mungu

  1. U

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumaliza mahubiri Mchungaji kuagfiza wanaoamini kuwa Yesu ni Mungu wasimame juu, je ni sahihi kiroho ?

    Mchungaji kuuliza wanaoamini kuwa Yesu ni Mungu wasimame juu, je ni sahihi kiroho ? Wadau hili ni kwenye Ibada ya. Sabato Kanisa la Wasabato Salasala SDA wiki mbili zimeisha Kwenye Ibada hiyo somo Mkuu ni kuwa Yesu ni Mungu Mkuu bila kujali kama...
  2. JamiiForums Tanzania Inakuwaje mungu wao apigwe misumari kwenye msalaba na watu uliowaumba?

    Mimi safi sometimes naona hizi ni hekaya za abunuasi tu hivi inakuwaje wewe watu ndiyo ambao umewaumba then watu hao hao wakupigilie misumari kwenye msalaba bila kufanya kitu? Hivi vitu mbona tunaingizana chaka? Au mnatuonaje au na mimi naomba mnieleweshe basi
  3. JamiiForums Tanzania Amri ya Mungu ilivyopotoshwa na wengi

  4. JamiiForums Tanzania Innocent waache watu wamwabudu Mungu wao

    Mh. Bashungwa shauriana na Mama yetu, waache watu wamwabudu Mungu wao, maandamano yanayofanywa kila Sunday kwa Gwajima hayana tija na wakiachwa wakasali haina madhara makubwa maandamano yanaharibu image ya Taifa.
  5. JamiiForums Tanzania Muhammad alikuwa akipokea Aya kwa kila tukio linalompata. Mungu amrehemu. Tukio la Maria al-Qibtiyya

    Hadithi inayozungumzia tukio la Mtume Muhammad (SAW) kukutwa na kijakazi wa mke wake, inahusiana na kijakazi aitwaye Maria al-Qibtiyya (au Maria the Copt). Tukio hili linatajwa sana katika vitabu vya historia na siha (Sira) pamoja na baadhi ya tafsiri za Qur'an, hasa kwenye tafsiri ya Sura...
  6. JamiiForums Tanzania kwanini waumini wa Gwajima wanateseka, Mungu yupo wapi?

    Ukisoma biblia kuanzia Mwanzo mpaka Ufunuo Mungu alijitokeza waziwazi pale anapoona watu wake wakiteseka na kuumizwa. Nimepita hapo ubungo nimeona police wakizingira kanisa la KKKT ambapo waumini wa gwajima wanasali hapo, kimachoenda kutokea hapo ni kipigo cha hatari, Mungu yuko wapi awatetee...
  7. JamiiForums Tanzania Wanaoomuamini Mungu, wana nini cha kujivunia?

    Hivi, kwa nini watu wanaomuamini Mungu wakisoma posts za wasioamini katika uwepo wake, wanaumia na kuona kama kuna viumbe hawana akili. Wakati huo huo, wasiomuamini huyo Mungu, wanawaona wenzao kama kawaida, wenye haki ya kuamini wanachokitaka, bila kejeri na matusi kama ya wana wa Mungu...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Msiogope wauwao mwili peke yake bali mwogopeni Mungu auwaye mwili na roho ,Twendeni kwenye ibada pale pale ubungo maji injili lazima isonge mbele

    Injili lazima ihubiliwe kwa viumbe wote! Yesu alisema; Msiogope hawa wanaowatishia kuuwa mwili peke yake, Bali mwogopeni sana Mungu ambaye anauwa vyote yaani Mwili na roho na hao wanaowatisha! Shetani kazi yake ni kutisha na kuuwa mwili peke yake! LAKINI mwenye mamlaka ya MWILI NA ROHO ni...
  9. JamiiForums Tanzania Ogopa Sana Mungu na technology

    Huyu Shekh kumbe ni kada mtiifu wa kijani kinondoni
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Usipokuwa na hofu ya Mungu wewe si mwanadamu ni mnywa damu

    "Ni imani yangu hema hili litatumika kujenga jamii yenye maadili na jamii yenye hofu ya Mungu. Ni kupitia tu hofu ya Mungu na ndiomaana Mungu akatushushia dini na miongozo ndiyo mwanadamu anasimama kuitwa mwanadamu, na nilisia hapa mtu mmoja anasema kuna wanadamu na wanywa damu, sasa usipokuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Yesu ni Mungu: Amesema Yeye Pekee Ndiye Njia ya Kutupeleka Mbinguni. Wanaopita Njia Nyingine Wanaenda Upotevuni

    Yesu alisema wazi kwamba Yeye ni Mungu: “Mimi na Baba tu umoja” (Yohana 10:30), na pia: “Yeye aliyeniona mimi amemwona Baba” (Yohana 14:9). Haya siyo maneno ya nabii wa kawaida, bali ya Mungu mwenyewe aliyefanyika mwili na kukaa nasi(Mathayo 1:23). Sasa katika Yohana 14:6, Yesu anasema kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Mungu aliyesubiri wanasayansi wagundue meli ndipo tumjue

