Geneva, Uswisi. Mkurugenzi Mtendaji wa Asasi ya Women in Social Entrepreneurship, Dkt. Astronaut Bagile, ametoa wito kwa Serikali, wadau wa maendeleo, asasi za kiraia na wananchi kwa ujumla kuimarisha majadiliano ya kitaifa na mshikamano wa kijamii ili kuponya majeraha ya kitaifa na kujenga...
Rais Samia amesema katika visingizio vya upinzani kuepuka kushindwa na uchaguzi wanaweka visingizio, ambavyo vyote vinaungwa mkono na nchi za nje. Nje hawana aibu wanakaa wanasema Tanzania ifanye moja, mbili tatu halafu ndio itakuwa hivi, WHO ARE YOU?
Niawaulize kwao hayatokei? Tumenyanyua...
dhamira
katika
kuhoji
kujitoa
mustakabalimustakabaliwataifa
nani
president
president samia
rais samia
samia
taifa
tec
teknolojia
ufahamu
wachafu
wakati
watawala
who
zao
Polepole: Wale wote mliojitoa kuipigani Tanzania tuwe makini sana, muiandaji yupo huko nje anawatafuta awadhuru na wasaii sana, Ni magengeni ya kihuni, ya kiuhalifu na yanahusiano na vyombo vyetu kwa nafasi fulani wapo baadhi ya watu wamekosa uaminifu
Samahani kwa taarifa ya ghafla tukutane kutoka muda si mrefu mpaka saa 6:00 usiku leo. Tuzungumze kidogo mustakabali wa Taifa letu. Mungu wa Mbinguni Aliyehai Awabariki !
===================Updates..........
Polepole: Wale wote mliojitoa kuipigani Tanzania tuwe makini sana, muiandaji yupo huko...
Leo tunapaswa kujitafakari kwa kina kama taifa. Kuna hali ya kuogopa, kujishusha, na kujiaminisha kuwa sisi wananchi hatuna mamlaka ya kusema lolote kuhusu hatma ya taifa letu. Tumejenga tabia ya kuwaona watawala kama miungu wasiogusika, tukasahau kuwa kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano...
Kipindi Cha Asubuhi, Mazungumzo ya Maudhi: Tunalelewa na Vyombo vya Habari au Tunadhalilishwa?
Je, tumewahi kukaa chini kama taifa na kujiuliza: tunapata nini tunapowasha redio zetu asubuhi? Ni maarifa, ni uelewa, ni mwelekeo wa kujenga taifa au ni mzaha, upuuzi na mazoea ya kihuni...
dhuluma tanzania
elimu kwa umma
hii
kina
kizazi cha sasa
maulid
maulid kitenge
morning show
mustakabaliwataifa
propaganda tanzania
redio
redio tanzania
show
uanahabari
ubadhirifu wa mali ya umma
uelewa wawananchi
uhuru wa habari
uhuru wa vyombo vya habari
ujinga
upumbavu
uzembe wa vyombo vya habari
wajibu wawaandishi
wananchi
wasafi
wasafi fm
watanzania
wimbi la mazombie
zembwela
[tags] vyombo vya habari
Wakuu asalaam aleykum!
Nguvu ya taifa lolote huwa ni vijana, katika rika hili wanaweza kufanya mambo mengi kwa usahihi na nguvu; kuanzia kufikiria kibunifu, kutekeleza mipango, nk. Mfano enzi ya akina Mwlm. Julius Kambalage Nyerere, Warioba, nk.
Lakini pia nchi zilizoendelea, gunduzi nyingi...
Kwa muda mrefu, Tanzania imekuwa ikisifika kwa utulivu wa kisiasa na mwelekeo wake wa maendeleo. Hata hivyo, kwa kipindi cha hivi karibuni, kumekuwa na mabadiliko kadhaa katika uwanja wa siasa yanayoweza kuashiria mustakabali mpya wa taifa. Katika uchambuzi huu, tunaangazia hali ya kisiasa ya...
Kwa heshima na taadhima naomba ushauri kwenu wadau.Mimi ni mwananchi katika nchi moja ya SADEC.Kwa hali ilivyo hivi sasa nchini kwangu,mwananchi yoyote anayeweza kusema siasa za taifa lake hazimhusu,huyo hajielewi kabisa.
Hapa nchini kwetu,Siasa ndizo zinazotupangia karibia kila kitu kuanzia...
Na. Jofreyson1
TANZANIA TUITAKAYO: picha na azam news
Kuwekeza KATIKA KILIMO NA VIWANDA KWA MUSTAKABALI WA TAIFA
Tanzania ni nchi yenye rasilimali nyingi za kilimo zinazoweza kuimarisha uchumi wake. Katika kuelekea kwenye Tanzania tuitakayo, ni muhimu kwa serikali kuwekeza kwa kina katika...
Gharama ya Kutojali Elimu: Jinsi ‘Kucheza ’ na Kujifunza Kunavyotishia Mustakabali wa Taifa Letu
Mwandishi: MwlRCT
1. Utangulizi
Je, unajua kuwa Tanzania ina kiwango cha chini cha uandikishaji wa elimu ya sekondari kuliko nchi nyingine za Afrika Mashariki? Hii inaonyesha kuwa kuna tatizo...
Utangulizi
TANZANIA ni miongoni mwa nchi inayoendelea barani Afrika, huku ikipambana kujikwamua kiuchumi kwa kupigana na umasikini, ujinga, maradhi pamoja na rushwa.
Licha ya kuwepo mapambano hayo lakini bado suala la utawala bora limekuwa changamoto kubwa bila kujua ndiyo limebeba msingi na...
Mimi nakula Balimi lager siku za weekend kama leo.
Siwezi kupoteza muda kushabia Man U au Arsenal.
Taifa letu lina changamoto nyingi. Tozo zimekuwa kama mwiba wa Gogogo kwa watanzania. Wanaumia kila kona. Nawafuata na kuwauliza na kila mtanzania analalamika. Anaona sasa ni kumizwa na mwiba wa...
UTANGULIZI:
ELIMU ni tendo au uzoefu wenye athari ya kujenga Akili, Tabia ama uwezo wa kimaumbile wa mtu binafsi. Jamii hutumia Elimu kupitisha Maarifa, Ujuzi na Maadili kutoka kizazi kimoja hadi kizazi kingine.
MAADILI ni mafundisho yanayotolewa katika nafasi mbalimbali hasa...
Ni wazi kwamba tunapotoka majumbani na kwenda kujitafutia riziki, au tukiwa na matatizo mbai mbali, tunapitia sehemu nyingi na tunasaidiwa na wengi. Tukipanda dala dala hatuuizi dereva ni dini gani, au kondakta ni dini gani. Hivyo hivyo tukienda kununua mchele dukani. Wala hatuulizi daktari au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.