mwabukusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    Boniface Mwabukusi: Iundwe Tume huru ya kulichunguza Jeshi la Polisi

    Polisi makao makuu waliunda Kamati kuchunguza kutekwa kwa Mdude mpaka sasa kimyaa japo afisa wao alitajwa bayana. Mzee Kibao uchunguzi unaendelea, Soka na wenzake Mahakama ikaamuru Polisi wa chunguze hadi leo kimyaa labda bado wanaichunguza amri ya mahakama. Soka na wenzake uchunguzi...
  2. Dalton elijah

    SI KWELI Boniface Mwabukusi: Matamshi ya Lissu yalikuwa na Uhaini ndani yake turudi mezani yanazunguzika

    Katika siku za hivi karibuni, kumekuwepo na picha (graphic) inayosambazwa kwenye vikundi vya Facebook ikimnukuu Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS). Boniface Anyisile Mwabukusi Picha hiyo inadai kuwa Rais huyo amesema matamshi ya Tundu Lissu yana viashiria vya "uhaini" na kwamba...
  3. Genius Man

    Mwabukusi: Jeshi la polisi lichunguzwe kwa uhalifu wa wazi na uvunjaji wa sheria .

    JESHI LA POLISI LICHUNGUZWE KWA UHALIFU NA UVUNJAJI WA KATIBA. kwa barua hii sasa ni uthibitisho kwamba kuna hitajika uchunguzi maalum kwa Jeshi la Polisi. Huu ni Uharamia na Uvunjwaji wa Sheria .Sheria inataka unapo mkamata mtu moja ya haki ni kuwasiliana na Ndugu zake au mwanasheria wake au...
  4. M

    Nikumuona Boniface Mwabukusi akiendelea kukaa pamoja na waliomteka na kumuua Mdude Nyagali naishiwa nguvu.

    Mtu mwenye moyo wenye nyama lazima uwe na maumivu kiasi cha kutokuwa na ushirikiano na wauaji waliomchukua mtu uliyekuwa unatembea nae masa 24 na kufanya harakati. Kwa nini uende kwenye ufunguzi wa siku ya sheria nchini? Unasimama na kuhutubia bila kutaja habari za Mdude Nyagali.
  5. DuaZaMama

    PostGE2025 Rais wa TLS: Kila anayatakiwa kuwajibika awajibike kwa maslahi mapana ya Taifa letu, viongozi msizungumze kutonesha mioyo ya wananchi

    Rais wa Chama cha Mawakili Tanzania (TLS), Boniface Mwabukusi, akizungumza wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini 2026 yenye kauli mbiu ‘Mchango wa Mahakama katika Ustawi na Maendeleo ya Taifa’, jijini Dodoma, amegusia suala la Oktoba 29, 2025 akisisitiza kuwa kila anayepaswa kuwajibika...
  6. M

    Mwabukusi: Kutokufaulu mithani wa uwakili ni kukosa uadilifu, siyo kuonewa

    Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi ameyasema hayo katika Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini, 2026
  7. R

    Mwabukusi: Wamemuuwa wakili Joseph Masanja na wamekataa kuchunguza

    Akizungumza na Jambo TV leo Januari 09.2025, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi ameeleza namna mawakili wananyanyaswa na vyombo vya dola wakati wanajitoa bure kutetea wananchi. Mwabukusi amerejelea sakata la wakili kupigwa ndani ya mahakama na kifo cha...
  8. R

    Mwabukusi: Huwezi kutenganisha Siasa na dini

    Wakili Mwabukusi amesema serikali ya Tanzania haina dini lakini raia wake wana dini, akisisitiza dini ndiyo siagi ya siasa na huwezi kutenganisha siasa na dini kwani dini ndiyo hutoa maadili. Pia ameeleza kuwa mtu yeyote asiye na dini asipewe nafasi ya uongozi
  9. K

    Mwabukusi: Wanaosema mimi ni 'Ndumila kuwili' hawana maadili, baadhi ni wanachama wa CHADEMA

    "Wengi wanaosema hivi ni watu ambao hawajalelewa kimaadili, kwa mfano leo mimi nimekuja hapa Jambo TV huwezi kuniuliza swali linalonikera nikapigana na wewe, kufanya hivyo ni kukosa maadili na kutowatendea haki sio wewe tu bali na wafuatiliaji wa chombo hiki, kuna namna ya kuwasiliana, mimi ni...
  10. R

    Mwabukusi: Tundu Lissu amekamatwa kinyume cha sheria, ameonewa

    " Tundu Lissu hajakamatwa kisheria, amekamatwa kinyume cha sheria, ameshatgakiwa kinyume cha sheria na mashataka yake yapo kinyume cha sheria. Lazima tujifunze kukataa tutazoesha watu wanakukamata tu hapa wanasema umepindua nchi na kukamata nakupeleka kule alafu nasema msijadili suala lipo...
  11. K

    PostGE2025 Mwabukusi: CHADEMA ndo chama pekee kinachozungumza hoja za mwananchi wa wakawaida

