mungu

  1. R

    JamiiForums Tanzania Harusi mfungie kanisani, wali ukaliwe ukumbini, huo SI Upendo enyi watu wa Mungu!

    Salaam ,Shalom! Siku za mwisho imeandikwa Upendo wa wengi utapoa, Yaani ufunge ndoa kanisani, tukushangilie Kisha chakula kiende kuliwa ukumbini Tena kwa kundi dog tu la watu! Kiukwelli zamani palikuwa na upendo, likuwa Kila jumamosi au jumapiili sie watoto wa uswazi hatukukosa pilau la...
  2. JamiiForums Tanzania Katika watu wanaojua kutuchonganisha na Mungu ni hawa wanaokuja kuomba hela bar

    Yaani hapa utake usitake lazima umpe tu hela hata kama ipo nje ya bajeti yako
  3. U

    JamiiForums Tanzania Kumuamini Mungu bila kumuamini Mtume wake Mohamed ni kazi bure kabisa

    Wadau hamjamboni nyote? رَّسُولَ اللَّهِ وَخَاتَمَ النَّبِيِّينَ وَكَانَ اللَّهُ بِكُلِ‏ّ شَىْ‏ءٍ عَلِيماً “Muhammad is not the father of any of your men, but he is the Apostle of Allah and the Last of the prophets; and Allah is cognizant of all things.” (33:40) "Muhammad si baba wa yeyote...
  4. JamiiForums Tanzania Mtumishi wa Mungu anusurika kuuawa kwa bomu

    Jana asubuhi, Alexandra, Mtumishi wa Mungu katika jiji la Kiev, Ukraine, alinusurika kuuawa kwa bomu lililodondoshwa na drone ya Urusi, juu ya nyumba aliyokuwa amelala. Mlipuko wa bomu hilo uliiteketeza nyumba hiyo kwa sekunde chache tu. Kwa njia inayoonekana wazi kabisa kuwa ni muujiza wa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kumwamini Mungu bila kumwamini Yesu Kristo/Yeshua Hamashiach, ni kupoteza muda,moto unakusubiri

    Salaam, Shalom! Unatenda mema, unajitunza, unahurumia maskini, na kutenda mazuri duniani na unamwamini Mungu, Kisha unamkataa Yesu, huko ni kupoteza muda, Hizi ni sababu kwanini kumwamini Mungu na kutoamini kuwa Yesu ndiye Mungu mmoja aliyekuja katika mwili wa Mwanadamu ni kupoteza muda; 1...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ee Mungu wa Tanzania, waja wako twakuomba, isijirudie tena hii, tumejua, wa pili kumbe hawi na uchungu kama wa kwanza kwa mali na Watanzania

    Eee! Mola wetu mlezi! Muumba wa mbingu na aridhi, umetuonyesha kwa macho yetu tumeona na sasa twakuomba, Uirehemu nchi yetu, sisi na viongozi wetu na kwamba Ee Mungu wetu, isijirudie tena ya kutwaa wa kwanza ambaye tokea akiutafuta uongozi, hubeba machungu, shida, dhiki za Watanzania na kwamba...
  7. JamiiForums Tanzania Mama amshika pabaya mchungaji, Mungu kasema unipe laki sita

    Wakuu Mungu kasema na Mama ajabu mchungaji anajianya hasikii.😁😁
  8. M

    JamiiForums Tanzania Namuomba Mungu anipe uzima nishuhudie huyo anayedanganya wananchi mikoani kuwa atazuia uchaguzi Oktoba, 2025

    Mpaka sasa sioni dalili za kuzuia uchaguzi zaidi ya kupiga porojo kwa wananchi na kuzawadiwa samaki, wakati wa Magufuli wananchi walijaa kama hivyo lakini mwisho wa siku ulishindwa uchaguzi na ukasaidiwa na mabalozi kukimbia nchi. Kwenye mikutano yako unatukana wateule wa Rais unawaita wana...
  9. JamiiForums Tanzania Mpaka Mchungaji kashtuka! Mama amwambia Mchungaji Mungu alimwambia ampe Laki 6

    Wakuu Kwanini Mchungaji ameshuka?
  10. JamiiForums Tanzania Nshukutu Mungu mtoto wangusio shabiki wa Yanga,kuna vijana wa ovyo sana Yanga

    Wakati CAF inapanga droo ya CAFCL ba CAFCC walijazana mitaa ya Twiga na jangwani siku nzima uyafikiri hawana shughuli. Mara tena wamejaxana ofisi za BMT kwenye kikao cha serikali na bodi ya ligi,TFF,simba na yanga. Unajiuliza hawa vijana wana akili kwelli Mshukuru Mungu kamamwanao sio shabiki...
  11. JamiiForums Tanzania Maisha Baada ya Kifo: Labda Wahindu wamepatia Safari ya Ajabu inayoendelea milele

