mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni biashara au kazi gani inayoweza kumpa mtu kuanzia milioni 50 kwa mwaka?

    Kama una kipato au kazi ambayo inaweza kuingiza kipato kuanzia milioni 50 kwa mwaka, weka hapa ni kazi au biashara gani ili watu wajifunze. Au mtu afanyaje aweze kufika huko ikiwa ni hatua ya kijitoa kwenye umasikini, ni mradi gani afanye au mbinu gani atumie. Nini aepuke ili asijekupotea...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Rais Samia Suluhu

    Akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alisema: “Tutasaidiwa kuiharibu nchi yetu, lakini hatutasaidiwa kuijenga tena. Tanzania ni yetu sote na tunapaswa kuilinda.”
  3. JamiiForums Tanzania Odyssey movie inayosubiriwa kwa hamu mwaka huu

    Movie kali Odyssey ambayo producer Christopher Nolan ndiyo movie inayosubiriwa kwa hamu mwaka huu largely and anticipated. Stering wa movie hiyo Matt Damon anaigiza kama Odyssey kama false wa ugiriki kutoka ithaka kwenye simulizi za zamani za kigiriki. Baada ya vita vya Trojan Odysseus anarudi...
  4. JamiiForums Tanzania Mchange: Mnyika aliacha kugombea Ubungo mwaka 2015 kwasababu hakukubaliana na ujio wa Lowassa CHADEMA

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mwanaharakati wa kisiasa, Habibu Mchange, amedai kuwa aliyekuwa Mbunge wa Ubungo, John Mnyika, aliamua kutogombea tena nafasi hiyo katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 kutokana na kutokubaliana na uamuzi wa CHADEMA kumpokea aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Siku 30 za CW zinatoa nguvu kwa maandamano ya 8/8 katika uso wa jumuiya ya kimataifa. Je mwaka huu utakuwa mwaka wa maandamano na migomo?

    Katika hali ya kipekee October 29 ni kama jana, hii siku haijafutika katika vichwa vya Watanzania wote na ukisoma Barua ya Common wealth, kuanzia siku 30, 60, 90 yote yanatoa nguvu Kwa maandamano ya 8/8 hadi October 29 kuwa na sura ya shinikizo la kimataifa na kuungwa kwake. Hizi siku 30...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Je, wajua? Kwa chini kabisa, msichana/mwanamke mzuri anatongozwa mara 2 kila siku; kwa mwaka mara 730. Halafu unadhani wewe ndio umemgundua umtongoze?

    Huwa nawashangaa sana wanaume ambao wakimwona msichana au mwanamke mzuri wa kuvutia lazima wajaribu bahati yao, iwe njiani, conference, baa, chuoni, safarini, kazini nk. Hivi huwa hata mnajiuliza kwamba uzuri unaouona karibu kila mwanaume anauona, na anavutiwa nao na atataka kujaribu bahati...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hawa madogo wanao endesha Sinoray kwa sifa mpaka mwaka huu unaisha tutakua tumefukia wengi sana

    Na huna cha kuwaambia wanajiona wameyapata maisha , hizo sinoray zilizoundwa kwa matembezi ya kawaida wao wanaziona kama XL za mashindano na michezo. Iwe foleni, mlimani, kivukoni, wao ni mwendo mdundo wakijisifu kwa kupangua gia Tukisema tufanya maisha yetu tuachane nao bado sio sawa, kuna...
  8. JamiiForums Tanzania Gari za umeme mtupu ni nzuri ila kwa africa zitusubiri kwanza mpaka tutakapo zikifikia gari za mafuta za mwaka 2026 zikawa kitonga.

    Gari za umeme ni nzuri na hazitumii mafuta ni kuchaji tu. Kwa africa sio za kuzipokea haraka maana hatuna uwakika wa umeme,miundo mbinu ya vituo vya kuchaji,mifumo ya mazingira ya gari . Hizi barabara zetu nikama unachezea pesa.
  9. JamiiForums Tanzania Dkt. Lugomela: Niliwapatia fedha za posho baadhi ya madiwani kwenye mchakato wa kura za maoni za CCM mwaka 2025 hawakutekeleza makubaliano

    Mbunge wa Maswa Mashariki, Dkt. George Venance Lugomela, amesema aliwapatia baadhi ya madiwani fedha alizozitaja kuwa ni posho wakati wa mchakato wa kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) mwaka 2025, akidai baadhi yao hawakutekeleza makubaliano waliyokuwa nayo. Akizungumza katika kikao cha...
  10. JamiiForums Tanzania Ushuru wa Tesla Model 3 ya 2019 ni karibia theruthi ya Ushuru wa Toyota Crown ya mwaka huo huo. #EV4Everybody!

