Mwaka juzi na mwaka Jana, hapakua na pakukanyaga, yani ilikua balaa hupiti mpaka upenyeze ila mwaka HUU HATA sarakasi unapiga VIZURI TU je,
Watu hawana hela au matamko tata ya viongozi wa dini kupishana mitazamo ya siku husika au ndo basi tu
Mango tree residence ni mradi mpya wa nyumba za makazi na biashara,
Ni mradi wa majengo ma 5 yenye gorofa 17 kila jengo, mradi tayari umeanza kujengwa toka mwezi wa 8 mwaka jana, ambapo unatarajiwa kukamilika mwakani 2027 kwa phase 1 na 2029 kwa phase 2.
Unit zinapopatikana hapa ni one, two...
Yupo hapa kijiweni kwangu. Tangia asubuhi ni Farasi Mweupe, ambiance, Kitoko na Kigogo.
Anasema ndugu zake walimuweka kiti moto kiasi cha kuishiwa raha ya sikukuu.
Kwa nini hauoi na una miaka 47.
Jamaa kachukia sana. Leo kafikia kwangu toka Safari na kibegi chake cha mgongoni. Kaanza...
Mwaka unaisha huu sijahesabu mzigo miezi zaidi ya saba, kila nikitak kuhesabu naahirisha, nikifosi nakuwa sina mood kabisa.
hapo zamani kila mwezi nilikuwa nahesabu
Tupo ukimgoni wa mwaka huu uliokuwa na shuruba nzito nzito
Kwa hakika ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu mpaka leo imetukuta tukiwa tunavuta pumzi yake
Hawa ni members bora kabisa kwangu kwa huu mwaka 2025
1. Binti wa zamani at the top
2. Manyanza
3. Sizinga
4. Chief-Mkwawa
5...
Huko pakistan, wengi wa watoto wa kike wanapozaliwa wanatupwa na mama zao kutokana na utamaduni uliopo katika jamii zao wa kupendelea zaidi watoto wa kiume. Pakistan ni moja ya nchi duniani ambazo wasichana wanapitia uminyaji wa hali ya juu.
Ndoa za utotoni, ndoa za kulazimishwa, ubakaji...
Nauliza tu kwa amani.
TEC ina combine wasomi haswa. Au tunaweza kusema TEC ni nyumbani kwa makachero, wanaweza kuwaimgiza watu mkatumukia agenda zao bila ninyi wenyewe kujijua.
2001 yalitokea haya ya 2025 kule Zanzibar, je, TEC ilichukulia serious kama ilivyo leo? au walitoa tamko la juu juu...
Kwa muda mrefu sana, CCM waliwafanya Watanzania kama mazuzu na wapumbavu.
Waliwateka, kuwaua, kuwaibia uchaguzi, kufisadi rasilimali za Taifa huku wakiwalisha propaganda za amani, udini, uzalendo, vita vya kiuchumi na nyingine nyingi.
CCM hawakuweza tu kuwarubuni Watanganyika kwa uongo bali...
Pole kwetu wote kwa msiba mzito uliolipata Taifa letu mwaka huu, mwenyezi Mungu awarehemu ndugu zetu waliotangulia mbele za haki, Amina 🙏. Enyi viongozi, muwe na hekima, madaraka ni ya kupita tuu, tutakufa tunaacha vyote hapa duniani tupendane tuu ndugu.
Sasa, nilifanya mtihani wa kidato cha...
Mwaka huu yametokea maandamano mengi sana ya Gen-Z. Huko Nepal watu walitiwa hasa hasira na wanaowaita Nepo babies. Yaani watoto wa vigogo wanaoonyesha maisha ya anasa mitandaoni huku watu wa kawaida wakiishi maisha magumu. Waliona anasa hizo kama ishara ya ufisadi.
Zamani wanepali wengi...
Mojawapo ya manunguniko ya muda mrefu ni madhehebu ya dini ya kikristu kukosa fursa pale ambapo uchaguzi ulikuwa ukifanyika siku za Ibada hususani jumapili.
Niwapongeze INEC kuchukua maoni ya viongozi wa dini na madhehebu mbalimbali na kutenga siku ya katikati ya wiki.
Hii match tumeimaliza nje ya Uwanja. Na ubao unasoma tuna goals zisizopungua 3. Leo hawa madogo wanapigika kinyama hasa.
Wameshakubali matokeo. Sisi tupo vizuri na tunaingia uwanjani kuwachakaza hasa.
Wanayanga njooni kwa wingi ushindi ni kama pai 22/7 haibadiliki
Dunia nzima inaitazama Tanzania
Majirani zetu Kenya wanatutazama
Tayari walishaatuonesha njia
Ila vijana wa Tanzania wanatia mashaka
Nafsi yangu inaniambia wataandamana wachache na watachapika vibaya sana.
mchana mwema!
👇🏻👇🏻👇🏻
"Uislamu hauruhusu mambo haya dhidi ya Mtawala: Kumkosoa hadharani, kumdhalilisha, kufanya maandamano na kutoka dhidi yake"
https://www.jamiiforums.com/threads/uislamu-hauruhusu-mambo-haya-dhidi-ya-mtawala-kumkosoa-hadharani-kumdhalilisha-kufanya-maandamano-na-kutoka-dhidi-yake.2346643/...
Mwaka 2025 umekuja na msisimko mkubwa wa kisiasa nchini Tanzania. Ni mwaka wa uchaguzi mkuu, kipindi ambacho Watanzania wanapata fursa ya kikatiba kumchagua kiongozi wao mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na wabunge na madiwani. Lakini kwa mara ya kwanza tangu nianze kushiriki...
Wakuu kuna mambo nayaona kuelekea Oktoba 29 mwaka huu isiyo ya kawaida kabisa katika nchii tangu kizazi cha uhuru.
Tarehe hii 29 Oktoba imebeba historia nzito sana kwa Taifa la Tanzania,inahusisha mambo makuu matatu ya kuogofya
1.Uchaguzi Mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani.
2. Kumbukizi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.