mwaka huu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania 2001 TEC ilikuwepo, je, walitoa matamko na press za mara kwa mara kama ilivyo mwaka huu?

    Nauliza tu kwa amani. TEC ina combine wasomi haswa. Au tunaweza kusema TEC ni nyumbani kwa makachero, wanaweza kuwaimgiza watu mkatumukia agenda zao bila ninyi wenyewe kujijua. 2001 yalitokea haya ya 2025 kule Zanzibar, je, TEC ilichukulia serious kama ilivyo leo? au walitoa tamko la juu juu...
  2. JamiiForums Tanzania Jambo pekee la kuwafanya CCM waogope kuwachezea Watanganyika linatimia kwa kasi sana mwaka huu

    Kwa muda mrefu sana, CCM waliwafanya Watanzania kama mazuzu na wapumbavu. Waliwateka, kuwaua, kuwaibia uchaguzi, kufisadi rasilimali za Taifa huku wakiwalisha propaganda za amani, udini, uzalendo, vita vya kiuchumi na nyingine nyingi. CCM hawakuweza tu kuwarubuni Watanganyika kwa uongo bali...
  3. JamiiForums Tanzania USHAURI: Nifanyeje kupata mkopo wa HESLB ili nianze kusoma diploma ya afya mwaka huu 2025 ?

    Pole kwetu wote kwa msiba mzito uliolipata Taifa letu mwaka huu, mwenyezi Mungu awarehemu ndugu zetu waliotangulia mbele za haki, Amina ๐Ÿ™. Enyi viongozi, muwe na hekima, madaraka ni ya kupita tuu, tutakufa tunaacha vyote hapa duniani tupendane tuu ndugu. Sasa, nilifanya mtihani wa kidato cha...
  4. JamiiForums Tanzania Sababu hasa ya maandamano ya "mwaka huu" ni maisha magumu na ufisadi

    Mwaka huu yametokea maandamano mengi sana ya Gen-Z. Huko Nepal watu walitiwa hasa hasira na wanaowaita Nepo babies. Yaani watoto wa vigogo wanaoonyesha maisha ya anasa mitandaoni huku watu wa kawaida wakiishi maisha magumu. Waliona anasa hizo kama ishara ya ufisadi. Zamani wanepali wengi...
  5. JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa mwaka huu umeheshimu madhehebu ya kikristu umefanyika katikati ya wiki

    Mojawapo ya manunguniko ya muda mrefu ni madhehebu ya dini ya kikristu kukosa fursa pale ambapo uchaguzi ulikuwa ukifanyika siku za Ibada hususani jumapili. Niwapongeze INEC kuchukua maoni ya viongozi wa dini na madhehebu mbalimbali na kutenga siku ya katikati ya wiki.
  6. JamiiForums Tanzania Mwaka huu watu wa diploma wanaoenda Bachelor hamna mkopo

    Kila mtu wa diploma ninayr mfahamu hamna aliyepata hata aliye weka cheti cha kifo . Ni kazi kweli kweli kama mikopo ni ya form six tu waseme
  7. JamiiForums Tanzania Silver Strikers leo ikishinda nipigwe Ban mwaka huu wote

    Hii match tumeimaliza nje ya Uwanja. Na ubao unasoma tuna goals zisizopungua 3. Leo hawa madogo wanapigika kinyama hasa. Wameshakubali matokeo. Sisi tupo vizuri na tunaingia uwanjani kuwachakaza hasa. Wanayanga njooni kwa wingi ushindi ni kama pai 22/7 haibadiliki
  8. JamiiForums Tanzania Yasipofanyika maandamano mwaka huu itakuwa ni aibu ya karne na kuitia aibu dunia

    Dunia nzima inaitazama Tanzania Majirani zetu Kenya wanatutazama Tayari walishaatuonesha njia Ila vijana wa Tanzania wanatia mashaka Nafsi yangu inaniambia wataandamana wachache na watachapika vibaya sana. mchana mwema!
  9. JamiiForums Tanzania Tukiwa tumebakiza miezi miwili ya kumaliza mwaka, hadi sasa tukiwa ukingoni, huu ndio uzi wa ovyo wa mwaka huu kwa upande wangu

    ๐Ÿ‘‡๐Ÿป๐Ÿ‘‡๐Ÿป๐Ÿ‘‡๐Ÿป "Uislamu hauruhusu mambo haya dhidi ya Mtawala: Kumkosoa hadharani, kumdhalilisha, kufanya maandamano na kutoka dhidi yake" https://www.jamiiforums.com/threads/uislamu-hauruhusu-mambo-haya-dhidi-ya-mtawala-kumkosoa-hadharani-kumdhalilisha-kufanya-maandamano-na-kutoka-dhidi-yake.2346643/...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Nitasamehewa na Historia? Sitoshiriki Kupiga Kura Uchaguzi wa Mwaka Huu 2025