    Hapa namaanisha Tesla kutoka USA na Crown kutoka Japan. Walivyosema wanashusha kodi za EV walimaanisha aisee. Juzi juzi Model 3 bila Mil 20+ ya ushuru usiangaike kuitafuta leo unaipata kwa Mil 14. Muda huo huo Ushuru wa Crown generation ya 15 wamoto hatari. Unazidi Mil 38. Hybrids...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna member mzanzibari mwenye asili ya asia nae alifariki mwaka jana mwezi wa tano au sio wasita, tumuombee nae

    Huyu mzanzibari alikua kama anko wangu nadhani jamii forum ndo iliyo tufanya tuwe kama ndugu, mi nilikua nimeajiriwa na mdogo wake wa kike, ndo tulipo fahamiana hapo. Alikua anafanya kazi smz kama si ardhi, basi mambo ya ujenzi sijui sikumchinguza sana, alikua akiishi stone town, mwaka Jana...
  12. JamiiForums Tanzania Hatimaye nimefikisha mwaka mmoja without Sex

    Faida nilizopata ni nyingi Sana Mimi sio yule wa mwaka 2025 -july najishukuru, Hamu ya sex sometimes ilikua kali sana ila nilifanya mazoezi makali Gym na kufikiria mambo magumu yasiyo na majibu kwenye real world
  13. F

    JamiiForums Tanzania Uwezekano wa Museveni na Kikwete kutomaliza mwaka huu ni mkubwa sana

    Nikiri. Mie si mtabiri wal sifanyi utabiri wala kufanya hiki ninachoandika utabiri bali uoni. Ila nina hisia kuwa watajwa hapo juu, kwa namna mmoja alivyoadimika na mwingine alivyoanza kumuandaa mwanae kuchukua ukanda, kuna kitu kinafichwa kiafya. Tunajua Kikwete anasumbuliwa na kansa ya...
  14. JamiiForums Tanzania CHADEMA Mkienda mahakamani, hukumu itatoka mwaka 2030.Tutumie mabavu kufanya Siasa

    CCM wakiangalia mbele ni giza sababu haakuna walichofanya. Hivyo wanahofu ya kuondolewa madarakani. Mikutano ya CHADEMA inawatisha kwani walitegemea CHADEMA imekufa. Hata 29.10.2025 walipiga risasi wananchi sababu walihisi waliokuwa wanaandamana ni CHADEMA. Nashauri CHADEMA tutumie mabavu...
  15. JamiiForums Tanzania Mwaka gani ulikutana na tatizo la afya ya akili na kipi kilipelekea kukutana na tatizo hilo?

    Mwaka gani ulikutana na tatizo la afya ya akili na kipi kilipelekea kukutana na tatizo hilo? Nakumbuka nadhani ilikuwa mwaka 2020 na 2022 nilipata mawazo na msongo mkubwa baada ya kuenea corona dunia nzia tulishuhudia shughuli mbalimbali zikisitishwa na mambo mengi kusimama na ikatubidi...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto Somo la Pharmacognosy KIUT Dar, Mwalimu Atajwa...!

    Kutoka Chuo cha KIUT Dar es Salaam, wanafunzi wa corse ya Bachelor of Pharmacy mwaka wa 4 na 3 tunakumbana na changamoto ya mwalimu mmoja ambae somo lake (pharmacognosy)mpaka uzunguke mbuyu ndio ufaulu hata mitihani yake sio standard kabisa.
  17. JamiiForums Tanzania KERO Serikali imewadhulumu madaraja wafanyakazi walioajiriwa mwaka 2014 na mpaka leo hakuna mtetezi

    Wale walioajiriwa mwaka 2014 walikaa miaka 7 (miaka saba) Kwa lugha ya who are you (SEVEN YEARS) bila kupata nyongeza wala kupandishwa daraja bila kosa lolote! imagine kuanzia mwaka 2014 wakaja kupanda daraja mwaka 2021! pamoja na nia nzuri ya serikali LAKINI kuna haja ya kufidiwa hili daraja...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Lissu alivyochambua kasoro za Muungano katika Bunge Maalum la Katiba mwaka 2014

    Kumbukizi: Kauli za Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu alizozitoa katika Bunge Maalum la Katiba mwaka 2014 kuhusu kasoro zilizopo kwenye Muungano. Wakati huo alikuwa Mkuu wa Sheria wa chama hicho na Mbunge wa Singida Mashariki.
  19. R

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Kichina lilivyozua mjadala mitandaoni wa chuki na Ubaguzi wa Rangi mwaka 2016

    Mnamo Mei 2016, kampuni ya vipodozi ya nchini China iitwayo Shanghai Leishang ilirusha tangazo la kidijitali la Sabuni ya kufulia wa Qiaobi, ambalo lilishtua ulimwengu mzima kwa ubaguzi wa wazi wa rangi. Tangazo hilo lilimwonyesha binti mmoja wa Kichina akimsukumia kwa utani mwanamume mweusi...
  20. JamiiForums Tanzania Iweje Zanzibar Tarehe 1 Muharam 1448 Sikukuu Inaadhimisha Mwaka wa Kiislamu Bara ni Siku ya Kazi?

    https://youtu.be/6tQNJaVTWlo?si=kcNDLLVOAAy8RaOA
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…