mwabukusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Mwabukusi awalipua haya kuhusu wanaharakati na CHADEMA

    Wakuu, nimekiona hiki kipeperushi je, kina ukweli kwa haya yaliyoandikwa kwa kurejelea mahojiano aliyoyafanya Mwabukusi na kituo cha Clouds TV?
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi akemea vurugu za polisi mahakamani, asema ni shambulio dhidi ya haki

    Rais wa Chama cha Wanasheria nchini Tanzania (TLS), Boniface Mwabukusi, ametoa tamko kali akilaani kitendo cha polisi kuwashambulia raia na Wakili Mahinyila ndani ya viunga vya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam. Amesema, “Shambulio lolote dhidi ya wanasheria ndani ya eneo la Mahakama ni...
  3. Mathayo Fungo

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi akataa kuvuruga amani ya nchi, asema Rais hafokewi

    Rais wa Chama cha wanasheria Nchini (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi amesema hayupo tayari kuwa mmoja wa watanzania watakaohamasisha vurugu au kulazimisha wananchi kutojitokezakupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani kwani yeye hawezi kutumika wakati Maisha yake na familia...
  4. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wakati polisi wakiendelea kupiga wananchi mahakamani, Mwabukusi asema Jeshi la Polisi linatakiwa kufumuliwa lote, mitaala yao ibadilishwe

    Wakati akizungumza na Clouds 360 leo Septemba 15, 2025 , Rais wa TLS Boniphace Mwabukusi ameeleza kuwa mabadiliko makubwa yanayotakiwa kufanyika nchini ni kubadili jeshi la polisi namna yake ya ufanyaji kazi. Haya yanajiri katika siku ambayo polisi wanaendelea kuwapiga wananchi waliohudhuria...
  5. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Inawezekana huyu tuliyemuona kaenda Ikulu sio Mwabukusi, wamemtengeneza mtu mwingine anayefanana naye

    Wakati ule tulisema Christopher Mtikila sio yeye yule kabla hajaenda kusoma Ulaya,labda wazungu wametuletea Christopher Mtikila mwingine,sasa na huyu ndugu yetu Mwabukusi labda si yeye kuna waarabu watakuwa wamembadilisha ubongo au AI,inawezekana kabisa huyu sio Mwabukusi.
  6. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na rais wa TLS, Mwabukusi - Ikulu ya Chamwino Dodoma

    UPDATES KUTOKA KWA MWAMBUSI: - Leo Nimefika Ikulu CHAMWINO kuwasilisha Majumuisho ya wadau na tulipata nafasi ya kuzungumza na Kumueleza Mh.Rais wa Jamuhuri ya Muungano kuhusu Utawala Bora,Haki zabkushiriki katika chaguzi za kidemokrasia,Masuala ya Utekwaji na enforeced Disappearance ...
  7. Black Tanzanite

    JamiiForums Tanzania MWABUKUSI nae kawa ADUI YAO....😎

    Ona sasa Tayari Mwabukusi kwa kauli yake juu ya kauli ya SLOWSLOW bin MIFUMO.....KASHAKUWA ADUI wa Wazee wa (NO "LEFORM" NO "ERECTION") 😁😁😁😁 maana hawa jamaa bhana akili zao🙌
  8. R

    JamiiForums Tanzania Adv. Mwabukusi umetimiza wajibu wako, lakini hawa wameshakuwa sikio la kufa kama Idd Amin wa Uganda.

    Tuliokuwepo watu wazima wakati wa kutoelewana kati ya Idd Amin na Nyerere, Idd Amin aliambiwa kila jema na dunia nzima .....alilipuuza kila kitu akiamini ana jeshi la kuwakabiri watanzania!. Matokeo yake kila mmoja anayajua Idd Amin alifia wapi! Hali iko hivyo hapa kwetu. Mtawala wetu sidhani...
  9. B

    JamiiForums Tanzania TLS, Mwabukusi: "Mweleweni Polepole kwenye hoja yake ya mifumo ya CCM, INEC na NIDA kuhusiana na wizi wa chaguzi kiufundi."

