mungu

  1. JamiiForums Tanzania Je mahakama zetu ni adui wa HAKI? Je rais ni Mungu wa Tanzania?

    Habari wanabodi Nimefuatilia kwa kitambo sana mwenendo wa mfumo wa sheria na utawala nchini kwetu, nimekuja kupata swali linalonipa ukakasi sana sana KWa tukio la juzi kukamatwa usiku wa manane Dokta W. Slaa na namna tuhuma dhidi yake kwamba upelelezi haujakamilika inaleta picha ya namna vyombo...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuna vita ya chinichini inaendelea dhidi ya viongozi wa dini wanaokosoa Serikali

    Kwanini wanapotosha, kwanini hakuna anayeweka uthibitisho wa video habari hii ya madai kuwa Tundu Lissu amethibitisha Padre Dkt. Charles Kitima kushiriki vikao vya siri vya CHADEMA? Katika video ya mahojiano na Waandishi wa Habari pale Uwanja wa Ndege hakuna mahali Lissu amemtaja Kitima lakini...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kumbe kuna scenario ambapo ukijificha Mungu hakuoni!!

    Ukisoma katika biblia takatifu hasa kitabu cha mwanzo baada ya adamu kula tunda lile walilokatazwa kula Mungu aliwayafuta bustanini asiwaone. Kumbe kuna wakati mungu Ukijificha hakuoni. Basi nikitaka kuzini nitakuwa najificha ili asinione
  4. JamiiForums Tanzania Hasira ya Mungu imeshuka juu ya LOS ANGELES, inateketea Kama Sodoma Na Gomora

    Mimi siwatishi Wala nini, Vyombo vya habari vitawadanganya kua Ni Mabadiliko ya Hali ya hewa, Mara Moto usiojulikana chanzo ,mara vile !!. Usiombe Mungu akasirike alafu akuonyeshe waziwazi kua amekasirika na aamue kukutumia wewe kama mfano. Los Angeles, Jiji maarufu ambalo Mashoga na wooote wa...
  5. JamiiForums Tanzania Siri ya kuomba Mungu kwa usahihi ili upate majibu

    Kuna dhana ipo katika watu wengi kuangaika kutuma maombi yao kwa Mungu (ulimwengu wa kiroho) ili kuweza kupata majibu ya maombi yao. Tatizo ni jinsi ya kutuma maombi. Shida kubwa kwa watu ipo katika namna ya kuongea na Mungu/ulimwengu kwani wengi hawajapewa siri ya kuongea na muumba wa kweli...
  6. JamiiForums Tanzania Nigeria: Aliyemtukana Mungu ameachiwa huru baada ya kutumikia kifungo cha miaka minne gerezani

    Mwanaume asiyeamini kuwa Mungu yupo kutoka nchini Nigeria, Mubarak Bala (40) ameachiwa huru baada ya kutumikia kifungo cha miaka minne gerezani kwa tuhuma za kumtukana Mungu kupitia Facebook mwaka 2020. Mubarak alikamatwa Aprili 28, 2020, kwa tuhuma za kukufuru dini na uchochezi kutokana na...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Nimeanza safari ya ufugaji Sungura mwaka jana (2024) mwezi wa kumi, namshukuru Mungu, nimeanza kuona maendeleo taratibu, hatua kwa hatua

    Baada ya kukaa muda mrefu bila kujihusisha na ufugaji wa aina yoyote, kuacha mbwa mmoja ambae namfuga kwaajili ya ulinzi, mwaka jana, 2024 mwezi wa kumi mwanzoni, niliamua kuanza ufugaji wa Sungura kwaajili kupata mboga kwa matumizi ya nyumbani na pale patakapokuwa na Sungura wa ziada, basi...
  8. JamiiForums Tanzania Ahsante Mungu ndoto yangu imetimia.

    Ahsante Mungu ndoto yangu imetimia. Nilianza kujiwekea akiba tangu mwaka 2018 na leo ndoto yangu imetimia kwani nimefanikiwa kununua kamera ndogo iliyopiga picha gari hii.🙏🙏
  9. JamiiForums Tanzania Kama Mungu ni mkamilifu, kwanini aliipitisha urethra (mrija wa mkojo) katikati ya tezi dume?

    Wakati tunaamini kuwa Mungu ni mkamilifu, bado tunakutana na mambo magumu kuhusu baadhi ya maumbile ya mwili wa binadamu. Mojawapo ya maswali hayo ni muundo wa tezi dume na jinsi urethra inavyopita katikati yake. Hii inaleta changamoto zifuatazo: 1. KUKOSEWA KATIKA MUUNDO? Kutegemea Umri...
  10. JamiiForums Tanzania Mungu yupo jamani natena anatenda na kujibu maombi

    Asalaam aleykum wana jf wengine itifaki imezingatiwa,leo nimeamua kuja na hii mada yakuwa Mungu yupo na anafanya kazi katika Kila sekunde ya saa kama hauamini basi nikwasababu tu umekataa kuamini kuwa yeye yupo na anatenda (God is almighty) pia haangalii dini wala dhehebu ila Imani yako thabiti...
  11. JamiiForums Tanzania Mkumbusheni Rais Samia, Mungu atamkasirikia na kumpa Kisogo endapo ataendelea Kugawa mamilioni Kwa Hawa Manabii Feki!!

