muuaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyani Ngabu

    DW waendelea kutangaza mauaji ya Tanzania ya Oktoba 29

    Hakika DW wanastahili tuzo. Na wafanyakazi wake wanaitendea vizuri fani ya uandishi wa habari. Hii ni jana/ juzi tarehe 18 Januari. https://youtu.be/1evPobXaZXM?si=Q9nzoGZEYBlbvqwG Safi sana DW. Endeleeni kumtangaza huyo muuaji.
  2. mcTobby

    Ujasusi: Herbert Curkus muuaji aliyeuliwa na kuhifadhiwa kwenye sanduku la kusafiria

    Kwenye kituo kimoja cha treni ndani mji wa Rotterdam, alionekana mwanaume mmoja akiwa amevalia miwani nyeusi ya jua huku amekamata begi aina ya briefcase mikononi mwake. Bwana huyu kama ungebahatika kumuona siku hii alikuwa ni jamaa fulani hivi mwenye umri wa makamo kama miaka 40 hivi ambaye...
  3. H

    Amelaaniwa Kiongozi Muuaji, Yeyote Atakayekaa Karibu na Huyo Muuaji, Naye Huichukua Laana ya Huyo Muuaji.

    Taifa letu limepitia uharamia, ushetani na ukatili wa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa. Mauaji haya yamefanywa kwa amri ya watawala, watawala wameyabariki na wameyatetea kuwa ni mauaji halali kwa sababu yalikuwa yanatishia nafasi zao za utawala. Watawala wamevishwa upofu, kiasi cha kuona...
  4. The Father of All

    Samia amethibitisha alivyo mdini tena mzembe

    Waliosikia na kuielewa hotoba ya leo ya Samia watakubaliana nani. Ameonyesha kushabikia udini na vurugu. Akiri. Urais hauwezi. Aachie ngazi. Unamfunga mtu halafu unamlaumu. Hii ni haki kweli. Kimsingi, amezidi kumpaisha Tundu Lissu hata kama naye hafai kwa sababu hatujui mipango na falsafa yake.
  5. Carlos The Jackal

    Mwenyekiti Wazazi CCM ,Tuondolee Upuuzi wako hapa, Kati ya Muuaji na Aliyeuliwa nani alitakiwa Kumsamehe MWENZAKE ??.DEC 9 sio mbali, Tutaelewana tu

    Ninawaapia Mbele ya Mbingu hii ,Kama ambavyo Mungu anaishi, basi Siku zenu zaja. Kwa Bahati mbaya sana ,Vichwa mwenu kwa Sasa mmebakisha Matope ya kuvukia Mabarabara, hamna lolote mnalofanya mkitumia Akili Walau kiduchu. HUWEZI KUUA WATU KISHA UKAENDELEA KUONGOZA. HUWEZI KUUA WATU ALAFU...
  6. H

    Huyu mtawala muuaji wa kiwango hiki, atakuwa ni Mwanadamu halisia?

    Vitabu vitakatifu vinaeleza kuwa Duniani kuna uzao wa shetani. Hao walitokana na mashetani yaliyozini na wanadamu, wakazaliwa viumbe wenye sura na maumbile ya wanadamu. Hao viumbe kazi yao kubwa huwa ni kuwaangamiza wanadamu, kuwaua wanadamu. Hayo mashetani yenye maumbile na sura za wanadamu...
  7. S

    PostGE2025 Samia si muuaji, ni baadhi diaspora wa Tanganyika waishio Ulaya

    https://www.facebook.com/share/v/17qxXJt2YN/ kuna video nyingi sana, huo mfano mmoja. Msikilizeni huyu dada, anaelezea kwa kirefu kiasi gani maandamano yalivyoandaliwa na baadhi ya diaspora wa Tanganyika ili kuiangamiza Tanzania, kisha lawama yote amepewa samia na kmkm, na watu kuwa na visasi...
  8. Mashamba Makubwa Nalima

    Watu wa sheria naomba mnisaidie kwenye hili: Muuaji na mwizi akikimbia Bara akakimbilia Kisiwani, mnaweza kumrudisha, au hakuna huo utaratibu?

    Nilikuwa nauliza hivyo tujue utaratibu uko vipi. Kuna mtu tumekuwa tukimuhusisha na muuaji ya ndugu zetu pamoja na utopeaji wa hela tunazichanga kila siku. Ila kuna tetesi anataka kukimbia nchi, sasa nawaza akikimbiilia hapo visiwani anaweza kurudishwa huku bara au hilo haliwezekani
  9. Yoda

    Muuaji wa Charlie Kirk Marekani agundulika ni kutoka miongoni mwao wenyewe wahafidhina(Conservatives/right wingers)

    Katika hali isiyotarajiwa baada ya Rais wao Trump, MAGA wakina Elon Musk na Conservatives wengi wa Marekani waropokaji kusambaza uzushi kwamba muuaji ni Democrat/leftist hatimaye aliyepatikana imegundulika ni kijana kutoka miongoni mwao mpenda bunduki!
  10. Mtu Asiyejulikana

    Rais ambaye atatatokea chama chochote lakini ana sifa hizi, tusimchague

    Rais akiwa na sifa hizi Mwoga, Muuaji, Malaya, Hajielewi, Mshirikina, Mlevi, Mhuni, Fisadi, Asiye na Uelewa/Elimu tusimchague Watanzania tugome kumchagua. Ni kwamba hafai hata kidogo. Pima mtu ambaye anagombea Urais. Ukimwona ana sifa hizo huyo ni Shetani. Haijalishi ana jinsia gani, elimu...
  11. M