    Mwaka 2025 umekuja na msisimko mkubwa wa kisiasa nchini Tanzania. Ni mwaka wa uchaguzi mkuu, kipindi ambacho Watanzania wanapata fursa ya kikatiba kumchagua kiongozi wao mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na wabunge na madiwani. Lakini kwa mara ya kwanza tangu nianze kushiriki...
  11. JamiiForums Tanzania Tarehe 29 Oktoba ni kumbukizi ya kuzaliwa Hayati JPM na ndiyo siku ya uchaguzi mwaka huu huku wananchi wakidai kuandama kupinga uchaguzi huo

    Wakuu kuna mambo nayaona kuelekea Oktoba 29 mwaka huu isiyo ya kawaida kabisa katika nchii tangu kizazi cha uhuru. Tarehe hii 29 Oktoba imebeba historia nzito sana kwa Taifa la Tanzania,inahusisha mambo makuu matatu ya kuogofya 1.Uchaguzi Mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani. 2. Kumbukizi ya...
  12. JamiiForums Tanzania UDSM mwaka huu kuna nini?

    Habarini wana jukwaa. Nimeona nije hapa jukwaani nitoe hili jambo, huenda nitapata ufafanuzi. Nimekuwa nikikutana na malalamiko ya wanafunzi waliomaliza form 6 mwaka huu, wanaotarajia kujiunga na vyuo hivi karibuni. Wengi wao wanalalamika kuwa kila waombapo nafasi UDSM wanakataliwa, na wengine...
  13. JamiiForums Tanzania Mambo niliyoyaona kuelekea robo ya mwisho ya mwaka huu (vuli).

    1.Bomu/kombora au ndege ya vita kutoka angani kufyatuka na kwenda kuteketeza makazi ya watu... Tukio hilo litafuatiwa na au litaambatana uvamizi wa watu wenye silaha za moto sehemu flani. 2.Mvua kubwa inayoambatana na radi nyingi, inayoweza kuleta madhara kama yale ya hanang na baadae anga...
  14. JamiiForums Tanzania Mzee Yusufu Makamba kwenye Kampeni Mwaka huu

    Hajaonekana. Mzee wa kulamba asali. Nadhani itakuwa yupo reserve anasubiria kufanya Kampeni mkoani mwake Tanga. Huyu Mzee wa Pwani ana maneno sana nadhani atatumika kwa wakati wake kumnadi mgombea Urais wa CCM. Huyu ni MwanaCCM kindaki ndaki, kada mzoefu ambaye tunamwitaji aongezee nguvu...
  15. JamiiForums Tanzania Kulikoni Mbona Kampeni za mwaka huu zimedoda sana

    Nipo Tanzania Kwa Sasa,ila nilichokiona kimenishangaza sana. Nakumbuka Uchaguzi wa 2010 na 2015 na Kwa mbali wa 2020, ulivyokuwa na hamasa,mshikemshike na burudani kama zote. Uchaguzi wa mwaka huu ni aibu tupu kabisa, Uchaguzi umepoa, umepwaya umekosa Ile political will. Wagombea wa udiwani...
  16. JamiiForums Tanzania Xiaomi inatarajia kuzindua flagship tatu mwisho wa mwaka huu 2025

    Kawaida kampuni ya Xiaomi huachia flagship mbili mwisho wa mwaka huko China lakini mwaka huu ni tofauti, wataachia flagship tatu Kutakuwa na Xiaomi 16, 16 Pro na 16 Pro Max, yani kama iPhone Xiaomi 16 na Xiaomi 16 Pro zitakuwa na vioo vyenye ukubwa sawa na Xiaomi 16 Pro Max itakuwa kubwa zaidi...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Mwaka huu TAKUKURU hawatoi ajira?

    Wakuu mbona mwaka huu kimya TAKUKURU?
  18. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Maridhiano yaliyoahidiwa yanahusu nini?

    Mgombea Urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan amesikika kwenye hotuba ya ufunguzi wa kampeni zake akiahidi kuwepo kwa mazungumzo ya maridhiano katika siku 100 za utawala wake mpya. Nataka sasa awaeleze waTanzania maana ya maridhiano hayo ni nini, ikiwa wakati ahadi hiyo ikitolewa hatua za maovu ya...
  19. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hakuna uchaguzi Tanzania mwaka huu, kuna show kama za wasanii

    Hakuna uchaguzi mwaka huu itafika maonyesho haya ambayo msanii ni Mama Samia wanalipa na watalipa watu kwenda kupiga kura
  20. JamiiForums Tanzania Uzi Maalum kwa ajili ya kampeni za vyama mbalimbali katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025.

    Habari zenu wanaJF wenzang Wakuu kuanzia leo, uzi huu utakuwa unakusanya taarifa, picha, video, vituko na matukio mbali mbali yatakayokuwa yanafanyika katika kampeni za vyama mbali mbali, ili kujiandaa na uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi October mwaka huu. Kama una taarifa, una...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