Waafrika twendeni kwa wingi kuwasaidia ndugu zetu Russia dhidi ya Mabeberu.
Ukrainian troops from the 63rd Mechanized Brigade captured a Ugandan man, Richard Akantoran, who said he was lured to Russia with promises of civilian work and then forced to sign a military contract under threat of...
Hata kama wizi upo kote ila kwa waafrika ni default settings
Lori likipiga mzinga default settings za waafrika huwa ni Baraka imeshuka, watu wanajsevia hawajali hasara wanayotengeneza
Mwajiriwa anaelipwa kwa kodi za wananchi bado anahitaji mlungula au ya soda ili afanye kazi yake, bila hivyo...
Kwa matukio yaliyotokea siku za karibu kuna maswali imebidi nijiulize
Mwafrika ni rational human being
What if wanaotubagua wako sahii kwa asilimia mia mkuu content ya character zetu ni ya ajabu sana
Kwa nini tusirudi kwenye utawala wa kifalme kama demokrasia hatuwezi
Hivi marekani ingekuwa ni...
"Waafrika wengi tumepewa zawadi ya kufikiri, lakini tunaikabidhi kwa viongozi wa dini kama sadaka, kisha tunalalamika tunapopotezwa hata katika mambo yanayohitaji akili tu, si maombi ya kufunga." — Alloyce, P.R.
Habari wakuu.
Uzi huu ni kwajili ya Quotes Mbali Mbali Kwa watu mashughuli duniani ambao bado wapo Hai na wengine waliotangulia kwenye ulimwengu mwengine.
Walianza kama wapigania uhuru lakini baada ya kupewa huo uhuru wamebadirika na kuwa wakoloni wa kiafrika wenye kujirimbikizia mali kwaajili ya familia zao na siyo Afrika.
Kila taifa lina tabia na tamaduni zake zinazostahili kuenziwa hata kwa mtutu wa bunduki.
Wakenya wanatabia na tamaduni za kianzisha fujo na chokochoko nchini kwao na wakaangaliwa tu na serikali yao kwa kuwa inawadekeza hivyo.
Kama wangekuwa na nia ya kuja kufuatilia kesi ya Lissu wangeomba kwa...
Mwafrika ndiye mwanadamu ambaye hajawahi kupata raha halisi ya duniani ambayo Mungu aliiweka.
1. Ujima
Zama za ujima Mwafrika alikufa mapema sana, life expectancy yake ilikuwa fupi sana. Baridi, magonjwa ya kitropiki vimemuua sana Mwafrika.
2. Utumwa
Watu kama Waarabu wakamuona Mwafrika kama...
Bado naendelea kutafuta asili ya mwanadamu na kwanini yupo duniani.
Nimesha taja nadharia Sita kuhusu kile ninacho ona huenda kikawa ndio chanzo cha Sisi kuwepo hapa duniani.
Hii ni nadharia yangu namba saba.
MWAFRIKA HAJAUMBWA.
Ila?
MWAFRIKA yuko pamoja na Mungu.
Kama ambavyo Mungu hana...
Sisemi kila mwafrika bali kwa wastani, wapo waafrika wana akili nyingi lakini ni wachache wa kuhesabu
Hata kwa akili za darasani nachokiona wengi wanaishia kukariri tu, mpaka leo hatuna maabara za kutengenezea madawa ya magonjwa yanayotusumbua waafrika ila watu wana phd za mambo ya madawa...
Uzi huu natamani hata usomwe na mtu mmoja tu ntafurahi,
Ilimradi mtu huyo mmoja spare ufahamu juu ya ukweli juu ya Baraka alizokirimiwa mtu MWEUSI na namna mtu mweus alivyo ongelewa kwa uzuri ktk biblia .
Kuanzia sa nne naanza kupost taratibu, Sasa uuonapo Uzi huu comment kitu chochote ili...
Waafrika ndio tunaongoza kwa kuwa na waumini wengi wa kanisa katoliki Duniani, Kuchagua Papa Mzungu si sahihi.
wazungu wengi wameachana na mambo ya dini na hawaendi makanisani, mambo ya dini yamebaki Afrika, kwa mbali kidogo Nchi za kilatini na Ulaya ya maghariki.
Hali ya kidini nchi za...
Waafrika hao ndivyo walivyoelewa na siyo kwamba wao ndiyo wako sahihi kwa walivyoelewa hakuna Mwafrika mwenye akili aliye muislam au mkristo wote wanaoishi humo ni MATAHIRA kwani wanaishi kwa hofu ya moto kwa mambo ya kuhadithiwa na watu waliowatawala na wasiyokuwa na utu
Hili liko wazi na halipongiki.
Kama Waafrika wamesoma hadi kuwa maprofesa na bado hawatambui juu ya uongo ndani ya uislam/ukristo na bado hawatambui wanatoka wapi na wanenda wapi kiasi cha kuendelea kutumia majina ya ubatizo ya kizungu na kiarabu yasiyo na maana kwao...
Habarini,
Hili nalo linafikirisha sana MWAFRIKA,unaenda kusujudia kabuli la yesu na muhamadi na kuacha kusujudia makaburi ya WAZAZI/WAASISI ambao ni BIBI na BABU zako yanayokuzunguka na ulio na vinasaba nao ,unaakili wewe kweli?
Yaani hata kitasafusha kwa kuyapalilia tu umeshindwa ila...
Habarini,
Tafakarini juu ya hili kwa kumshirikisha MUNGU WA KWELI WA WATU na siyo mungu wa uongo wa warabu na wazungu.
Iweje DNA za WAAFRIKA, wahindi,wachina,wazungu,waafrika ziwe tofauti kama kweli wote wametokana na adamu na hawa??
Habarini,
Ni wazi kwa sasa Waafrika hawahitaji ukombozi wa kisiasa na kidini hasa ukizingatia ua kuwa siasa na dini zimewafanya Waafrika kuwa wavivu wa kufikiri na kutumia akili katika kupambanua mambo kwaajili ya ustawi wao.
Siyo wokovu wa kodini au ukombozi wa kisiasa kama vile "no reform...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.