mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Nataka kuahirisha kuoa Oktoba Mwaka huu

    Wadau nisaidie kimawazo na Ushauri Mwaka huu Mwez October ni harusi yangu ila Gafla imetokea sitaki kusikia kitu kuhusu ndoa kabisa. Inshort sitaki kuoa Mwaka huu hata mwanamke nayetaka kumuoa sitaki hata kumuona nimetokea kumchukia Namuona hadi ni kero kwangu [emoji26] Taratibu zote za harusi...
  2. JamiiForums Tanzania SMS zinatupunguzia wanaume pointi tatu muhimu

    Usiku kwenye daladala, saa ya simu yangu inaonyesha ni saa 4:47. Najilazamisha kuacha kusinzia, mara nasikia sauti za wanawake wawili wakizungumza viti vya nyuma yangu… stori zao zinanisaidia kukimbiza usingizi wangu. Nasikia mmoja anamwambia mwenzake; “basi wakati namalizia kuosha vyombo...
  3. JamiiForums Tanzania Mambo 7 yanayowaumiza wanaume kwenye mahusiano

    Kupitia safu yetu ya mahusiano, leo nimekuletea makala maalum hasa kwa wanawake kutokana na malalamiko ya wanawake wengi kuwapoteza waume zao. Kilio chao kikubwa ni kukimbiwa na wanaume au kuachwa. Leo anakuwa na mwanaume huyu, baada ya muda mfupi kunatokea chokochoko, mwanaume anatimka zake...
  4. JamiiForums Tanzania Miaka 27 sijawahi kumpa mimba mwanamke

    Wakuu hii kitu ni hali ya kawaida au nafeli mahali nguvu za kiume ninazo nina uhakika tatizo ni kwamba sijawahi kuletewa hata stori kwamba nimempa mimba nimpe hela akatoe. Puli napiga kidogo tu sio sana mademu wapo kitaa ila mpaka ninywe pombe ndo niongee nao bila pombe nakuwa sina lomoni...
  5. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumfanya mwanamke aone wewe ndiye chanzo pekee cha furaha yake

    Kijana upo na Maisha yako , una uchumi wako yaan sio mpaka uwe na uchumi mkuuuubwa , kwaufupi wee ni Binadamu !!!. Acheneni na Masuala ya Pesa sijui nn, acheni nayo hayooo yote HAYAWEZI MFANYA MWANAMKE ASITAMAN KUACHANA NAWEWE. Hii mbinu ni mbinu ambayo kama ni Mpenzi au mke ATAENDELEA KUKUONA...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi wajeruhiana kwa risasi wakimgombania mwanamke

    Maafisa wawili wa polisi wamejeruhiana kwa risasi usiku wa siku ya Ijumaa baada ya kutokea ugomvi juu ya mwanamke katika klabu moja eneo la Barabara ya Thika, Nairobi nchini Kenya. Ugomvi kati ya Konstebo Festus Musyoka na Konstebo Lawrence Muturi ulitokana na mwanamke aliyekuwa ameambatana na...
  7. JamiiForums Tanzania Mbowe na CHADEMA mnataka kumkwamisha Rais Samia kwakuwa amewalegezea kidogo?

    Friends and Enemies, Mbowe na CHADEMA wanataka kutupeleka wapi Tena? Je, ni kweli kwamba walishazoea ile hali ya kupelekwa kibabe na mwendazake na wameikumbuka kisha wameanza kutingisha kibiriti? Katiba mpya ni suala la mchakato, ni suala mtambuka na jumuishi kwa makundi mbali mbali ndani ya...
  8. JamiiForums Tanzania Mwanamke unapopewa ahadi ya kuolewa kuwa na subira sio kukumbusha kila mara

    Habari waungwana, Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi... kwa pamoja mjibu CHAMA KIENDELEE. Leo na mimi nimeamua nije nitoe neno kuhusu mapenzi. Watu wengi mmekuwa mkitamani mjue msimamo wangu kuhusu haya mambo. Leo nitaongea jambo moja tu kwasababu mapenzi ni mrundikano wa upuuzi mwingi...
  9. JamiiForums Tanzania Mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake mwenyewe

    Iko hivi, Kuna jamaa ni jirani yangu anapiga mishe kwenye duka la wachina hapo gerezani, wanauza aina mbalimbali za vyuma na mabati ya mageti. Inavyoonekana jamaa ni anapiga hela ndefu kinyama kwa hao Wachina maana nyumba yake ameiboresha kwa kiwango cha juu sana tangu alipoanza kufanya nao...
  10. JamiiForums Tanzania Jamvi la wageni

    Kikalio ni kitu cha kuheshimiwa sana kwenye tamaduni nyingi.. Unapofika kwa mtu cha kwanza unachopewa ni kikalio... Kikalio chaweza kuwa kiti, jamvi au mkeka! Kiti ni mjumuisho wa kochi, stuli ama kigoda! Kwa tamaduni za pwani ni nadra kukuta viti ndani ya nyumba .. Na hii inatokana na ama...
  11. JamiiForums Tanzania Mwanamke hapendezi kuwa Dikteta