    Palikuwa na uzi humu: Soma: Polepole kuitisha mifumo ya uchaguzi na NIDA kuhusiana na CCM kukaguliwa, ili kujiridhisha ina maana gani kiufundi? Uzi huo ulikuwa na maelezo ya kina katika lugha rahisi kuhusiana na alichosema Polepole na kuibiwa uchaguzi alikokuangazia. Ikumbukwe anayeweza...
  10. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwabukusi: Maelezo ya Polepole ni mazuri lakini hayana facts

    Katika press aliyoiitisha Rais wa Tanzania Law Society (TLS) Boniphace Mwabukusi amesema maelezo ya Polepole ni mazuri lakini hayana facts. Maelezo hayo yameibuka mara baada ya mmoja wa waandishi kumtaka Mwabukusi aelezee suala la Polepole kuwa mifumo inasoma akiirejelea mifumo aliyoisema pole...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwabukusi: Kumekuwa na msisitizo mkubwa kwenye amani lakini watu wakasahau haki

    Akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 26, 2025 jijini Dar es Salaam, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, amesema kumekuwapo na msisitizo mkubwa wa kulinda amani nchini huku haki ikisahaulika. Amesema ni muhimu kutambua kuwa amani ya kweli haiwezi kuwepo...
  12. kavulata

    JamiiForums Tanzania GE2025 MWABUKUSI nenda bungeni zinakotungwa sheria, kelele za nje ya Bunge ni too late

    Sheria ni sheria hata kama ni sheria mbaya. Uchaguzi huu unaendeshwa kwa mujibu wa sheria zetu hadi hapo sheria itakaposema vinginevyo. Kelele zinazosikika za akina MWABUKUSI na wengine ni kelele za kutaka watu wapindishe sheria ili kuwaridhisha watu wasioipenda sheria husika. Katiba hii ni...
  13. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Gwajima amehamia NCCR Mageuzi na Mwabukusi ameamua kumuunga mkono mgombea Urais wa CHAUMMA

  14. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Mwabukusi: Watanzania wana wajibu wa kidemokrasia wa kushiriki uchaguzi

    Naombeni kujua hii una ukweli wowote?
  15. P

    JamiiForums Tanzania Ifike mahali serikali ya Tanzania na hasa TCRA iwaheshimu watanzania

    Wakuu habari za muda huu? Naandika hapa nikiwa nimefura kupitiliza. Imetosha sasa, hii serikali inabidi ifike mahali iheshimu raia. Haiwezekani watu wawe wanajizimia zimia tu mitandao wanapojisikia. Watu tumejiajiri huko YouTube, na leo jioni hii nilikuwa na darasa (huwa natrain watu mbali...
  16. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Wanasheria wa Tanzania wengi ni VIHIYO WA SHERIA WAKIONGOZWA NA MWABUKUSI RAIS WAO, mnakubalije mwanasheria mwezenu asukumwe kama kondom na askari mag

    Mwabukusi na WENZAKO wote nyie ni vihiyo haiwezekani mnajua Lissu sio muhaini nyie mmekaa TU mmeshindwa hata kuandaa maandamano ya kushikiza aachiwe Hivi Jana mliona alivyosukumwa kama kondom iliyotolewa kwenye sehemu za Siri za kiume zilizomaliza kujamiana Shame on you all rubish lowyer...
  17. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: kukosoa si chuki, kutokubaliana na mfumo sio uasi siwezi na sitokubali kuendeshwa

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi amesema hatojiunga na chama chake cha kisiasa katika mchakato wa uchaguzi kwa sababu haamini kama mazingira ya sasa yanaruhusu uchaguzi huru na wa haki. Ameandika kwenye ukurasa wake wa X kuwa hatakiwi kuwa mtumwa wa kila...
  18. BigTall

    JamiiForums Tanzania Alichoandika Wakili Mwabukusi kuhusu CHADEMA kuzuiwa na Mahakama kufanya shughuli za Kisiasa

    IAM DEEPLY CONCERNED. YAWEZEKANA TUKO KATIKA JANGA LA KISHERIA – UHALISIA WA KUTISHA KIDEMOKRASIA !? Hili linaweza kuwa moja ya zuio la kipekee kabisa, la upande mmoja, kuwahi kutolewa katika historia ya nchi zinazofuata mfumo wa Common Law. Kwa kawaida, zuio (injunction) hutolewa kwa lengo...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Boniface Mwabukusi: Si kila Kiongozi wa Dini ni Mtumishi wa Mungu

    Katika historia ya mwanadamu na hata katika maandiko matakatifu, ipo tofauti kubwa kati ya viongozi wa dini na watumishi wa kweli wa Mungu. Ni muhimu kwa jamii kutambua kuwa si kila kiongozi wa dini ni mtumishi wa Mungu. Na si kila anayesema "Bwana, Bwana" ataingia katika Ufalme wa Mungu...
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi alaani unyanyasaji waumini kanisa la Gwajima

    Wakili na mtetezi wa haki za binadamu, Boniface Mwabukusi, ametoa tamko kali akilaani hatua ya Serikali dhidi ya Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Dkt. Josephat Gwajima, akisema ni shambulio la wazi dhidi ya uhuru wa imani na haki ya kuabudu. Katika taarifa yake kwa umma...
Back
Top Bottom