mungu

  1. Makosa gani ambayo Mungu hawezi kusamehe

    Naomba kufahamishwa ni makosa gani ambayo Mungu hasamehi na ni kosa gani Shetani kalifanya mpaka Mungu ameshindwa kumsamehe 🙏
  2. Klabu ya Simba yathibitisha mechi ya Fainali ya CAF kuchezwa Zanzibar

    Klabu ya Simba imewatangazia rasmi mashabiki wake na umma kwa ujumla kuwa mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAF Confederation Cup) dhidi ya RS Berkane kutoka Morocco, uliopangwa kufanyika Mei 25, 2025, hautachezwa tena kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kama...
  3. Halikuwa chaguo la Mungu wala utabiri, bali kusudi la CCM 2015 kuchanganyikiwa na kusimamisha Makamu wa Rais na Rais sababu hizi hapa

    Wenye kuelewa ndio mtaweza kuelewa hili jambo. Mnakumbuka ndani ya chama cha CCM kulikuwa na upinzani mkali sana na kila mwenye nguvu alitaka kusimamisha mtu wake anayeweza kumfanya remote. Jambo lilotokea CCM kuweka makamo wa raisi mwanamke baada ya kuona kuna mgombea mwanamke raisi kupitia...
  4. Muhtasari wa Kiama Dakika kwa Dakika: Yatakayojiri Vita ya Nyuklia Kati ya Umoja wa Nchi za Ulaya na Urusi Juu ya Mgogoro wa Ukraine

    Je, umewahi kufikiri dunia inaweza kufutwa kwa dakika ishirini tu? Je, maisha yote tuliyoyajenga – shule, familia, ndoto – yakaisha kwa sauti moja ya kishindo? Huu si utani. Si sinema ya Hollywood. Ni uhalisia unaovizia mwanadamu kwa kivuli cha siasa na teknolojia. Rais wa Urusi, Vladimir...
  5. M

    CAF, Mungu anawaona, mpaka sasa Simba hatujui ni uwanja upi tukatoe kafara zetu yaani!

    Wataalam wa mbilingeni tunatokaje hapa? Ikiwa mpaka mida hii, bado haijulikani kama tutatumia uwanja upi ili tukafanye yale mambo yetu maana kafara za mbuzi zipo ila haijulikani sasa ni uwanja upi utatumika ili kazi ifanyike Mwaka huu huwenda ni mbaya sana kwetu kama timu, maana kwa, macho ya...
  6. Tetesi: Kenya imeamua kulivalia njuga suala la Lissu, wakenya walinusuru maisha yake na Sasa wanapambabia uhuru wake. Mungu hutumia wageni kuleta amani nyumba

    Wakuu si jambo la kushangaza kwa hiki kilichopo hapa nchini maandiko yanasema kuwa Mungu huwatumia watu wengine kuleta amani. Wakati taifa letu likiwa linapitia katika kipindi Cha majaribu makubwa ya haki, uongozi na utu jirani zetu Kenya wameonesha kuguswa na mateso yetu. Sina mambo mengi Hilo...
  7. S

    Yuko wapi Mungu?

    Ninajiuliza kila siku bila kupata jibu Yuko wapi Mungu, wakati watoto wanalala njaa? Yuko wapi Mungu, wakati watu wanapoteza wapendwa wao kwa magonjwa wasiyoweza kutibu? Mbona dunia imejaa vilio, lakini mbingu zimejaa kimya? Wanasema Mungu ni mwenye huruma, lakini mateso haya yanaongezeka kila...
  8. Nimetafakari mpaka nimeogopa: nimeshindwa kukijua chanzo cha MUNGU na kule alikotokea, nimeogopa zaid kutokujua chanzo chake

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU Leo nikiwa nimekaa nimetulia ndan, hii ni baada ya mvua kubwa kunyesha na kinikwamisha kwenda parokian, kanisan kusali Lakini mda huo ambao nikiwa nimekwama kwenda kanisani kwa sababu ya changamoto ya baraka ya mvua nikawa nawaza ivi MUNGU MWENYEZI alitokea...
  9. Zumaridi yupo sahihi (Mwafrika hajaumbwa/ Mwafrika ni Mungu) Likud 7th theory of creation

    Bado naendelea kutafuta asili ya mwanadamu na kwanini yupo duniani. Nimesha taja nadharia Sita kuhusu kile ninacho ona huenda kikawa ndio chanzo cha Sisi kuwepo hapa duniani. Hii ni nadharia yangu namba saba. MWAFRIKA HAJAUMBWA. Ila? MWAFRIKA yuko pamoja na Mungu. Kama ambavyo Mungu hana...
  10. L

    Kama mnamuamini Mitume na nabii Bulldozer,mbona baadhi yenu hamuwaamini Hawa,kwani wao sio watumishi wa Mungu?

