mwanafunzi

  1. Abtali Mwerevu

    JamiiForums Tanzania Ajira kwa aliyesoma Sociology, Psychology, Social Work na Special Needs education

    Ajira kwa aliyesoma Sociology nafasi 1, Psychology nafasi 1, Social Work nafasi 1, na Special Needs education nafasi 1 Eneo la Kazi, Prime School Dar es Salaam. sifa Awe mkazi wa Dar es Salaam. Elimu yoyote, cheti, diploma au degree. Jinsi ya kuomba: Andika ujumbe kwenda WhatsApp namba...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ushahidi wa Kesi ya Mwalimu wa Green Acres, Saleh Ayoub anayetuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi wake kuanza kutolewa Februari 6, 2025

    Mashahidi upande wa Jamhuri katika Kesi Namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39) Mkazi wa Salasala Jijini Dar es Salaam, Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi - Africana anayedaiwa kumlawiti Mwanafunzi wake wanatarajiwa kuanza kutoa ushahidi Februari 6, 2025. Kesi hiyo...
  3. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa shule za kata aliyeingia kwa wastani wa "C" kidato cha kwanza anaweza kuhamishiwa shule za bweni kitaifa?

    Kuna watu wanajeuri sijui ya fedha? Mtoto wake mwaka jana alifaulu kwa wastani wa "C" kapelekwa shule ya kata kama wanafunzi wengine wote. Pamoja na kwamba hizi shule za kata kuna wanafunzi waliingia kwa wastani wa "A". Sasa huyu jamaa anamuhamishia kidato cha pili shule za bweni kitaifa...
  4. Bendera Esq

    JamiiForums Tanzania Kutembea na mwanafunzi siyo kosa kisheria

    Watu wengi wamekuwa wakishindwa kuwa na uelewa sahihi wa kisheria kuhusiana na swala la kutembea (kufanya mapenzi) na mwanafunzi. Kwenye sheria za Tanzania, hakuna kosa la kutembea (kufanya mapenzi) na mwanafunzi. Ili jambo liwe kosa kisheria ni lazima kuwe na sheria inayopiga marufuku kutenda...
  5. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Wazo: Je, tunaweza kuifuta form six? Yaani Mwanafunzi akianza form one (Non-stop) aende mpaka form five, alafu anajiunga na chuo?

    Good Afternoon my dear brothers and sisters out there. Eti wadau, tunaweza kufuta form six?? Mwanafunzi akianza form one, aende mpaka form five (Non stop) alafu chuo?? Yaani tunaua mitihani ya form four pamoja form six. Mtihani mkuu wa Secondary unakuwa mmoja tu wa form five. Karibu kwa...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres anayetuhumiwa kulawiti Mwanafunzi yaahirishwa Mwezi mzima, Hakimu apata udhuru

    Kesi Namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39) Mkazi wa Salasala Jijini Dar es Salaam, Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi-Africana anayedaiwa kumlawiti Mwanafunzi wake mwenye umri wa Miaka 11 imeshindwa kuendelea kutokana na Hakimu kupata hudhuru. Mara ya mwisho kesi...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mwanafunzi Ufundi wa umeme wa magari. Changamoto nilizoziona mpaka sasa

    Habari wanajamii forums wote. Mimi ni kijana umri miaka21 nilianza kujifunza ufundi umeme wa magari mwezi wa tano mwishoni mwaka huu. Kiukweli nilikuwa napenda sana magari tangu awali, na aliyenivutia jamaa jirani yetu nilipokuwa nikiishi awali. Ni fundi mzuri sana ni mtu wa arusha. Siku moja...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa MUST abuni mfumo wa kudhibiti wizi wa mitihani

    Hamza Salum ambaye ni mwanafunzi wa mwaka wa pili katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya amebuni mfumo wa kulinda mitihani ambao unatajwa kuleta tija katika kukabiliana na wizi na uvujishaji wa mitihani nchini. Chanzo: Azam TV
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Watu 6 kutoa ushahidi Kesi ya Mwalimu wa Shule ya Green Acres anayetuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi wake

    Mtuhumiwa Upande wa Jamhuri katika kesi namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39) mkazi wa Salasala Jijini Dar es Salaam ambaye ni Mwalimu wa Shule ya Green Acres iliyopo maeneo ya Mbezi Beach Africana, Dar anayetuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi wake (11) umesema kuwa unatarajia kuwa na...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Ahukumiwa miaka 30 jela kwa kosa la kumbaka mwanafunzi wa darasa la saba

    Mahakama ya wilaya ya Kilombero imemhukumu Yegela Juma Mfula (22) mkulima, mkazi wa Lungongole kifungo cha miaka 30 Jela kwa kosa la kumbaka mwanafunzi wa darasa la 7 (jina limehifadhiwa) wa shule ya msingi Lungongole, kata ya Kibaoni wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro. Akitoa hukumu hiyo...
  11. Shobi

