mungu

  1. JamiiForums Tanzania God has not forgotten you

    “And Samuel said unto Jesse, Are here all thy children? And he said, There remaineth yet the youngest, and, behold, he keepeth the sheep. And Samuel said unto Jesse, Send and fetch him: for we will not sit down till he come hither”. 1 Samuel 16:11 (KJV) The question I want to ask today is what...
  2. JamiiForums Tanzania Je, kuna makosa MUNGU hawezi kusamehe ? Je, unaweza kuiona kesho yako ?

    Samahani, hapo swali ni moja tu maana kuna mtu akishakunywa pombe tu anafanya vitu vya hovyo sana, baadae anarudi anakaa sawa, then anarudia tena makosa tena yanakuwa makubwa tu, watu wanamsamehe, anaenda kanisani anaombewa baadae anaanza tena. Miaka inaenda, umri unaenda, hana kazi stable...
  3. JamiiForums Tanzania Watu mnaoomba Miungu ni heri huo muda muwekeze kwenye vitu vya msingi!

    "Pray for Palestine" "Pray for Ukraine" "Pray for Congo" "Pray for Kariakoo" Hizi zimekuwa nyimbo kila mahali utakapopita mtandaoni imekuwa ni kawaida ya wanaoamini kuna Mungu wakijifariji kwa kuandika maneno au kuomba wakiamini kuna mtu wa ajabu yupo mahali anasikiliza maombi yao na kuna...
  4. JamiiForums Tanzania Nashukuru Mungu nimeacha uhuni

    Hii ni kutokana na kuokoka siku kadhaa nyuma. Kumbe wokovu ni mchakato, si kwamba ukiokoka leo basi leo leo vitendo, kauli, na fikra zinabadilika kwa ghafla. La hasha! Ni mchakato taratibu huku neema ya Mwenyezi Mungu ikikuongoza katika mabadiliko hayo kutoka giza kuelekea nuru. Nimepunguza...
  5. R

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Wanaoharibu uchaguzi wanamwamini Mungu au wanaamini chama tawala?

    Kinachoendelea nchini aibu kubwa sana ndani na machoni pa mataifa mengine. Tumefikaje hatua ya watendaji wa serikali kuua mwananchi na mwanasiasa kwa sababu ya uchaguzi wa ujumbe wa serikali za mitaa? Kama uchu wa madaraka umekuwa mkubwa kiasi cha kuua mjumbe wa shina je nini kitatokea kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa wanaoamini hakuna Mungu, njooni hapa

    Kwa wanaoamini hakuna mungu, ukiwachunguza kwa makini hawa watu ndiyo ujifanya wao ni majiniazi, kumbe ni wapumbavu wa mwisho katika hii dunia, na hoja yao kubwa ni kwamba kila kitu ni nature hoja hii haina mashiko hata kidogo na ni hoja ya kipuuzi ambayo utolewa na watu ambao kwa kawaida...
  7. JamiiForums Tanzania Ningekuwa Padri au Kasisi wa dini yoyote nisingepokea sadaka za wanasiasa ni kulinajisi kanisa la Mungu

    Haya ni maoni yangu kwamba siasa ni ajira iliyotawaliwa na roho mbaya ushirikina na mauaji!! Kama isingekuwa siasa mawazo asingekufa ,Wala mwandishi wa chanel ten daudi mwangosi asingekufa! Isingekuwa siasa Leo Ben saa nane angekuwa anawasindikiza watoto wake shule asubuhi na kwenda kuwachukua...
  8. JamiiForums Tanzania Kama Mungu ni mmoja Kwa nini kuna dini nyingi tofauti duniani?

    Sijawahi kuelewa kwa nini kuna watu wanasema mungu ni mmoja ila duniani kuna dini nyingi mbalimbali tofauti kila moja ikiwa na maelezo tofauti kabisa kuhusu mungu.
  9. JamiiForums Tanzania Mwenyezi Mungu angeongeza siku za kuishi walau miaka 100,hii 60-70 haitoshi kutimiza malengo yetu

    Hebu nenda kwenye makaburi ya umma ya wakristo utarudi nyumbani na kusema asante Mungu. Kumbe watanzania wengi hatutoboi 70,Yaani narehemu wengi ni miaka 50 kushuka chini, Kwa mujibu wa sensa iliyopita idadi ya wazee kuanzia miaka 60 hawazidi 10 percent, Serikali inashindwa nini kuwapa bima ya...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mungu akikuuliza umefanya nini kupigamia haki za binadamu utasema nini?

    Kwa sisi waumini wa Mungu tunaamini kutenda mema kwa vitendo na kupinga uonevu kwa mtu yeyote. Kwa wale wa umini tujiulize je leo ukienda mbele ya haki na kuilizwa na Mungu maswali haya utajibu nini 1. Kwa muda na nafasi niliyokupa duniani je umetumia akili yako na nguvu zako zote kupigania...
  11. JamiiForums Tanzania Ni taifa la Israel tu raia wake 24 wako mbele kabisa katika utawala wa Mungu Mbinguni

    Leo nataka nikupe haya maarifa hadimu Sana, tena Sana. Wenye hekima Watanielewa. Kule nchi ya mbinguni au peponi, kuna itawala wa KIMUNGU. Wale wenye neema ya kuingia mbinguni watauona huu utawala. Utawala huu Mungu ameandaa kwa ajili ya Wanadamu. Sasa basi, kwa sehemu, Mungu ametufunulia...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Ina maana hili Taifa halina wazee kweli?

