13
Yer 17:5 SUV
BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha BWANA.
Mtumishi wa Mungu mmoja alianzisha huduma yake ya kiroho kanisa katika moja ya vijiji(Ukerewe)..eneo hilo lilikuwa na nguvu za giza kwa kiasi kikubwa...
Salaam ,shalom!
Hii ni habari njema!!
GOOD NEWS😅💥🔥🎉🎊
Asomaye na afahamu,
Imeandikwa zamani vitabu vya unabii kuwa YESU ni mwana wa Daudi.
Pia ukisoma kuzaliwa kwa YESU Mathayo chapter 1, ukoo wa YESU umeanzia huko Kwa Daudi, Mwana wa Ibrahim.
Mathew 1:16.
Yakobo akamzaa Yusuph mumeweMariam...
Asili ga binadamu ni kupenda haki, mwanadamu kupenda dhuluma ni kitu ambacho huwa kinapandikizwa na kutengenezwa. Kazi ya kupandikiza dhuluma huwa ni ngumu sana na huwa haishindi kwa sababu inapingana na asili ya binadamu.
Siku zote, mwanadamu ambaye dhamira yake haijaharibiwa, husimama na...
Mwanadamu unaposhiba,
usiwasahau wenye njaa.
Mwanadamu unapofanya sherehe,
usiwasahau wale walio katika matanga.
Mwanadamu unapokalia kiti cha mamlaka,
usiwasahau wale wanyonge waliopo nje ya boma.
Mwanadamu, punguza kiburi juu ya nguvu unayodhani unayo.
Jiulize: Mungu wa mbinguni ana...
Vitabu vitakatifu vinaeleza kuwa Duniani kuna uzao wa shetani. Hao walitokana na mashetani yaliyozini na wanadamu, wakazaliwa viumbe wenye sura na maumbile ya wanadamu. Hao viumbe kazi yao kubwa huwa ni kuwaangamiza wanadamu, kuwaua wanadamu. Hayo mashetani yenye maumbile na sura za wanadamu...
"Katika misa hii tunawaombea waliouawa. Tunasema waliuawa kwa sababu watu hawa hawakuumwa, walipigwa risasi. Tunawaombea waliojeruhi Mungu awape wepesi waweze kupona lakini pia tunaombea haki na amani katika nchi yetu"
"Wale waliolenga risasi ni nani hao? Waliouawa sisi ni ndugu zao, tunalia...
Alichokifunga Mungu mwanadamu hawezi kukifungua. Huyu keshapigwa pin mazima, hawezi kufanya lolote hadi apishe hiyo ofisi.
Baada ya Kaini kumwua ndugu yake Abeli, Biblia (katika Mwanzo 4:8–16) inaeleza mambo yafuatayo:
Mungu alimlaani Kaini – Mungu alimwambia kwamba damu ya Abeli ilikuwa...
Katika historia yote ya mwanadamu, swali kuu limekuwa Kwa nini tupo hapa Ulimwenguni? Je, kuna maana yoyote ya maisha haya, au ni mwendelezo tu wa mzunguko wa kuzaliwa na kufa?
Kwa macho ya kawaida tu ni rahisi kusema kuwa maendeleo yote ya binadamu, teknolojia zote, elimu na falsafa zote, bado...
1. Sehemu ya Wenye Haki
Roho za wenye haki hupumzika kwenye sehemu yenye chemchemi ya maji angavu.
Ni alama ya faraja, pumziko na tumaini la ufufuo wa uzima.
2. Sehemu ya Wenye Dhambi Wasiohukumiwa Duniani
Hawa ni wale waliotenda maovu lakini hawakupata hukumu wakati wa maisha yao.
Roho...
KAMA MWANAUME
Adui wa kwanza wa kupambana naye ni tamaa ya NGONO.
Mwanaume mwenye tamaa HII ya ngono
Ndani ya dk 5 anaweza poteza ndoto na malengo ya miaka 20 ijayo
Ndani ya ngono kuna
BARAKA
LAANA
UZIMA
MAUTI
KUPATA
KUKOSA
Nguvu ya msuli ulio ndani ya boxa
Unaweza kukufanya uwe kipofu kama...
Ajira au shughuli ya kwanza mwanadamu kupewa na Mungu ilikuwa ni Kilimo.
BWANA Mungu akamtwaa huyo mtu, akamweka katika bustani ya Edeni, ailime na kuitunza. mwanzo 2:15
Ndio maana ameahidi AKUBARIKI mjini na mashambani.
Kumuenzi Mungu ka maelekezo haya hakikisha pamoja na mengine
Unashamba...
Habari ya Wokovu Iliyofichwa Kwenye Ukoo wa Mwanzo 5
Biblia si kitabu cha hadithi za zamani pekee ni kitabu cha mpango wa Mungu ulioandikwa kabla hata hatujazaliwa.
Kila mstari, kila jina, kila kizazi, kimewekwa kwa makusudi. Na hapa, katika Mwanzo 5, tunakutana na moja ya siri za ajabu...
Ushauri huu ni wa upendo mkuu. Na upendo ndiyo amri kuu tuliyopewa na Mungu wetu. Tena tunaulizwa, utawezaje kusema unampenda Mungu usiyemwona wakati unamchukia ndugu yako?
Ninaamini Rais Samia ni muumini wa Mungu, mtu anayeamini katika maisha baada ya kifo, hukumu ya Mungu, na ufufuo wa wao...
"Ni imani yangu hema hili litatumika kujenga jamii yenye maadili na jamii yenye hofu ya Mungu. Ni kupitia tu hofu ya Mungu na ndiomaana Mungu akatushushia dini na miongozo ndiyo mwanadamu anasimama kuitwa mwanadamu, na nilisia hapa mtu mmoja anasema kuna wanadamu na wanywa damu, sasa usipokuwa...
Madawa na chanjo ili kushinda ugonjwa fulani lakini zinaacha particles za sumu mwilini kupelekea kuwa prone na magonjwa mwengine.
Chemicals na elements katika vyakula ili kushinda ushindani ila ndio hivyo zinashinda pia na afya zetu.
Booster na ngao katika wanyama na mazao ili kuwa bora zaidi...
Salaam, Shalom!
Aina ya ukichaa ninayoiongelea Leo, ni tofauti, SI Ile inayotibika hospitalini,
Aina hii ya ukichaa ni Ile ambayo madaktari hupima Kila kitu na kuona kipo sawa, wasione ugonjwa wowote, lakini mgonjwa Hali ni Tete.
NINI HUTOKEA KATIKA AINA HII YA UKICHAA.
Pepo au jini...
Mtaalamu maarufu wa mustakabali wa teknolojia, Ray Kurzweil, ametabiri kuwa kufikia mwaka 2030, binadamu wataweza kuunganisha akili zao moja kwa moja na akili bandia (AI) kwa kutumia nanoboti, Virobiti vidogo vya kimitambo vinavyosafiri kupitia damu bila hitaji la upasuaji.
Kwa mujibu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.