mvua

  1. JamiiForums Tanzania Serikali Yasaini Mikataba 93 Ujenzi wa Miundombinu Iliyoathiriwa na Mvua

    Bashungwa asisitiza TANROADS haiko hoi, miradi 87 yaendelea kutekelezwa Serikali kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) imesaini mikataba 93 yenye jumla ya Shilingi Bilioni 868.56 kwa ajili ya ujenzi wa miradi ya dharura ya barabara na madaraja iliyoathiriwa na mvua za El Nino pamoja Kimbunga...
  2. JamiiForums Tanzania TMA: Joto limeongezeka duniani, Mvua kuwa za wastani

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetangaza mwelekeo wa msimu wa mvua za vuli na msimu wa mvua za masika zitakazoishia Aprili 2025. Akizungumza na waandishi wa habari Oktoba 31, 2024, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dk. Ladislaus Chang’a alisema mvua za chini ya wastani zinatarajiwa katika...
  3. JamiiForums Tanzania Makazi ya Wananchi 500 Ubungo - Kisiwani (Dar) yapo hatarini, tunaomba Serikali itujengee mifereji ya kusafirisha maji ya mvua kutoka Barabara Kuu

    Hapa Ubungo, Kisiwani, Wananchi tupo katika hali ngumu sana, maisha yamebadilika kisa Mto Gide, ambao kwa miaka mingi umekuwa ni chanzo cha wasiwasi mkubwa na umekuwa tishio kwa makazi yetu. Nyumba nyingi zimebomoka na kila mvua inaponyesha, hali inazidi kuwa mbaya. Hadi sasa zaidi ya Wananchi...
  4. JamiiForums Tanzania Hatimaye tumekutana tena. Alinifaa kwa Jua lake leo nimemfaa kwa mvua yangu

    Huyu jamaa alishawah nisaidia nikaipata bag ya laptop niliyoibiwa nikiwa nimepaki gar ofisin na laptop nimeacha ndani ya gari. Hanijui simjui ila alikua mpangaji mwenzagu kwenye hizo frame. Alinisaidia baada ya kuitafuta sana kuambulia patupu nikakata tamaa. (Ni story ndefu sana). Ila mwisho...
  5. JamiiForums Tanzania Mvua imenyesha tayari.

    Kuna mtu mahali atasimulia kitachompata leo.
  6. JamiiForums Tanzania Baada ya Jaja Mwizi kuuliwa, Chadi Maela naye afariki kwa kipigo cha Wananchi huko Mikocheni

    ASSLAHAM ALHEIKUM USIKU WA LEO TUMEMPOTEZA MWIZI MASHUHURI WA KAWE CHADI MAELA NA DREVA MMOJA WA PIKPIK KIJANA BAADA YA KUMKOSA KOSA HUKU KAWE WALIAMUA KUFUNGA NIA KWENDA MIKOCHENI JANA WAKAFANIKIWA KUFIKA WATATU DUKA MOJA LA JUMLA WAMEFANIKIWA KUFUNGUA Duka WAKANZA KUTOA MIZIGO MWENYE...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali Yasaini Mikataba Ujenzi wa Madaraja 13 Yaliyoathiriwa na Mvua - Lindi, Bilioni 140 Kutumika

    Serikali imesaini mikataba mitano itakayowezesha kuanza ujenzi wa madaraja 13 katika sehemu za barabara zilizoathiriwa na Mvua za El-Nino na Kimbunga Hidaya katika Mkoa wa Lindi ambapo jumla ya Shilingi Bilioni 140 zitatumika katika utekelezaji huo. Akizungumza mara baada ya kushuhudia utiaji...
  8. JamiiForums Tanzania Mama mkanye mwanao, hakuna cha bure mafanikio hayaji kama mvua

    Kuna kipindi nilikwenda nje ya Afrika na kuishi huko kama miaka 4 hivi na kidogo. Mwnyeji wetu alichukua muda wake kutueleza mambo ya msingi sana ya kuzingatia katika taasisi ile, mji ule na nchi ile na kukutembeza kwenye maeneo machache sana Muhimu ambayo tunaweza kujipatia mahitaji na huduma...
  9. JamiiForums Tanzania Nimechoka kujifanya najua: Ukiwa unasoma utabiri wa hali ya hewa, ile % kwenye mvua inamaanisha nini?

