mwanafunzi wa chuo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mabafu na Vyoo vya Mabibo Hostel kukosa milango ni hatarishi kwa watumiaji

    Habari, Mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na pia ni mkazi wa Mabibo hostel. Hii changamoto imekuwa ni kwa miaka sasa. Mabafu na vyoo havina milango na wala hakuna dalili za marekebisho kwa usalama wetu binafsi. Hilo suala ni kero kwa sisi tusiokuwa na makazi zaidi ya hostel...
  2. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa chuo umejipangaje baada ya kumaliza Chuo?

    Baada ya kuwa chini ya utegemezi wa wazazi na uangalizi baada ya kumaliza chuo ni kama kuku aliyefunguliwa bandani akajitafutie chakula umejipangaje? Kurudi nyumbani ukapambanie ugali wa wazazi pamoja na wadogo zako au kubaki huko ukipambania future yako? Kila mtu anajua uwepo wa tatizo la...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mikoa Ambayo ukimuona mwanafunzi wa chuo kikuu ametoka huko, ni maajabu, huwa wanahesabika

    Tena hasa wa kike, wa kiume wakiwepo basi ni wa kuhesabika. Sio vyuo vya kati ama vya makanisa, Ni vyuo vikubwa kama Udsm, Udom, Mzumbe, DIT, MUST, n.k. (na huwezi kukuta matawi ya hivi vyuo vikubwa kwenye mikoa wanayotokea) Katavi Shinyanga Tabora Singida Mara Pwani Lindi Geita Simiyu...
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mwanafunzi wa Makerere aliyetekwa nyara akisubiri hukumu dhidi ya matumizi mabaya ya kompyuta

    Mtayarishaji wa maudhui wa TikTok na mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Makerere, Elson Tumwine, anasubiri kusomewa hukumu baada ya kukiri kosa la kuhariri taarifa inayodaiwa kuwa ya Spika wa Bunge, Anita Among, kuhusu msamaha wa hivi karibuni wa Rais Yoweri Museveni kwa Buganda. Upande wa mashtaka...
  5. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Anayejiita Geoffrey Kiliba, Rais wa TAHLISO, sio mwanafunzi wa Chuo Kikuu au cha Kati chochote

    Haka kajamaa tumegundua sio kanafunzi ka Chuo chochote Tanzania, Sio Kwa Vyuo vya TCU, Wala NACTEVET !. Kwa Mujibu wa Miongozo ,Kanuni, Sheria Katiba zinazoongoza TAHLISO , ni umoja ambao haufungamani na Chama chochote Cha kisiasa . Huyu Pimbi, alipoanza kujitokeza, alianza kama Genge la...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) atuhumiwa kumuua Mwanafunzi mwenzake

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya [MUST] mwaka wa kwanza aitwaye Emilian Joseph Duzu [21] kwa tuhuma za mauaji ya Mwanafunzi mwenzake wa Chuo hicho mwaka wa tatu aitwaye Gerald Philbert Said [22]. Ni kwamba Juni 14, 2025 saa...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa chuo kikuu anayelengwa na Trump aondoka Marekani saa 9 zilizopita.

    Mwanafunzi wa chuo kikuu anayelengwa na Trump aondoka Marekani saa 9 zilizopita. Mwanafunzi mhitimu wa Chuo Kikuu cha Cornell ambaye viza yake ya Marekani ilifutwa kutokana na maandamano dhidi ya Israel ameamua kuondoka Marekani badala ya kusubiri kufukuzwa nchini humo. Momodou Taal, ambaye...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Je wewe ni mwanafunzi wa chuo kikuu au mtafiti na unahitaji usaidizi katika research organization and publication an, statistical analysis?

    Visit ResearchLink International for assistance in statistical analysis, research organization, planning, data analysis, article publication, plus other study opportunities. University students, grab these opportunities without missing, it's free.
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Chuo cha Mipango Kanda ya Ziwa akamatwa kwa tuhuma za kuhamasisha vurugu

    JESHI la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Mwanafunzi wa Chuo cha Mipango na Maendeleo Vijijini Kanda ya Ziwa, Elias Anania (20) kwa tuhuma za kuhamasisha vurugu kupitia kundi sogozi la WhatsApp. Inadaiwa mwanafunzi huyo amewataka wenzake kununua petroli na kuchoma askari polisi wenye sare...
  10. realMamy

    JamiiForums Tanzania Mbivu na Mbichi za kuzalishwa ukiwa bado ni Mwanafunzi wa Chuo

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida wanafunzi wengi kuanzia kidato cha tano na Sita wanadhani Maisha ya Chuo ni ya Starehe sana bila kujua undani wake. Baadhi ya wanafunzi huenda Chuo wakiwa na matumaini makubwa sana ya kutimiza ndoto zao. Lakini Ndoto hizo hukwamishwa na vitu vingi hasa kwa wale...
  11. Dejane

    JamiiForums Tanzania Binti (Mwanafunzi wa Chuo) auliwa na maiti kufichwa

    Inasikitisha jamanii na inauma kwa mauaji yanayotekea hapa Nchini, kuna binti alikuwa anasoma chuo cha Bagamoyo ni mkazi wa Mwanza, anaitwa Wanze au Ashura mrefu wastani,mweusi mzuri ,alitekwa na watu wasiojulikana wamemuua wakampiga picha kwa simu yake marehemu pia wakaisambaza kwa whatsapp...
Back
Top Bottom