mungu

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Watawala wanaogopa kukosa madaraka kuliko kumkosea Mungu

    Video inajitosheleza!
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mungu anasema damu haitomwagika ila ole wa anayemwaga damu

    Mungu anazungumza na Taifa usiku huu na neno lake nifupi sana ila litakuwa wazi mbele ya uso wa Taifa. "Hapata mwagika Dam ktk uso wa nchi ila ole ole anaye mwaga dam 😳 ole kwa wanao panga mabaya kwa watu wasio na hatia yes mtafanikiwa ila mkisha maliza fanya hayo MUNGU Taifa la Tanzania na...
  3. JamiiForums Tanzania Dkt. Philip Mpango: Tumkumbuke Mungu pale tunapoteswa isivyo haki

    "Napenda niwahakikishie watanzania na wapenda amani na usalama kuwa tayari serikali kupitia Wizara ya Mambo ya ndani imeviagiza vyombo vya dola kuwatafuta, kuwakamata na kuwachukulia hatua kali za kisheria waliohusika na tukio hili na wale wote watakaothibitika kujihusisha na matukio kama haya...
  4. JamiiForums Tanzania Udini mbele za Mungu ni ujinga na upumbavu mkubwa, Mungu anatazama dhambi na sio dini, hakuna dini inayostahili Mbinguni bali wema diyo wanaostahili

    Udini mbele za Mungu ni ujinga na upumbavu mkubwa, Mungu anatazama dhambi na sio dini, hakuna dini inayostahili Mbinguni bali wema ndiyo watakao ingia Kumekuwa na idadi kubwa ya wajinga wanaopotosha dunia kuwa dini fulani ndiyo inayostahili mbele za Mungu na hata kusababisha dunia kuingia...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mhe. Zitto atakuwa na waganga qa jadi wenye uwezo wa kupambana na watesi wake. Hajamwanchia Mungu.

    Mwanasiasa wa Pakistan Tengeneza makazi ya wazi na ya siri Usile kizembe Tembea na silaha za jadi na miliki kihalali silaha za kisasa Tafuta waganga wenye uwezo wa Kuuwa mtu akikuumiza,kukusingizia kesi aliyekukamata hakimu aliyekuhukumu wakili anayetetea maovu usimuachie Mungu
  6. JamiiForums Tanzania Ushahidi huu unathibitisha Yesu ni Mungu

    Mungu ametufunulia kila kitu ndani ya biblia takatifu, naomba fungua kitabu chako cha mwanzo hapo ndipo tunaanza kupata siri za Mungu: Mwanzo 1:26 Kisha Mungu akasema, “Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na dunia yote...
  7. JamiiForums Tanzania Makanisa, Mitume na Manabii ni vizuri kutii na kuheshimu mamlaka za dunia, vinginevyo ni dhambi kupotosha watu wa Mungu mkiwa madhabahuni

    Kutii Mamlaka za dunia ni Baraka. Warumi 13:1-14, iwaongoze, 13:1 Tit 3:1; 1Pet 2:13, 14; Dan 2:21; 4:17; Yn 19:11Kila mtu na atii mamlaka inayotawala, kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu, nazo mamlaka zilizopo zimewekwa na Mungu. 13:2 Kut 16:8; Tit 3:1Kwa hiyo...
  8. JamiiForums Tanzania Nini kusudio la Mwenye enzi Mungu kuwapa viumbe wake uzao usio kikomo?

    Ukikata tunda la Papai ndani utakuta mamia kama sio maelfu ya mbegu, ambazo nazo zinatarajiwa kila moja kuwa Mpapai ambao nao tena utatoa mamia ya Papa yenye mamia ya mbegu ndani kwa ajili ya kuzalisha Mpapai mingine. Na ni vivyo hivyo kwa mimea mingine. Mtu mume akisha baleghe ana uwezo wa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini watu wanaamini kuwa Mungu yupo?

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nataka niwaulize tu, Kwanini mnaamini kuwa kuna Mungu? Nawatakia wakati mwema.
  10. JamiiForums Tanzania Mtu anahangaisha kichwa chake kuhakikisha kuwa Yesu sio Mwana wa Mungu lakini mtu huyo huyo anaamini kitabu chao cha dini kilipokelea kutoka mbiguni😁

    Sawa, wala sijali unaamini nini, naheshimu unacho kiamini. Ila kama unaamini vitu ambavyo wewe mwenyewe haukuwahi kushuhudia sasa kwanini unakataa kuamini vitu vingine vinavyoaminiwa na watu wengine walio kama wewe ingawa wana itikadi tofauti. Sasa nani mshamba? wewe unaepata maelekezo ya mtu...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Padri Muchunguzi: Tunaachaje kuzungumzia siasa wakati waumini wetu ni wanasiasa? Tutawafundishaje?