    Wakuu, najua kuna wengine mtakua mnajua. Ukiwa unacheki utabiri wa hali ya hewa kwenye App au Google eneo flani, utaona wameandika Precipitation hafu wanaweka asilimia flani, mfano 50%. Sasa hiyo Precipitation 50% inamaanisha nini? Ni probability ya mvua kunyesha Dar es Salaam ipo...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya maeneo mkoani Iringa yapata mvua

    #HABARI:Baadhi ya maeneo ya Mafinga Mjini, mkoani Iringa, jana yamepata mvua za barafu ambayo kwa mujibu wa baadhi ya wakazi wakisema haijawahi kutokea huku wakiifananisha na ile ya nchi za Ulaya. Siku ya jana Oktoba 1, ilinyesha mvua hiyo ya barafu na kusababisha theluji kutanda barabarani na...
  11. JamiiForums Tanzania Updates ya Mvua za Vuli msimu wa 2024

    Habari wakulima kwa Mujibu wa Utabari wa Mamlaka ya hali ya hewa wametoa Taarifa kwamba ile mikoa inayopata msimu wa Mvua mara mbili kwa mwaka mvua zinatarajia kuanza wiki ya nne ya mwezi October, Sasa kama wakulima inatakiwa tupeane update za Mvua kama kuna mikoa tayari imeshaanza ili mikoa...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali Kukarabati Madaraja Yaliyoharibiwa na Mvua

    SERIKALI KUKARABATI MADARAJA YALIYOHARIBIWA NA MVUA. Naibu Waziri, Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa -TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amesema Serikali inatambua umuhimu wa miundombinu ya Madaraja na inaendelea na urekebishaji wa madaraja yote ambayo yaliharibiwa na mvua...
  13. JamiiForums Tanzania Tupeane updates za mwenendo wa mvua za VULI hapo ulipo

    Ni kwa yale maeneo ambayo huwa mmezoea kupata mvua mara mbili kwa mwaka mikoa ya pwani ya mashariki, pwani ya kusini, kaskazini na kanda ya ziwa hali ipoje TMA majuzi walitabiri mwaka huu zitanyesha chini ya wastani zitaanza kwq kususua.vipi zimeshaanza week la mwisho la august?kwa ujumla kupoje...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali huu ndio muda wa kuzibua na kujenga mitaro pamoja na kukarabati barabara mbovu, msisubiri mvua zifike muanze visingizio na maigizo

    Wakuu salam, Kila ikifika kipindi cha mvua ndio serikali huwa inashtuka kuanza kukarabati mitaro na njia na hapo ni baada ya kuwa mvua iliyoshinda siku mmoja imefanya mitaro ifurike na baadhi ya barabara kushindwa kufikika baada ya maji kujaa. Pia soma: KERO - Shukran DAWASA kurekebisha...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Mvua kwenu huko ikoje?

    Tangu saa 5 usiku mpaka sasa ni mvua! Taarifa toka tanga wa mwandishi wangu Ukipanda , jua hilo. Wataalamu wa kilimo mnasemaje/mnatushauri nini
  16. JamiiForums Tanzania Serikali yatoa Sh Bilioni 55 kukarabati barabara zilizoathiriwa na mvua za El Nino Morogoro

    Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa Serikali itahahakisha inasimamia Utekelezaji wa ujenzi wa miradi ya barabara na madaraja iliyopo katika Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2020-2025 pamoja na kurejesha miundombinu iliyoathiriwa na mvua za El nino. Rais Dkt. Samia ameeleza hayo...
  17. JamiiForums Tanzania Zainab Katimba: Serikali Kurejesha Mawasiliano Maeneo Yaliyoathiriwa na Mvua

    Naibu Waziri OFISI YA RAIS TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amesema Serikali inafanya jitihada za kuhakikisha inarejesha mawasiliano katika maeneo ambayo miundombinu ya barabara imekatika kutokana na athari za mvua hasa katika barabara za wilaya ili kuhakikisha barabara hizo zinapitika. Mhe. Katima...
  18. JamiiForums Tanzania Faida ya mvua ya June mikoa ya Pwani

    Mwezi wa Sita Pwani ya mashariki na ya kusini mwa Tanzania lazima mvua inyeshe Kwa ajili ya maua hasa ya mikorosho na maembe pia mvua inasaidia kupunguza baridi ndo maana Jana maeneo ya Dar na Mtwara imeendelea kunyesha.
  19. JamiiForums Tanzania Mvua Dar ni mafanikio ya Ilani

    Kutokana na juhudi za utunzaji mazingira zilizoainishwa kwenye Ilani ya Uchaguiz (2020-2025) mafanikio tunayaona kwa mvua za wastani kunyesha jijini. Tunampongeza Mwenyekiti
  20. P

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha mvua uzalishaji wa dhahabu hupungua, tumia kemikali hii uongeze uzalishaji

    Kipindi cha mvua uzalishaji wa dhahabu hupungua ,je wajua na nini suluhisho. Uzalishaji wa dhahabu au jina jingine huitwa kuchenjua dhahabu,hutumia njia za kikemikali ambazo hutegemea pia hali ya hewa ya asili ya sehemu husika. Katika kipindi cha mvua ,hali ya hewa ya mawingi huchangia kufanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…