    Kama kiongozi mkristo akiwa mtekaji, muuaji, mtesaji, fisadi, akitubu dhambi zake anasamehewa basi tuna safari ndefu sana

    Nashindwa kuelewa labda mnielimishe, kwa ninavyojua kwenye ukristo dhambi zote zinasamehewa. Sasa akitokea kiongozi mtekaji, muuaji, mtesaji, fisadi anaeumiza na kuwaachia majoni watu wengi pamoja na umasikini. Je, toba hata kama ni ya kweli iliyotoka moyoni inatosha kufuta madhara ya dhambi...
  12. GENTAMYCINE

    Nilidhani haya Mauaji ya kutumia Pikipiki na Muuaji kujificha Uso yalishaisha Kitambo tangia alipouwawa Yule Mtu wao Uwanja wa Ndege miaka iliyopita!

    Nimetoka kutizama Video Clip ya East Africa TV na kuona kuwa Jana maeneo ya Kinondoni Makaburini Mtanzania mwenye Asili ya Uturuki kauwawa kwa Kupigwa Risasi na Mtu aliyepanda Pikipiki mida ya Mchana kabisa huku Watu wakiona kisha alipokamilisha huo Uuaji wake akaangalia kushoto na kulia kisha...
  13. sanalii

    Kama dhalimu muuaji ataomba toba na kwenda peponi, alieuliwa kwa dhulma atalipwa nini?

    Kwa mfano, Mtu mmoja tu mwenye mamlaka akiamua amuue mtu fulani kwakua anamkera, kisha muuaji huyo akakoswa kuingia katika mikono ya sheria ya hapa duniani, na akaamua kuomba toba (kwa mujibu wa dini yake) kisha akafia kwenye toba. Je, huyu aliedhulumiwa nae atalipwa vipi? Au ndo basi...
  14. BOB LUSE

    Zamani ukiwa na mzazi kada wa CCM, ilikuwa fahari, kwasasa unaogopwa

    Wapo Wana CCM wachache wanaoamini katika Utu na kushindana Kwa Hoja Yakinifu zama hizi, Walio wengi wamejaa hila, uchu wa Madaraka, wizi na mipango ya kufiisha watu wanao tofautiana Kwa Hoja. Zamani Mzazi wako akiwa kada wa Chama anazijua sera na pia anajua kushawishi! Hawa vilaza wa Sasa...
  15. Mag3

    Mshauri Mkuu wa Rais wa Marekani Donald Trump amtaka Trump amsamehe Derek Chauvin muuaji wa George Floyd

    Elon Musk, mshauri mwandamizi wa Rais wa Marekani, Rais Trump, amtaka bosi wake huyo kumpa msamaha muuaji, Derek Chauvin, mweupe, aliyekuwa na cheo cha afisa wa polisi nchini humo. Elon Reeve Musk ni tajiri mkubwa anayemiliki kampuni za Tesla, Inc., SpaceX, na Twitter, na pia ofisa mwandamizi...
  16. S

    Unajisikiaje serikali yako inaponunua vifaa vya kukuumiza si kwa sababu wewe ni mwizi, jambazi, muuaji, mbakaji, nk, bali kwa sababu unadai haki?

    Angalia hili lidubwana hapa chini; Sasa madudu ya kutisha kama haya, serikali yako ya Tanzania imeyanunua kwa ajili ya kuumiza wananchi wake, ambao sio kwamba wana makosa makubwa kama uasi dhidi ya serikali, ujambazi, uharamia, ujangili, ubakaji, uuaji wa watu wasio na hatia, utapeli, ufisadi...
  17. shibela

    Nusura niwe muuaji!

    Ukimfanyia mtu ubaya, jitenge naye, hata kama anaonekana mpole na mnyonge. Moyo wa mtu ni kama kichaka; huwezi kujua anachoficha. Hii ni moja ya kumbukumbu mbaya sana maishani mwangu – moja kati ya mbili zilizonikumba. Kuna mradi niliopanga na Frank, tulipanga vizuri na mipango ikaonekana...
  18. Manyanza

    Mfahamu muuaji mdogo zaidi kuwahi kutokea duniani

    Akiwa na umri wa miaka kumi tu tayari alikuwa ameshauwa watu watatu na cha kushangaza zaidi mmoja kati ya hao waanga mmoja alikua ni dada yake wa tumbo moja. NI NANI HUYO. Kwa majina anafahamika kama Amarjeet Sada kijana aliyezaliwa mwaka 1998 huko nchini India katika familia ya kimasikini...
  19. Mshana Jr

    Ifahamu kwa kifupi Korea Kaskazini

    Korea Kaskazini - ndio nchi pekee duniani ambayo raia wake hawaruhusiwi kuwa na dini yaani hakuna uislamu wala Ukristo marufuku. Korea Kaskazini - ndio nchi pekee duniani ambayo vitabu vitakatifu vya dini haviruhusiwi kuingia nchini humo Rais anaheshimika kama Mungu Nchi Pekee duniani iliowahi...
  20. Mshana Jr

    Muuaji aamua kujimaliza

    TAHADHARI‼️ (Video hii ina maudhui ya kuogofya yanayoweza kuumiza hisia). Inadaiwa kuwa huyu Jamaa alikua amepanga nyumba maeneo ya Kigamboni, barabara ya kuingia Baracuda Beach. Ndani ya nyumba alikua na kiwanda cha kutengeneza pombe feki aina ya K-vant, Konyagi, Henessy na brand nyingine...
Back
Top Bottom