Mvomero is one of the six districts of the Morogoro Region of Tanzania. It is bordered to the north by the Tanga Region, to the northeast by the Pwani Region, to the east and southeast by Morogoro Rural District and Morogoro Urban District and to the west by Kilosa District.
According to the 2002 Tanzania National Census, the population of the Mvomero District was 260,525.
Sisi wakaazi wa Wilaya ya Mvomero tunaopata huduma ya umeme kuanzia Kituo cha msamvu kuja Turiani, laini ambayo inasambaza umeme maeneo mengi zaidi ya Wilaya ya Mvomero kuanzia mkundi, halmashauri ya Wilaya ya Mvomero, Dakawa, Dumila, Gairo, Mvomero, Turiani, Madizini, Kibati mpaka Pemba, kuna...
Anonymous
Thread
kimya
kukatika
kukatika kwa umeme
mamlaka
mvomero
sugu
tatizo
umeme
wilaya
wilaya ya mvomero
Kama sio utapeli ni Nini?
Huyu jamaa anaishi kigamboni mvomelo kafikaje uko hakuna watu wanaojitambu mpaka aende yeye p diddy?
Hii nchi ni ya vilaza kiasi gani?
Hivi hii nchi Mungu tumemkosea Nini
Watu wanaoenda kuongozwa na Malaya anayenunua watoto wa chuo na kuwagombanisha?
Hivi hii...
Mtia nia wa ubunge wa Jimbo la Mvomero mkoani Morogoro kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Brighton Kinemo, leo amechukua rasmi fomu ya kuwania nafasi hiyo huku akiahidi kuwaletea wananchi wa Mvomero mabadiliko chanya yanayojengwa juu ya misingi ya uongozi bora, siasa safi na maendeleo jumuishi...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Burton Mwemba @mwijaku amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Mvomero mkoani Morogoro kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Hatua hiyo imeashiria mwanzo rasmi wa safari yake ya kisiasa katika kuwania nafasi ya Ubunge wa Mvomero...
Katibu Tawala wa Wilaya ya Mvomero Said Nguya amewaasa vijana kuendelea kuilinda kwa wivu mkubwa amani iliyopo na kuwapuuza wale wote wanaotaka kuiyumbisha amani tuliyonayo kwa maslahi yao binafsi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special...
Wilaya ya Mvomero ni Wilaya yenye mito mingi sana.Hata hivyo Wilaya hii bado imeendelea kuwa na changamoto kubwa ya maji.Wananchi waliio wengi bado wanatumia visima vya wazi na mabwawa ambayo si salama kwa Afya zao,kwa kuwa mara nyingi wanachangia na mifugo.Maji haya kwa hiyo si salama na ni...
Walimu katika Halmashauri ya Mvomero wanalalamika juu ya kutolipwa fedha ya za likizo kwa zaidi ya miaka 5. Lakini cha kushangaza kuna baadhi ya walimu kila mwaka huenda likizo na kulipwa fedha zao.
Hao wanolipwa kila mwaka ni akina nani na wale ambao hawalipwi hata wakifuatiallia wana nini...
Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wa chama hicho huko Mvomero, mkoani Morogoro amewataka kikiunga mkono chama hicho katika chaguzi zijazo ikiwemo uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba mwaka huu.
Rais Samia Suluhu Hassan amezindua Kampeni ya TUTUNZANE MVOMERO 2023-2028 wilayani Mvomero mkoani Morogoro inayohamasisha wafugaji kufanya ufugaji wa kisasa ikiwemo kuwa na maeneo yao ya kulima malisho ili kuondokana na migogoro kati yao na wakulima na watumiaji wengine wa ardhi kila uchao...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru ameshiriki maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kwa kupanda miti na kugawa mashuka katika Wilaya ya Mvomero.
Siku ya Wanawake duniani huadhimishwa Machi 08 ya kila mwaka. Malengo ya maadhimisho haya ya Siku ya Wanawake duniani...
MBUNGE VAN ZEELAND AIPAMBANIA MVOMERO KUPATA MAJI SAFI NA SALAMA KWA WANANCHI WAKE
"Je, lini Serikali itakamilisha mradi wa kusambaza maji katika tarafa ya Tuliani?" - Mhe. Jonas Van Zeeland, Mbunge wa Jimbo la Mvomero
"Serikali inaendelea na utekelezaji wa mradi wa kusambaza maji katika...
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis amewataka Maafisa Ardhi nchini kutoa elimu ya matumizi bora na sahihi ya ardhi ili kuepusha migogoro ya wakulima na wafugaji nchini.
Mhe. Khamis Hamza Khamis Ametoa agizo hilo wilayani Mvomero mkoani Morogoro...
Kwa kuandika bandiko hili mtu asije akadhani kwamba mimi ni mtumishi,sio mimi ni mdau wa maendeleo ninayekerwa na hali halisi ilivyo katika Wilaya yangu ya Mvomero.Taarifa nyingi zinakera,ndio, zinakera sana,ni kama Wilaya haina mwenyewe.
Kila mahali ushirikina umekuwa gumzo, wafanyikazi...
WAFUGAJI wa wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro wameamua kuhamishia minada ya mifugo katika wilaya zilizo karibu na wilaya hiyo kutokana na sintofahamu iliyoibuka hivi karibuni.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti tofauti, wafugaji hao walieleza kuwa wamekuwa wakinyanyaswa na Mkuu wa Wilaya ambaye...
Katibu Mkuu WA CCM ndugu Chongolo amemwagiza waziri wa Kilimo Mhe. Bashe kwenda Wilayani Mvomero kukagua na kuupatia ufumbuzi mradi wa umwagiliaji wenye thamani ya SHS milioni Tisa ambao umekwama kuendelea.
Kupitia maelekezo haya; Kwanza najiuliza Katibu Mkuu wa chama na Waziri Nani anamwagiza...
Watanzania hawa watendaji wetu sasa wamekuwa ni balaa. Upigaji wa fedha za miradi unatisha. Kila kukicha utasikia halmashauri hii imepiga, wilaya hii imepiga.
Mkandarasi huyu kapiga ilimradi ni vipigo wa fedha za miradi kwa urefu wa kamba. Wakati umefika kwa serikali isiishie kuwasimamisha kazi...