    Ulikuwa njiani kurudi nyumbani, siku ya kawaida kama nyingine. Hakuna ishara yoyote kwamba maisha yako yangekatika ghafla. Lakini ghafla—giza. Ajali mbaya ya gari. Wahudumu wa afya walijitahidi, walifanya kila waliloweza, lakini mwili wako ulikuwa umeharibika sana. Hakukuwa na matumaini ya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Dini na uchawi ni Simba na Yanga, Mungu na shetani ni Tom and Jerry

    Dini na uchawi ni Simba na Yanga, Mungu na shetani ni Tom and Jerry. mmojawapo akiwa hayupo mwingine nae anakufa. na movie inaisha
  13. JamiiForums Tanzania Kuna ulazima wa Mungu kuwachukulia hatua za kinidhamu wanaotumia jina lake kufanya utapeli na uovu

    Kuna ulazima wa Mungu kuwachukulia hatua za kinidhamu wanafanya uovu mwingi kupitia jina tukufu la Mungu. Hii sio sawa. Hawa watu wamekuwa na mambo mengi ya kitapeli kwa kujifanya wana uwezo mkubwa kiroho. Maskini wengi hasa wanawake wamekuwa wahanga wa huu ushetani wao unaotumia jina la Mungu...
  14. JamiiForums Tanzania Je 'Mungu' yuko wapi?

    Dini zinasema kuwa Mungu anaishi mbinguni. Hapo hapo, zinajipiga mtama na kusema kuwa Mungu yuko kila mahali. Nyingine zinasema eti Mungu ametuumba kwa mfano wake! Je mashonga, majambazi, chawa, madikteta, wauaji, wanyang'anyi, na wabaya wote, nao wameumbwa kwa mfano wa Mungu? Dini zinasema...
  15. JamiiForums Tanzania Ukweli wa Kushtusha: Maisha ya Milele Yanavyoweza Kuwa Jehanamu

    Je, umewahi kutamani uishi milele? Usiwe na haraka kujibu, kwa sababu huenda baada ya kusikia hadithi hii, utabadili mawazo. "The Last Answer" ni hadithi fupi iliyoandikwa na Isaac Asimov, mmoja wa waandishi mashuhuri wa science fiction. Ingawa hadithi hii si maarufu kama The Last Question...
  16. JamiiForums Tanzania Miaka 20 iliopita mtu angekuambia kuwa kuna watu Tz hii hawaamini Mungu yupo ungemcheka sana ila sasa idadi imekuwa maradufu. Ipi inaweza kuwa sababu?

    Exposure ktk elimu, sayansi na Tech? Kuathirika na utapeli wa kidini? Exposure ktk Atheism literature? Globalism na World wide sharing? ????????????????????????????????
  17. JamiiForums Tanzania Mungu Amekufa

    Ukipita mtaani utasikia walokole wakitamba, yaani haya maisha bila Mungu sijui yangekuaje, Haya madai ya kwamba mungu ndio anasimamia amani ya maisha ya huyu mnyama ni ya Nani, Amekufa Amekufa Amekufa Nimlete kwenu, mwali mpya, mwali wa asili, mwali asiyejali kuhusu uongo na ukweli, mwali huyu...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Mungu hayupo, angekuwepo shida na taabu zisingekuwepo

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri. Kama MADA inavyojieleza, Mungu hayupo ndio maana taabu na kila aina ya uchafu vimetamalaki hapa duniani. Mungu hayupo, Nimemaliza.
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vitu vingi vitabadilika, Mungu anasema hivyo katika uchaguzi ujao wa 2025. Rais atatoka Upinzani

    Mungu anasema Vitu Vingi vitabadilika. Katika uchaguzi Mkuu unaokuja. Maana watu wengi wamelia kuhusu maisha yao na Hatima za watoto wao , hapa imeangaziwa hali ya maisha ya watu, kiuchumi na mambo mengine kiujumla. Raisi atashinda atatoka Upinzani watu watakubali kuongozwa nae. Kwa kuwa huu...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Kumtukuza Mungu ni Kufanyeje?

    Kumtukuza Mungu ni Kufanyeje? Kumtukuza Mungu inamaanisha kumpa utukufu. Neno utukufu vile linavyohusiana na Mungu katika Agano la Kale ndani yake hubeba wazo la ukuu wa utukufu. Katika Agano Jipya, neno lililotafsiriwa "utukufu" linamaanisha "adabu, heshima, sifa na ibada." Kuyaweka mawili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…