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi itazamwe kwa ukaribu

    Baada ya HESLB kufunga maombi na kutoa twakimu ni wazi bodi hii inakosa muelekeo katika vipaumbele vya kozi za kutoa mikopo. Katika soko la ajira na kujiajiri ufundi wowote ungefaa kuwa kipaumbele katika utoaji wa mikopo. Pili kinachotolewa mkopo ni kozi au Hali ya mwanafunzi. Ukiangalia kwa...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Maksi za Chupi zamponza Mhadhiri / Lecturer, Jela miaka 20 kwa kosa la kuomba Ngono ili kumfaulisha mwanafunzi wake

    Tatizo hili limekuwa sugu sana, Karibu kila chuo kuna wahadhiri hunyanyasa mabinti kwa kutumia kisingizio "Mwalimu na mwanafunzi wa chuo wote ni watu wazima" wengine wamewahi kufumaniwa baada ya wanafunzi kupeleka ushahidi wa kunyanyaswa lakini wanaishia kuhamishwa vituo vya kazi, kuonywa au...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dar: Mwalimu wa Shule ya Green Acres anayedaiwa kumlawiti Mwanafunzi wake afikishwa Mahakamani

    Saleh Ayoub ambaye ni Mwalimu wa Shule ya Msingi ya Green Acres iliyopo maeneo ya Mbezi Beach Africana, Dar es Salaam amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni na kusomewa shtaka la ulawiti. Katika kesi hiyo namba Cc 32444/24 iliyotajwa kwa mara ya kwanza mbele ya Hakimu...
  14. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Ni udanganyifu gani ulishawahi kuufanya katika chumba cha mtihani ulipokuwa mwanafunzi?

    Ni matumaini yangu kuwa wengi wetu(99.9) humu JF tumepita shuleni kwani tusingepita kule tusingekuwa na uwezo wa kutoa wala kusoma comments humu. Mfumo wetu wa elimu unamtaka mwanafunzi wafaulu mtihani kwani mtihani ndio unaomfanya mtu kutoka ngazi moja kwenda nyingine endapo atafaulu ama...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Kijana wa Miaka 17 ahukumiwa kifungo cha nje Miezi miwili kwa kumbaka Mwanafunzi

    Kijana wa Miaka 17 ahukumiwa kifungo cha nje Miezi miwili kwa kosa la kumbaka Mwanafunzi Halikadhalika, Mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 17 Mkazi wa Kijiji cha Kilambo, mwanafunzi wa kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari Ikimba amehukumiwa kifungo cha nje miezi 12 pamoja na kumlipa fidia...
  16. Damaso

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Gari la Serikali limegonga na kuua mwanafunzi

    Mwili wa mwanafunzi Yulia Samson Difrata, mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Chigela, umeondolewa eneo la ajali, katika Kijiji cha Tabu Hotel, Kitongoji cha Stendi, wilayani Gairo, mkoani Morogoro ambapo inadaiwa mwanafunzi huyo amegongwa na gari la serikali ambalo...
  17. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Miaka Tisa (9) ndani ya JF: Kumbukizi nilivyojiunga na kuishi JF nikiwa kama Mwanafunzi wa Sekondari

    Moja kwa Moja. Mwaka 2015 mitaa Fulani Dar es Salaam muda huo nipo kidato Cha kwanza (Form One) nilikuwa na hamu sana ya kumililiki simu , basi nikatafuta kibubu nikawa naweka pesa za shule kama akiba na kupiga mishe ndogo ndogo kitaa ili kujazia kibubu baada ya miezi kadhaa nikavunja...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mtu aliyesoma akaelimika akakombolewa kifikra hawezi Kutoa au kutolewa Mahari

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Elimu Kazi yake kûbwa ni kumkomboa Mtu ndiye Mwanamke na Mwanaume kifikra. Haiwezeniki Mtu kafika chuo Kikuu, amesoma degree au katika chuo cha Kati akasoma stashahada akaibusti Akili Yake Akaelimika alafu Wakati wa kuchumbia au Kuoa au kuolewa akakubali Kutoa...
  19. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi Hija Hamis ahukumiwa viboko 12 kwa kumlawiti mwenzake

    Mwanafunzi ya Kidato cha Tatu, Hija Hamis Msumi (16) ambaye ni mkazi wa Kiji cha Nyanjati wilaya ya Kibiti, mkoa wa kipolisi Rufiji, amehukumiwa adhabu ya kuchapwa viboko 12, kwenye makalio mbele ya Mahakama kwa kosa la kumbaka na kumlawiti mwanafunzi wa darasa la Nne mwenye umri wa miaka 12...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Kidato cha 3 ahukumiwa kuchapwa viboko 12 kwa kumlawiti mwenzake

    Hija Hamis Msumi (16) Mwanafunzi ya Kidato cha Tatu, ambaye ni mkazi wa Kijiji cha Nyanjati wilaya ya Kibiti, mkoa wa kipolisi Rufiji, amehukumiwa adhabu ya kuchapwa viboko 12, kwenye makalio mbele ya mahakama kwa kosa la kumbaka na kumlawiti mwanafunzi wa darasa la Nne mwenye umri wa miaka 12...
Back
Top Bottom