    Ikiwa ni Mungu pekee Ndiye agawaye Mamlaka Kwa watu. Ikiwa ni Mungu pekee ndie anahitaji Mtawala kuyatenda yaliyo mapenzi yake. Katika Dunia hii ambayo Shetani na Mawakala zake wako kwenye vita Kali dhidi ya Kanisa. Basi Mtawala yoyote yule ambaye Mkono wake utachangamana na BABELI katika...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Unapopokea sifa, omba Mungu wako akupe busara na unyenyekevu, wengi wamepotea kwa kulewa sifa

    Adui namba moja wa mwanadamu ni "Sifa" Sifa ni neno dogo lenye herufi nne, lakini limeumiza, limeangamiza, limeua na limepoteza haiba, roho, nafsi, karama, vipaji na uwezo wa wanadamu wengi sana duniani. Bila shaka wahenga walijua madhara na athari za sifa, wakaonya kuwa "mgema akisifiwa tembo...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mambo matatu ya kujua kuwa Mchungaji fulani si Mtumishi wa kweli wa Mungu

    Habari zenu wanajamii, siku hizi kuna makanisa mengi sana yanaibuka yenye wachungaji, manabii, mitume, walimu, n.k. Jambo linalopelekea upotoshwaji mwingi kufanyika kwa kutumia jina la Mungu na mwanae wa pekee Yesu Kristu. Haya ni mambo matatu unayoweza kutumia kujua kanisa au mtumishi gani ni...
  14. JamiiForums Tanzania Huyu mtu ni zawadi ya kipekee kwa Tanzania, ambayo Mungu ametupa. tusimkwaze na harakati zake. tushikamane naye

  15. J

    JamiiForums Tanzania Mbinu 7 ambazo shetani hutumia kuwaweka watu mbali na Mungu katika dunia ya sasa

    Kwenye dunia ya sasa, shetani anapambana sana kuwaweka watu mbali na Mungu. Na anatumia mbinu na mitindo ya maisha ya dunia ya sasa kufanikisha hilo: 1. Kuvutia watu kwa maisha ya kidunia na mali: Shetani hutumia tamaa za ulimwengu, kama utajiri, umaarufu, furaha za nje, na starehe za mwili...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kama kweli Mungu yupo, basi hana nguvu

    Habari zenu Wanajamiiforums. Kwa mda niliotumia kumuomba Mungu na kutokupata majibu yoyote, nahitimisha kuwa nguvu za Mungu si nyingi kama tulivyoaminishwa. Aisee nataka kuamia Mizimuni, Anayejua namna ya kutambikia Mizimu anielekeze, Mungu aliyeletwa na meli kwenye maisha yangu amefeli (Hana...
  17. S

    JamiiForums Tanzania JE, KWELI MUNGU YUPO?

    Kama kweli Mungu yupo basi yeye ni katili sana na sifa ya kuwa ana UPENDO haimfai. Ni hayo tu, AM DONE.
  18. JamiiForums Tanzania Nawauliza watumishi wa Yesu Kristo: Mungu Mkuu kupita miungu yote, aliye hai peke yake, kwa nini wanaoneana Wivu katika kazi walizopewa!?

    habari ya wakati huu jamii forum leo nawazungumzia hawa watumishi na ninaposema watumishi sio tu wahubiri wa neno la Mungu na na utendaji wa huduma zao, bali na waimbaji wa nyimbo za injili ambao wao wanahubiri kupitia nyimbo, ikiwa ni moja ya zile huduma tano alizotoa Yesu Kristo ya...
  19. JamiiForums Tanzania Manabii wamekuwa wengi mpaka sasa inakera

    Manabii wamekuwa wengi mpaka unajiuliza Mungu gani uyu ambaye anaonyesha manabii wake habari tofauti tofauti. Mara uyu anakuja na ili. Uyu naye anakuja na ili tofauti na la yule wakwanza God , GOD, GOD, GOD. Na wakibahatisha jambo fulani tu ndo kwisha habari zenu Kuna mmoja uko youtube...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini dini hizi UYAHUDI, UKRISTO na UISLAMU zinatofautiana siku ya kusali wakati chimbuko lao Moja (Abrahamic Religions)

    Kama wote tunavyojua, Dini ni miongozo ya kiimani hapa Duniani, mafundisho yake utupa njia na namna ya kuishi hapa duniani kwa kufuata miongozo ya mnae mwabudu. Leo nitazungumzia kwa nini siku za Kuabudu utofautiana katika kila Dini na nitajikita zaidi kwenye Dini zenye chimbuko la Ibrahimu au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…