mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Ogopa kuanzisha mahusiano na mwanamke mwenye miaka 30 na kuendelea, wengi wapo kimkakati

    Ogopa kuanzisha mahusiano na mwanamke mwenye miaka 30 na kuendelea afu ukute ana mtoto achana naye mara moja wengi wapo kimkakati. Awanaga mapenzi hao umri wao wa kupenda ushapita wanataka tu kuficha aibu ya kutoolewa na wapo kimaslahi zaidi kukuua kwao jambo dogo
  2. JamiiForums Tanzania Ukitaka kuoa ,oa mwanamke mwalimu

    Wanawake walimu hawatumiki sana.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kama umeoa mwanamke ambaye hujamzidi miaka 25+, UMEPIGWA!

    Kati ya hao wanaume na wewe, nani mwenye akili? Endelea kukaza fuvu. Na hizo ndiyo ndoa sasa! Kila mwanaume hapo kamzidi mkewe kwa miaka 46+. Unaishi na mwanamke kachakaa kibayolojia na kapoteza kila kitu kabakiza GUBU tu! Halafu unajisifia; Ooh! Mimi nilioa classmate wangu! Mxiuuuu!
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kuzaa na mwanamke nje ya ndoa

    Mimi ni kijana , 25 yrs old . Unmarried Nimekuwa nikisikia mara kadhaa kwa mabro na kwenye forums za kijamii kuwa kati ya makosa makubwa unaweza kuyafanya kama mwanaume ni kuzaa na mwanamke ambaye huna mpango wa kumuoa, yaani kufanya coparenting. Iwapo nina kipato kinachoniwezesha kutoa mahitaji...
  5. JamiiForums Tanzania Kufanya mapenzi na mwanamke aliyekuzidi umri ni kama kuonja sumu

    Huo ndio ukweli...najua kuna raia mtakuja kuniattack na kusema mapenzi hayana umri. shame on you!!
  6. JamiiForums Tanzania Mwanamke kuwa mlevi hata Haipendezi…

    𝗠𝗪𝗔𝗡𝗔𝗠𝗞𝗘 𝗞𝗨𝗪𝗔 𝗠𝗟𝗘𝗩𝗜 𝗛𝗔𝗧𝗔 𝗛𝗔𝗜𝗣𝗘𝗡𝗗𝗘𝗭𝗜 Hata kwa mtazamo wa kawaida ni kweli kuwa haifai wala haivutii na haistahili kabisa mwanamke kuwa chapombe. Yaani mwanamke kunywa mipombe kupita kiasi kwa namna fulani inakuvunjia heshima, inaongeza dharau hata thamani yako inashuka sana. Mwanamke ni...
  7. JamiiForums Tanzania Ongeza Testosterone zako kwaajili ya nguvu na mamlaka ya uanaume wako

    ONGEZA TESTOSTERONE ZAKO KWAAJILI YA NGUVU NA MAMLAKA YA UANAUME WAKO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kadiri testosterone zako zinavyoshuka ndivyo nguvu na mamlaka yako inavyodondoka chini. 2. Kutojiamini kunaongezeka. Mwanaume mwenye testosterone ndogo(zilizochini Sana) hata kiwango...
  8. JamiiForums Tanzania Nitembee na mwanamke ambaye kwa makusudi hakutaka kuniambia kama kaolewa. Ukinifumania nawagonga wote!

    Ni ngumu sana hapa Dar es salaam kumjua mwanake wa mtu.Kibaya zaidi hao wanawake wenu tukiwasimamisha na kuwatongoza wanasema hawajaolewa na wala hawana watoto,Sasa kosa langu hapo mimi ni lipi? Mwanamke ambaye anajua kabisa ameolewa na ana watoto na mume nyumbani kwake lakini mwisho wa siku...
  9. JamiiForums Tanzania Wewe Mwanamke mwenye tabia hizi sio wife material

    1. Wewe mwanamke ambaye mpaka saa hizi ajatandika kitanda toka alipo amka. Eti yupo busy na kusaka noti. Hahahahaha wewe ni bachela sio wife material hata iweje. Ndio mnaotuchafulia cv wanawake. kama upo ukome 2. Wewe mwanamke ambaye hadi muda huu ajui mumewe anakula nini ila yupo beautfull...
  10. JamiiForums Tanzania Je, ni sawa mwanamke kula bila kumkaribisha mume wake kila mara?

    Habari wanajamii, Naomba kuuliza kwa heshima na busara kuhusu jambo linalonitatiza kidogo moyoni. Kumekuwa na hali ambapo mwanamke anakula chakula bila kumkaribisha mume wake mara kwa mara, lakini cha kushangaza zaidi ni kwamba dada wa kazi humkaribisha mume chakula. Je, hili linaashiria nini...
  11. JamiiForums Tanzania Je, Mwanamke anahitaji nini kutoka kwa Mwanaume?