    Wakuu, Tusubirie kusikia na huyu ameshambuliwa kwa sababu ya kusema ukweli? Tusubiri kusikia na huyu amepigwa vibaya na kuchukuliwa na watu wasiyojulikana sababu amesema ukweli? Wataumiza na kuua wangapi mpaka wajue hawawezi kunyamazisha watu kusema kweli isipokuwa tu kwa kubadilisha mienendo...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mungu Huokoa na pia Huadhibu

    Mungu Huokoa na pia Huadhibu Mfano wa Mungu alivyookoa Waisraeli kule Misri Waisraeli walikwenda Misri kupata chakula, kutokana na njaa iliyokuwa kubwa nchini mwao. Wakakaa kwa amani kwa miaka 30. Walipoongezeka na kuwa wengi, Farao wa Misri wakawatesa kama watumwa kwa miaka 400. Jumla, walikaa...
  13. JamiiForums Tanzania 25% ya nobel prize wameshinda Waisrael wakati dunia yote ni 75% tu! Hawa watu walichaguliwa na Mungu

    Hapa tunaongelea Ugunduzi na mchango wa technolojia zilizobadilisha maisha ya watu dunia. Waisrael wapo milion 15 tu duniani katika dunia yenye watu Billion 8. Lakini mchango wao kwenye hii dunia hasa wa uvumbuzi wa vitu na technolojia umekua n mkubwa kupitiliza….. kwa uchche wao ndio lakini...
  14. JamiiForums Tanzania Je, una habari? Ukifanya mambo haya, Mungu atakuangamiza!

    Je unajua? Ukifanya mambo yafuatayo, yakauharibu mwili wako, Mungu atakuangamiza. Ushahidi huu hapa: 1 Wakorintho 3:17 "Mtu yeyote akiliharibu hekalu la Mungu, Mungu atamwangamiza; kwa maana hekalu la Mungu ni takatifu, na ninyi ndio hilo hekalu.” Miili yetu ni hekalu la Roho Mtakatifu...
  15. JamiiForums Tanzania Nabii Rolinga: Madhara ya kumwaga damu, suluhisho ni kukaa pamoja

    https://youtu.be/gRFTQaTOCUg?si=7yOQzFaQ7gsU5Y8a Rais wetu na mama yetu mpendwa, Dr. Samia Suluhu Hassan, kama Serikali yako ni sikivu na wewe mwenyewe ni msikivu, hebu sikiliza sauti hii ya mtume wa Mungu. Kwa imani yako kama Mwislamu unaye mwabudu Allah, naomba utafakari ushauri huu wa...
  16. JamiiForums Tanzania Kwani Mungu ni kitabu?

    Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️ Kila kitu nikiuliza kwa Masheikh na mapadri na wachungaji na hata katika forum mbalimbali mnanifungulia KITABU, Ina maana Mungu alikosa njia zote za kujieleza katika dunia na watu wake bila ya KITABU tu? Ndugu msomaji naomba tumia akili kidogo unaposoma...
  17. JamiiForums Tanzania Hoja za kina ya Goethe juu ya Mungu na Yesu

    ---------------------------------- Johann Wolfgang von Goethe alikuwa mshairi, mwandishi wa riwaya, mwanafalsafa, mwanasayansi, na mwanafalsafa wa Kijerumani aliyeishi kati ya 1749 na 1832. Anachukuliwa kuwa mmoja wa watu muhimu kabisa katika fasihi ya dunia na maarufu sana katika harakati ya...
  18. JamiiForums Tanzania Kifo cha Papa kinatukumbusha Mungu ndio mtawala. Hofu zote zipelekwe kwa Mungu sio mtu au kipngozi ambaye ni mavumbi

    Mungu anatwala. Haugui Hafi Hachoki Hazimii Hatishwi Matendo yote ya heshima na inada uyaelekezwe kwa Mungu asiyekufa. Viongozi wa kidini na kiserikali wapewe heshima za kibinadamu. Heshima kuu irudi kwa Mungu Muweza wa Yote. Kwa Mujibu wa Biblia. Baba mtakatifu (Yohana 17:11) sio mtu. Ni...
  19. JamiiForums Tanzania Amini Nawaambieni , Pamoja na Mapungufu Yake Yote ya Kibinadamu, Mtu Huyu Ana Mungu Ndani Yake!, Anaongozwa na Roho wa Mungu!. Mshuhudie Hapa!.

    Wanabodi Kwa kadri siku zinavyozidi kwenda, ndivyo ninavyozidi kumkubali mtu huyu, amenyooka kama reli!, hakika mtu huyu ana roho wa Mungu ndani yake!, mtu bila kuwa na roho wa Mungu, bila kuongozwa na Roho Mtakatifu, huwezi kumpa makavu live tena bila kupapasa, kwanza kumtambulisha mbunge...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi kweli siku ya mwisho, hukumu yangu mimi itakua sawa na ya papa Francis aliyejitolea maisha yake yote kumtumikia Mungu?

    Wakuu nipo hapa natafakari msiba wa papa Francis,nimejiuliza huko kwa Mungu kweli tutapewa haki sawa? Yani mimi ambae muda wote nawaza wanawake na pombe nihukumiwe sawa na papa Francis ambae maisha yake yote kajitolea kumtumikia Mungu? Ebu tuache kujifariji kwa hizi nadharia please.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…