Mahali nilipo yeyote anayeweza...
  17. JamiiForums Tanzania Mwanamke na Mwanaume kabla hamjatanuana miguu naomba mkumbuke haya

    Leo nikiwa kwenye safari zangu nimemuona mwanamke mmoja anamburuza mtoto mwenye umri wa miaka kama 3 au 4 na kumlazimisha mtoto atembee na mtoto alikuwa analia amechoka. Ikabidi nimsimamishe nimuulize vipi naona mtoto analia. Akanambia anaelekea Vingunguti na hana nauli hivyo wanatembea...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa

    Habari wanawake wote wa humu JF na pia hongereni kwa upambanaji wa kujitafutia mkate wa kila siku. Mada: Natafuta mwanamke wa kuoa awe mwanamke mwenye uhitaji wa kweli na mwenye nia ya kujenga familia bora na imara. Sifa: Awe na umri kuanzia miaka 25 hadi 37. Dini yeyote ile - Mkristo, au...
  19. JamiiForums Tanzania Wakati gani mwanamke anatakiwa kumnyima mumewe tendo la ndoa? Tusaidiane wanandoa

    Wanandoa wengi sana hivi sasa wanapoteza haki za kupata unyumba Naomba kujua mda gani mwanamke anatakiwa kumnyima mumewe unyumba Na mda gani mwanaume anatakiwa kumnyima mkewe tendo la ndoa Ndoa nyingi hivi sasa zimekuwa na shida sana hasa tendo la ndoa M n mmoja wa wanakamati wa jamii...
  20. JamiiForums Tanzania Ukianza uhusiano na mwanamke anaekuadithia jinsi alivyohumuzwa na mahusiano na jinsi anavyoogopa kuumizwa

    Muache futa namba yake, block kila mahali na umusahau Huyo ni mnyonyaji wa nishati anakuwekea mazingira ya kukutawala kihisia. Huyo mwehu anataka uishi nae kwa hofu ya kumuumiza. Anakuandaa kukufanya mtumwa wake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…