    Mtafiti mmoja alinunua kitabu chenye kichwa "Wanawake Wanahitaji Nini?" Akakutana na vitu 2.000, Akatabasamu, Kisha akakichoma. Kwa nini? Kwa sababu katika asili, Jike halina orodha ya vitu linavyovihitaji. Ndege, Wanyama, Viumbe wote wa jamii ya kike huwa hawachagui kwa huruma au kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Kati ya mwanaume na mwanamke nani mwenye akili zaidi

    Upi mtazamo wako kati ya mwanaume na mwanamke nani ana akili zaidi Kwangu Mimi naona kama wenzetu Kuna sehem wametupiga gape kwa sababu zifuatazo 1)Mwanamke akipata Hela anawaza namna ya kujiimarisha, na kama ameolewa anawaza namna ya kuwa peke yake Hali ni tofauti kwa mwanaume yeye...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi huwa kuna mimba huwa zinamfanya mwanamke kuwa na visirani, hasira na dharau dhidi ya mme wake?

    Jamani habarini wana jf kuna kitu kinanitatiza kidogo kwa huyu mwanamke hivyo nahitaji uzoefu kwa wanawake na wanaume walio oa na kuishi na wanawake wenye mimba. Ni kwamba mm nina mke tumeishi vizuri tu lakini ndani ya wiki tatu zilizo pita kujinunisha bila sababu,majibu ya hovyo ndani...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi mbona wanawake ni warahisi ukiunganishishiwa na mwanamke mwenzao

    Yaani kuna demu najuana naye Sasa nimetaka namba ya rafiki yake aisee dakika siguri tu nimeunganishiwa na mpaka Sasa mtoto anaelekea kibra sikujia kama Kuna kitonga namna hii
  15. JamiiForums Tanzania Kuna mwanamke alini provoke. nikakimbilia kwa mtaalamu huyu

    Albert Einstein Albert Einstein: What a wise man never says to a woman Few names evoke as much intelligence and depth as Albert Einstein’s. But beyond his formulas and theories, the German physicist left a legacy of reflections on life, love, human behavior and the power of silence. One of...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Huyu ndio mwanamke

    Muhenga aliyesema shukrani ya punda ni mateke kuna uwezekano alikuwa anaongelea wanawake 😀😃😀😃 Just imagine mwanamke unapambana kumtongoza mwisho unampata baada ya kumpata unajitambulisha kwao kama mume mtarajiwa baada ya hapo unaweka mahari. Angalia sana sasa una mtoa kwao na kumpeleka kwako...
  17. JamiiForums Tanzania Mapenzi: hakutaka kugombana na mwanamke mwenzie

    Inawezekana kabisa ni video ya mchongo lakini nyuma yake imebeba uhalisia mwingi na fundisho kubwa . Mwanadada kafanya fumanizi na panga mkononi . Hakumgusa mwanamke mwenzake bali bwanaake ambaye alikula bonge la kelebu . Mdada aliyefumaniwa alitimua mbio kali Sana . Mfumaniaji kajaa utemi...
  18. JamiiForums Tanzania Nahisi kichefuchefu na uchafu kuoa mwanamke asie na bikra. Ntakuwa wa mwisho kuamini bikra haina maana kwenye ndoa

    Mbaya zaidi hujui ameshaliwa na wangapi kwa style karibia zote.. Hujui ametoa mimba mara ngapi Hujui watu waliopita nae Alafu aje kuniletea watoto alafu niwapende Siwezi Mtu ana makovu ya kusalitiwa alafu nije kumpa relief aaah neverrrrrr Kwa jinsi nilivyojitunza na uvulana wangu nahisi...
  19. JamiiForums Tanzania Marekani: Maafisa wa Federal Agents Wavunja Gari na Kumvuta Mwanamke Mlemavu kwa Nguvu na Kumtia Mbaroni

    Video hii inaonesha maafisa wa shirikisho wa Marekani (federal agents) wakimvuta mwanamke kutoka kwenye gari lake kwa nguvu huko Minneapolis, huku mwanamke huyo akipaza sauti akisema kuwa ni mwenye ulemavu, wakati wakimtia mbaroni. Tukio hilo limetokea umbali wa mabawa machache tu kutoka pale...
  20. JamiiForums Tanzania Tukiwaambia mnatuita "motiveshini sipika", ila kama mwanaume, 2026 usifanye miadi na mwanamke wa namna hii

    💯 Mnayelingana nae au kukuzidi hatua za kimaendeleo 💯Familia yake inalingana au kuizidi familia yenu mandeleo 💯Ambaye haujamzidi umri kuanzia miaka mitano 💯Anaeshi geto mwenyewe na hana kazi maalum au geto lake na vitu ndani yake haviendani na kazi yake 💯Feminist, anapenda kuongelea sana ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…