    CHADEMA wamekuwa wajanja, CHADEMA ndo chama pekee kinachozungumza hoja za mwananchi wa kawaida; Haki za binadamu, utawala bora, threats, kupigwa, enforced disapperance- Amesema Wakili Mwabukusi
  12. R

    PostGE2025 Mwabukusi: Kuna watu wameuawa Oktoba 29 wamepigwa risasi ndugu wakaambiwa waseme wamekufa kwa homa ili wapewe maiti

    Akizungumza na Jambo TV leo Januari 09.2025, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi amesema wananchi wamekuwa wakipeleka malalamiko kuwa kuna ndugu zao waliuawa Oktoba 29 kwenye vurugu wakaambiwa kusema wamekufa kwa homa ili wapewe maiti na hata vyeti vya vifo...
  13. W

    Mwabukusi awashangaa wanaosema kwa lugha nyepesi tusameheane baada ya mauaji ya Oktoba kama vile mtu amekanyaga tu kitumbua

    Rais Wa Chama cha mawakili Tanganyika ameeleza kuwa mauaji yaliyotokea Oktoba ni makubwa hayakuwahi kutokea Toka Tanganyika ijulikane na si Muarabu, Mjerumani wala Muingereza aliyefanya mauwaji makubwa hivi. Awashangaa watu wanaozungumza kwa lugha nyepesi tu kuwa tusameheane kama vile mtu...
  14. R

    Mwabukusi: Mahakama iruhusu baadhi ya kesi zirushwe mubashara, isipende kuendesha mambo gizani

    Akizungumza na Jambo TV leo Januari 09.2025, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi amesema ni vyema Mahakama ikakubali kwenda sambamba na ukuaji wa teknolojia Duniani ulivyo kwa sasa ambapo kufanya hivyo haiwezi kuwa tatizo linaloweza kuathiri mwenendo wa kesi...
  15. Just Pray

    PostGE2025 Mwabukusi: Kama TEC ilisimama na watanganyika hakutakuwa na kosa lolote watanganyika kwa umoja wetu kusimama na TEC kuukabili uovu

    Anaandika Rais wa TLS kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa X, Boniface Mwabukusi. HATUTAENDELEA KUKAA KIMYA DHIDI YA UOVU. Hii ni project yenye sessions 27 mpaka sasa zimefika tano. Nadhani huu siyo uchokozi dhidi ya TEC ,Father Charles Kitima, Mapadre wala Watawa na Wakatoliki wa kweli...
  16. Genius Man

    Kitima, Heche na Mwabukusi wamepiga mawe na ninaona habari zao kimataifa zikichapishwa na dunia inaona ukweli

    Kitima, Heche na Mwabukusi wamepiga mawe na ninaona habari zao kimataifa zikichapishwa na dunia inaona ukweli
  17. Ileje

    PostGE2025 Boniface Mwabukusi ahoji kuhusu kijana aliyehongwa bilioni tano na Mabeberu

    NINAFIKIRI KIJINGA!? 1.Kwamba kuna kijana kapewa Bilion Sita? Yuko huko Afrika Kusini? Kwa hiyo alipopewa akawaambia Mwambegele na wenzake tumieni Kanuni Kuiondoa CHADEMA kwenye Uchaguzi Kinyume cha Katiba na Sheria? 2.Baada ya Hapo kijana huyu asiye mzalendo kwa manufaa ya mabeberu akaiagiza...
  18. Ileje

    PostGE2025 Boniface Mwabukusi: Viongozi acheni kudogodesha mauaji mliosababisha!

    Viongozi wajiepushe na Kauli za Kudogodesha mauwaji waliyoyasababisha kwa kutokuwajibika kwao. Walipuuza Mazungumzo na kudhihaki kila jitihada ya Mashauriano. Watu waliwaona na kutambua Maiti za ndugu zao kwenye picha na mitandao ya kijamii wakiwa wameuawa wana kwenda Mochwari miili hamna bado...
  19. Mkalukungone Mwamba

    PostGE2025 Mwabukusi: Nimezitizama video za watu waliouwawa Oktoba 29, Inahitaji moyo wa kishetani kuzungumzia maridhiano

    MTU NI UTU NA SIYO KILA MTU ANA UTU. NIMEONA VIDEO KWENYE UKURASA WA DADA MANGE KIMAMBI. NInapotizama video hizi za ndugu zetu walio uwawa na kulundikwa mithili ya Mikungu ya Ndizi kutokana na maandamano ya tarehe 29 oktoba 2025 Inahitaji moyo wa kishetani kuzungumzia maridhiano kabla ya...
  20. R

    PostGE2025 Mwabukusi: Kinachohitajika sasa ni ukweli, haki na uwajibikaji, tusiwalaumu vijana ni waathirika wa mifumo

    Rais wa Chama Cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) Wakili, Boniface Mwabukusi, amesema kwa sasa Taifa linahotaji haki, ukweli na uwajibikaji, mambo ambayo amesema yatawawezesha watanzania kufahamu watatoka kwa namna gani mahali walipo kwa sasa, na sio kuanza kuwalaumu Vijana ‎ ‎Akizungumza na...
Back
Top Bottom