    Mungu amekasirika Mungu hajafurahishwa na hili jambo mmelifanya. Tumepatwa na majanga watu wamekufa leo waziri anatangaza Rais ametoa 700m kwa ajili ya ushindi wa Taifa star ndugu zangu hili litajibiwa kwa majibu magumu toka kwa Mungu. Je, taifa halina wazee nakuwaambia huu sio muda wa kutoa...
  13. JamiiForums Tanzania Majibu ya Dizasta Vina juu ya uwepo wa Mungu

    Wasalaam. Nipo kwenye Group Moja la rapa mahiri na storyteller matata Sasa DIZASTA VINA, Nimesha sikiliza ngoma zake kadhaa kama Vile kanisa ambazo ame jitanabaisha kuwa yeye haamini uwepo wa Mungu Siku za karibuni alivyo achia ngoma ya TRIBULATIONS Ile aliyo mdiss Rapcha ame nukuliwa akisema...
  14. JamiiForums Tanzania Watu wengi hawafanikiwi Kimaombi kwa Mwenyezi Mungu kutokana na kukosea hii sehemu ndogo sana ila muhimu mno

    Unajua kabisa hadi sasa (2024) idadi ya Watu wote tuliopo Duniani ni Bilioni 8 na Milioni 200 halafu bado ukiwa Unasali ama Chumbani Kwako au Kanisani au Msikitini unamuorodheshea Mwenyezi Mungu lundo la mahitaji ukidhani atakuwa na muda wa Kukujibu yote. Kuanzia sasa GENTAMYCINE nakufundisha...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Watoto wafundishwe ukweli kama Maombi haya solve problem bali human action ndio zinatatua matatizo. Mungu na shetani hawaleti wala kutatua tatizo

    habari wadau. natamani sana watoto wetu wa kizazi cha sasa wafundishwe huu ukweli mapema.. wasije kuwa kama sisi baba zao na babu zao. mfano ghorofa limedondoka watu wamefukiwa.. watu wengi wanaamini sala na Mungu ndio atawanusuru. jiulize kama Mungu ana nia njema nao mbona Mungu hajazuia...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini wachungaji watumishi wa MUNGU wametengwa suala la uokozi kariakoo

    Aman iwe nanyi wapendwa katika BWANA Serikali ikiwa inasaini miakataba yake hasa hasa ya kifasidi ambayo wananchi hawajalizika nayo huwa wana watumia sana wachungaji Lakini leo kwenye hili suala la maafa kariako naona serikali imewatenga wachungaji watumishi wa MUNGU Watumishi wa MUNGU...
  17. B

    JamiiForums Tanzania ALIYESEMA CCM HAINA CHA KUSEMA AKIPENDA MUNGU NDIYO ISHINDE. AFARIKI DUNIA.

    Marehemu Zawadi Salehe Makame KADA maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Visiwani Zanzibar, Zawadi Salehe Makame, amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Radio ya Serikali ya Zanzibar, Zawadi amefikwa na mauti jana Jumanne, tarehe 17...
  18. JamiiForums Tanzania Waafrika kujikuta tunaishi Afrika Wala si Bahati mbaya,ni sahihi kabisa na tena tushukuru

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Kuna wakati huwa nalaumu sana lakini kwakuwa nina IQ kubwa,nimekuja kugundua sisi waafrika kujikuta tupo kwenye hili Bara la Afrika,ni jambo ambalo inapaswa Tushukuru usiku na mchana! Bara la Afrika ni bara ambalo linaendana sawia na akili ya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Amechaguliwa na Mungu': Wakristo wanaomwona Trump kama mwokozi wao

    Amechaguliwa na Mungu': Wakristo wanaomwona Trump kama mwokozi wao Akiwa amesimama kwenye jukwaa katika kituo cha mikutano cha Florida usiku wa uchaguzi, safu ya bendera za Marekani nyuma yake na umati wa watu wenye furaha wakitazama, Donald Trump alisema: "Watu wengi wameniambia kwamba Mungu...
  20. JamiiForums Tanzania Watanzania wana bidii ya maombi sana, bila dhana ya Mungu watakosa maana ya maisha kabisa

    Katika mkasa wa jengo la Kariakoo kuanguka nimewasikia watu wengi wanaotegemea watu kutolewa au ambao waliangukiwa na jengo wakiomba na kushukuru Mungu, Allah au Yesu katika mkasa huo mkasa. Kila posti niliyosoma mtandaoni, kila clip au maongezi ya kila mtu aliyefukuliwa huwezi kuyakosa haya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…