mwanafunzi

  1. JamiiForums Tanzania Mzee wa miaka 62 adaiwa kumbaka mwanafunzi wa Darasa la 6

    Mkazi wa Kibaha Mkoa wa Pwani, Maxmilian Malima (62) amepandishwa kizimbani akikabiliwa na tuhuma za kumbaka mwanafunzi wa darasa la sita Shule ya Msingi Kilangalanga. Akisoma maelezo ya awali leo Jumanne Desemba 13, 2022 mwendesha mashtaka wa Serikali, Rose Ishabakaki akisaidiana na Eliza...
  2. S

    JamiiForums Tanzania DC Simalenga analengwa na nani? Tuhuma dhidi yake za kumpiga mwanafunzi zinatia mashaka sana

    Siamini na nitakuwa wa mwisho kuamini kioja hiki kwamba DC amemnasa kofi mwanafunzi mpk akajeruhiwa. Yaani kofi limejeruhi kiasi kwamba nusu ya uso wa mwanafunzi umebandikwa pamba? Tangu lini kofi likajeruhi kama panga?? Nimeangalia mara 5 clip ya "anayedaiwa kuwa mwanafunzi aliyejeruhiwa"...
  3. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Songwe ampiga na kumjeruhi mwanafunzi wa kike

    Mkuu wa Wilaya ya Songwe, Simon Simalenga amempiga na kumuumiza jicho mwanafunzi wa kike.
  4. JamiiForums Tanzania Shule ya msingi yaweka rekodi ya kutofelisha hata mwanafunzi mmoja kwa miaka 10

    Shule ya Msingi Laalakir iliyopo Kijiji cha Partimbo, Kata ya Partimbo wilayani Kiteto Mkoani Manyara, imekuwa na matokeo ya alama "A" kwa miaka 10 mfululizo na kushika nafasi ya kwanza kiwilaya na kimkoa na haijawahi kufelisha mwanafunzi Wanafunzi waliofanya mtihani mwaka 2022 ni 36, kati ya...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa Wazazi na Walezi wenye Watoto/Wanafunzi wakati wa likizo wasajili wafanye mitihani mtandaoni

    Je wewe ni mzazi au mlezi na unamtoto ambaye yupo likizo katika msimu huu wa sikukuu za christimas na mwaka mpya? Au je wewe ni mwanafunzi na ungetamani kujipima na wanafunzi zaidi ya elfu2 nchi nzima kupitia mitihani inayoendeshwa kwa njia ya mtandao? Taifa International Online School kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Askari aliyempiga mwanafunzi wa IAA asimamishwa kazi, SUMA JKT kufidia gharama za matibabu

    Chuo cha Uhasibu Arusha kimethibitisha tukio la Askari wa SUMA JKT kumshambulia mwanafunzi wa chuo hicho baada ya kujibizana kwa madai ya kutokuwa na Kitambulisho. Askari huyo amesimamishwa kazi huku Uongozi wa Chuo ukiagiza achukuliwe hatua zaidi za kiutendaji na kijinai, pia, Mwajiri wake...
  7. JamiiForums Tanzania Je, unaweza kumpa wanafunzi au mwanao Elimu ya Afya na uzazi wa mpango?

    Dunia ya sasa imebadilika sana. ni ukweli uliowazi kabisa kuwa ngono kimekuwa sio kitu cha siri sana. Na uwepo wa ujuaji wa watoto kuhusu ngono umechochewa na mabadiliko mbalimbali yaliyopo ikiwemo Utandawazi kama vile Simu za mikononi, Television na hata muingiliano wa tamaduni za jamii...
  8. JamiiForums Tanzania Naomba kazi

    Nina umri wa miaka 22 ninaehitimu degree ya biashar dsm chuo cha biashara cbe naomba msaada wa kazii yeyote itayonisaidia kujikimu mwenyew
  9. JamiiForums Tanzania Ni haki kwa aliyesoma shule za kata kupewa mkopo kiasi hiki?

    Hebu fikiria vijana kama Hawa wengine hawana Wazazi, wamesoma shule za kata since primary na bado Ada ni 1.3milion mpaka 2.5milioni lakini bodi inampa asilimia 49 tu kwa mwaka mtoto akafie mbele, je wadau wa elimu wako wapi, viongoz wako wapi?
  10. JamiiForums Tanzania NECTA yathibitisha tuhuma alizotoa mwanafunzi wa Chalinze Modern Islamic ni za kweli, Yaifungia shule

    Baraza la Taifa la Mitihani (NECTA), limethibitisha kuwa mwanafunzi wa darasa la 7 Iptisum Suleman Slim, alibadilishiwa namba ya mtihani na uchunguzi umepelekea kugundulika kwa wanafunzi wengine 7 kubadilishiwa namba zao za mitihani, na kuchukua hatua ya kuifungia shule ya Chalize Modern kuwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwanafunzi apasuliwa korodani na polisi, ubongo umeyumba. Alikuwa akiteswa