    Sijui ni kwanini malaika wote huchorwa wakiwa ktk maumbile ya kike, japokuwa inadaiwa kuwa hakuna mwanamke malaika. Yaani Mungu wetu anao malaika wa kiume tu, hana wa kike hata mmoja. Lakini michoro yote ya malaika ina wa Brand kama wanawake na si wanaume. Niliwahi kumuuliza mwalimu mmoja wa...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Haya ni mataifa matano ambayo mwanamke anaweza kuolewa na wanaume zaidi ya mmoja

    Haya ni mataifa matano ambayo mwanamke anaweza kuolewa na wanaume zaidi na mmoja By bbc CHANZO CHA PICHA,THE WHISTLER Umewahi kufikiria kuwa na mume mwenza katika ndoa? Swali hili ni kwa wanaume, lakini kwa wanawake umewahi kufikiria kuolewana wanaume wawili? Au Unakumbuka tukio la mkazi...
  13. JamiiForums Tanzania Ushawahi kususiwa mwanamke!

    Binafsi nimeshawahi kususiwa wanawake wanne kwa nyakati tofauti ila ndoa ilinikosakosa kama Mbappe alivyokosa penati jana! Binafsi mbinu nazotumia kukwepa ndoa hizo za dharura ni kuwapokea kwanza bila kuleta ubishi na baada ya hapo ni kupiga matukio hadi anasepa mwenyewe [emoji28] Vipi wewe...
  14. JamiiForums Tanzania Ni maswali gani ya kumuuliza Mwanamke ambayo yanaweza kukupa majibu hapa napendwa au natumika?

    Wakuu katika mahusiano kuna wakati kama mwanaume inabidi ujitafakari katika mahusiano ujue kama unapedwa kweli au unatumikaa ktk hayo mahusiano Sometime unaweza ukawa unajiuliza hivi hapa napedwa kweli au nalazimisha maana kama mimi niko na mpenzi ila Sijui kama napedwa au nalazimia mfano...
  15. JamiiForums Tanzania Mapenzi yanahitaji mchakamchaka

    Wanawake sometimes wanataka drama ukiwa mpole sana utamboa, yaani mkakaa mwezi haujamgombeza anaboreka [emoji28]yaani fanya kumtafutia ka ugomvi fulani hivi cha uongo na kweli na wakati mnatatua ka ugomvi unampiga kimoja cha fasta huwa wanaenjoy sana! Hakuna raha kama kufanya mapenzi wakati...
  16. JamiiForums Tanzania Ananilaumu kwa kumuacha na kwenda chumbia mwanamke mwingine. Sasa ngoja nami niseme ukweli

    " Huyu dada amekuwa akiandika kwenye mitandao kuwa nmemtelekeza na kwenda chumbia mwanamke mwingine. Nlianza naye mahusiano nikiamini angekuja kuwa mke wangu.nliepuka kwa muda mrefu kufanya naye mapenzi nikisema tusubiri siku rasmi ya ndoa. Lakini ilishindikana baada ya siku moja tukiwa home...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mwanamke wa kuzaa naye

    Amani na iwe nanyi! Nahitaji mwanamke wa kuzaa nae Wasifu wangu 1. Umri : Mtu mzima (Matured)40+ Years 2. Urefu: 5.6 Futi 3. Uzito: 80 Kg. 4. Rangi: Maji ya kunde 5. Kazi: Mjasiriamali 6. Elimu Degreee 7. Polite in nature 8. Hobbies Napendelea Kusoma vitabu (Addicted to reading books) 9. I am...
  18. JamiiForums Tanzania Tabia ya kuwa na miadi sehemu na mwanamke, yeye anakuja na rafiki zake bado ipo?

    Kuna siku nilikua na miadi na manzi mmoja, budget yangu ilikua ni mimi na yeye, nashangaa anafika na nyomi la rafiki zake! Nikawakaribisha kwa roho ya unyenyekevu sana! Wakaona hapa wamepata shem mwenye kujali. Nikawaeleza waagize chochote! Baada ya hapo nikamuita pembeni yule manzi wangu...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada: Kila mwanamke ninayemuoa anakuwa na huyu kiumbe ndani yake, ni nani huyu?

    Natumai mko poa wakuu na mwenye matatizo Mungu amuondoshee. Kuna Hali naipitia maishan mwangu, mwanzo niliidharau lakini kwa Sasa naumiza Sana kichwa kuujua ukweli wa hili jambo. Kwa kuwa najua humu Kuna wenye ujuzi juu ya mambo mbalimbali naomba niwashirikishe hili kupata ushauri wenu. Mara...
  20. JamiiForums Tanzania Hatimaye ndoa yangu imevunjika

    Asalaam, Ndoa yangu ilikuwa nzuri saana kwasababu tulianza tukiwa vijana wadogo maskini, kutokana na hivyo tuli inspire vijana wengi na ndoa nyingi kusimamia. Tuka barikiwa watoto wazuri. Mungu alitubariki na unafuu wa maisha wa kupata tunachokita kwa level ya maisha ya kawaida. Basi ghafla...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…