    Walisema sisi ni washamba. Tukaacha ngozi zetu, tukavaa suti. Tukaacha ngoma, tukavaa saxophone. Tukaacha majina yetu, tukaitwa Yohana wa Pili. Ajabu leo Wamasai, Wahamer, na BaTwa waliobaki washamba ndiyo kivutio cha dunia. Mungu mmoja alitoka Asia, akapita Ulaya, akaruka Mediteranea, akaruka...
  13. JamiiForums Tanzania Mungu anaongea na kutenda mapema kwa njia ya sadaka kuliko maombi makavu

    KWA Mungu SADAKA ni KITU kikubwa kuliko Maombi. Maombi yakichanganywa na sadaka matokeo yake yanakuwa sio ya kawaida. Watu maarufu katika Biblia kabla hawajafanya chochote walitoa sadaka. Mungu hakuwaacha. Hata Yesu alipoingia hekaluni hakukaa chumba cha maombi, alikaa pembeni ya sanduku la...
  14. JamiiForums Tanzania Mkiambiwa kuwa hawa Wanawake tuwapende tu ili tusimkwaze Mwenyezi Mungu, ila siyo Watu wazuri kabisa muwe mnaelewa sawa?

    “My Wife Abandoned Me When I Was Banned from Football & Lost My Fame” Paul Pogba said it in an Interview. Chanzo: The Nairobi Times Kuna mwingine Mumewe yuko Wodini Muhimbili akiwa Kalazwa Mkewe kaenda kumkumbushia Hela ya Matumizi ya Siku.
  15. JamiiForums Tanzania Wanawake Mungu anawaona mjue

    Watanzania Salam tuachane nazo tu. Juzi jioni natoka kazini nikakutana na binti mmoja ambaye kiumbo alinivutia! Ikabidi nimsalimie. Mara baada ya salaam nilimwomba tuzungumze japo 5minutes, Kwanza alikataa akasema ana haraka anawahi kwenda kupika ametoka sokoni kununua mboga,Lakini baada ya...
  16. JamiiForums Tanzania Ni upekee gani wa WaIsrael ulifanya washushiwe vitabu vitatu kati vinne vya Mwenyezi Mungu?

    Wakristo wao wanaamini Israel ni taifa teule lilichogaliwa na Mungu ndio maana mambo yote ya dini ya Ukristo na ukombozi yamepitia Israel, hawana kipengele katika hili, mjadala uliopo unaowaganya ni kama Israel ya sasa au ya kale ndio taifa teule. Kwa upande wa Waislamu wao wana story ya...
  17. JamiiForums Tanzania Mungu ambaye tunamuomba na anayesifika kuwa na UPENDO sifikirii kama ndo Mungu huyu huyu wanayesema atachoma watu wenye dhambi.!

    Kwa uelewa Wangu kuhusu Mungu. Namtafsiri Kama mwenye UPENDO huruma na UTU. , hii nadharia kuwa atachoma watu wenye dhambi naona Kama ni UONGO. Kwakuwa sisi Binadamu tupo dhaifu , kwenye kuyaendea mambo na asilimia kubwa tupo unconscious. Hivyo dhambi Kama uzinzi , N.k zinafanywa Sana na WATU...
  18. JamiiForums Tanzania Asante sana Mungu kwa kutuvusha nusu mwaka

    Ee Mungu nakushukuru umetuvusha nusu mwaka salama. 1. Maadui walikuja ili watuangamize, ukawatawanya! Asante sana Mungu. 2. Magonjwa yalitupata, ukatuponya nayo yote. Nakushukuru Mungu wetu. 3. Umebariki kazi za mikono yetu, tumepata pesa ya kununua mahitaji muhimu. Asante Mungu mkuu. 4...
  19. JamiiForums Tanzania Tunaotesa wenza wetu kwenye mahusiano Mungu anatuona, tukatubu!

    Ugonile, kwenye mahusiano usiombe ukakutana na kiboko yako, unaweza ukageuka mwehu.!! Kama ambavyo kwenye maisha kuna wale ambao Mungu kawapendelea yan kila wanapogusa panaitika kiufupi hawajui shida basi kwenye mapenzi pia wapo, yani wao suala la kuteswa na mapenzi ni never au la kidogo sana...
  20. JamiiForums Tanzania Watanzania Mungu awasaidie

    Naamini ni wetu sote Kariakoo- Dar watu wanalala barabarani usiku Makoroboi - Mwanza watu wanalala nje Arusha mjini watu kibao wanalala nje vijana jua ni lao na mvua ni yao Kwa Sasa Kuna baridi Kali Sana Arusha nimepita majuzi na mwanza ndio usiseme!! Nimeumia Sana Leo kuwaona mpaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…