    Kila siku ni kilio na majonzi dhidi ya polisi. Haya mambo yataisha lini jamani. ======== MWANACHUO wa Chuo Kikuu cha SAUT mkoani Mwanza, Warren Lyimo anayedaiwa kupigwa na kuteswa na Polisi hadi kupasuka korodani, amesimulia mambo mazito na yakutisha katika mkasa huo. Tukio la Warren kupigwa...
  12. JamiiForums Tanzania Wafia dini wanne wajilipua mabomu Somalia na kuua watu tisa akiwemo mwanafunzi

    Hawa jamaa wa alshabaab ambao humpigania na kumlinda "mungu" na uislamu wamejilipua mabomu na kuua tisa akiwemo mwanafunzi kule Somalia.... Nine people were killed and 47 wounded Sunday in an attack on a hotel in Kismayo, southern Somalia, claimed by the Al-Shabaab Islamist group, the region's...
  13. JamiiForums Tanzania Anayehitaji saidia fundi, fundi seremala mwanafunzi au msaidizi wa kazi yeyote inayohitaji nguvu Dodoma anisaidie

    Habari za leo wakuu. Napitia kipindi kigumu sana kiuchumi Naomba kwa yeyote mwenye uwezo wa kunisaidia kibarua cha malipo ya siku au vyovyote vile nipo tayari. Naweza kufanya saidia fundi au kazi yoyote ya nguvu. Nina uwezo wa kutumia cherehani kwa ufasaha kabisa Au kama unaweza kunielekeza...
  14. JamiiForums Tanzania Moshi: Mwalimu wa hisabati jela maisha kwa kulawiti mwanafunzi

    Mahakama ya Rufani imebariki kifungo cha maisha alichohukumiwa mwalimu wa Shule ya Msingi Chomvu iliyopo Wilaya ya Mwanga, Elibariki Mchomvu kwa kulawiti mwanafunzi wake wa kiume mwenye umri wa miaka tisa. Mchomvu, aliyekuwa akifundisha hisabati, alipatikana na hatia kwa mara ya kwanza mwaka...
  15. JamiiForums Tanzania Baraza la Mtihani (NECTA) kushughulikia suala la Mwanafunzi aliyebadilishiwa namba ya Mtihani

    Mtahiniwa Iptisum Suleiman Slim kutoka shule ya Msingi Chalinze Modern Islamic amesema wakati akifanya mtihani wa kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) Oktoba 5-6, 2022 alipangiwa namba 40 lakini jina lake lilikuwa namba 39 kwenye katarasi ya kusaini. Anasema alifanya mitihani 5 kwa namba 40 lakini...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa shule ya sheria aiomba mahakama isimamishe mafunzo

    Mmoja wa wanafunzi walioathirika na matokeo katika Taasisi ya mafunzo ya Sheria kwa Vitendo (LST), Alexander Barunguza ameiomba mahakama iizuie shule hiyo kuendelea na mafunzo kwa muda ili kufanya uchunguzi wa mazingira ya kujifunzia na kuzuia ubadhirifu. Barunguza, ambaye pia amefungua kesi...
  17. JamiiForums Tanzania Babu mbaroni kwa kumbaka mwanafunzi

    Shinyanga. Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linamshikilia Abubakar Saidi (64) mkazi wa Kata ya Ndembezi kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi wa kidato cha kwanza (14) katika shule ya sekondari iliyopo katika Manispaa ya Shinyanga mkoani humo. Akizungumza leo Alhamisi Oktoba 13, 2022 Kaimu kamanda...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Tusiwatupie lawama Walimu wa Vyuo Vikuu. Mitihani ndio kipimo cha uelewa na namna mwanafunzi ataisadia jamii na Taifa lake

    Taifa linapokuwa na wahitimu wa chuo kikuu ambao hata wakikaa mitaani ni kama hawajamaliza form four ni aibu kwa taifa. Ni lazima wapimwe kwa mitihani ambayo ina vigezo vya kimataifa. Bahati nzuri dunia nzima masomo ni yaleyale tu. Sasa kama vyuo vitawalegezea wanafunzi ili waonekane...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Shule ya Msingi Mbagala Kuu apandishwa kizimbani kwa kumbaka mwanafunzi wa Darasa la Sita

    Mwalimu wa Shule ya msingi Mbagala Kuu, mkazi wa Mwanamtoti aitwaye Ally Said Kaule (26) maarufu kama Sir Ally amepandishwa kizimbani katika mahakama ya wilaya ya Temeke kwa kosa la kumuingilia kingono mwanafunzi wake wa darasa la sita. Akisomewa mashtaka leo Jumanne mbele ya hakimu mkazi Aziza...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Wawili wafikishwa Mahakamani kwa ubakaji mwanafunzi

    Wanaume wawili wakazi wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kubaka na kulawiti mwanafunzi wa darasa la nne na wa kidato cha pili. Washtakiwa hao Mathias Mkokoteni (43), mkazi wa Kata ya Mpwapwa Mjini, Mtaa wa Igovu, anadaiwa kubaka na kulawiti mtoto wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…