    Kila mtu anaamini katika Imani yake. Hivyo Kila mtu aiombee Simba katika Imani yake. Haya ni maono ya mtumishi ww Mungu. https://www.facebook.com/share/r/1E2SjxMTA3/ https://vm.tiktok.com/ZMS8mPPVf/
  11. Mungu hufanya kazi kwa majira

    Haleluya Haleluya Haleluya. Nimejifunza: KUFANYA JAMBO SAHIHI KATIKA WAKATI USIO SAHIHI SIYO SAHIHI. MUNGU wetu ni MUNGU wa ratiba ni MUNGU WA wakati hafanyi mambo kienyeji maana yake kama ninasikia kiu ya kuomba leo ama msukumo wa kuomba niombe nisiseme nitaomba kesho maana MUNGU anaachilia...
  12. Ukisikiliza maneno ya Nape, DC Longido, Polepole na sasa Naibu Waziri Sangu lazima ukubali No Reform No Election ni Mpango wa Mungu kwa Tanzania.

    Baada ya kusikiliza clip ya maongezi ya Naibu Waziri wa Utumishi Bw. Deus Sangu ambaye pia ni mbunge wa CCM jimbo la kwela, na zile nyingine za Nape, DC Longido na Humprey Polepole kuhusu CCM wanavyoshinda uchaguzi utakubaliana na mimi kuwa No Reform No Election ni mpango wa Mungu kuikomboa...
  13. Zanzibar mbuzi wanaruhusiwa?? Ee Mungu tusaidie kikombe hiki kitupite kama n mapenzi yako

    Nimeona taarifa si njema kwa wanasimba wenzangu Kwa kweli mambo n magumu sana yaan kwa uwanja ule wa znz naona berkane akiondoka na kombe la shirikisho N mapenzi yangu kujua je na kule znz mbuzi wanaruhusiwa kuingia nao uwanjani Mwisho nisiseme mengi naomba niheshimu uamuzi wa caf kubadili...
  14. Tundu Lissu alishachaguliwa na Mungu anapendwa tu na Wananchi, CHADEMA inapendwa na Wananchi, anayehama atapotea, anayehamia CHADEMA atainuliwa

    Wakuu nadhani hili tuliweke sawa. Hivi mnajua TUNDU LISSU ni mpakwa Mafuta wa Mungu!? Huyu Mh yeye anapendwa tu yaan yeye hata asingeshinda Uenyekiti akahama chama au akaanzisha chama chake, Wananchi watamfuata tuu na bado atakua tishio. CHADEMA inapendwa na Wananchi , kwahiyo Kiongozi akiwa...
  15. Q

    Mkapa alisimamia uchumi, Kikwete demokrasia, Magufuli maliasili, Samia kama hivyo vimekushinda hata UTU?

    Watu wake wanatekwa mchana kweupe, she doesn't care. Wananchi wanauawa waziwazi, anasema, KIfo ni Kifo tu, hata vyenye utata? Katiba iliyomuwena madarakani anaita, KATIBA ni KIJITABU tu. Baada tu ya Magufuli kufariki March, Julai ukamshtaki Mbowe kwa Ugaidi, leo Lissu yupo ndani umemshtaki...
  16. Ushauri wa bure kwa dada yangu Dr Tulia, epuka mizaha na Neno la Mungu.

    Kwa wakristo, tunaamini Neno la Mungu linapokujia ni vema kulitia moyoni na kulitafakari. Kulifanyia mizaha ni kufuru, ambayo madhara yake hayatambulikani. Zaburi 1: 1-2 Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa...
  17. U

    Kwanini Mungu aliwapenda ,kuwatetea, kuwapigania na kuwalinda Wayahudi? Je mataifa mengine kwanini hawakupewa upendeleo huo mkubwa?

    Wadau hamjamboni nyote? Tafadhali toa sababu za msingi ukinukuu vyanzo makini Lugha zisizo na staha haikubaliki Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu
  18. Kwanini Mungu alimpenda sana Daudi ,japokuwa alikuwa na machafu mengi?

    DAUDI ALIKUWA NA MADHAIFU MAKUBWA Daudi hakuwa mkamilifu. Alifanya makosa mazito kama: Kuzini na mke wa Uria (Bathsheba) Kumuua Uria kwa njama ili kuficha kosa lake (2 Samweli 11:1–27) Haya yalikuwa makosa ya kimaadili na kisheria mbele za Mungu. LAKINI DAUDI ALIPENDA KWELI NA HAKUWA...
  19. C

    Yanga wakiamua kusambaza uongo unasambaa kwa kasi kwa shabiki wao mithili ya uongo wa shetani dhidi ya kweli za Mungu

    Uongo wa hii timu huwa unawachota hadi baadhi ya mashabiki wa Simba na wao kuingia kwenye mfumo. Walishafanya kwa chama wakimuita konokono baadhi ya mashabiki wa Simba wakaingia kwenye mkumbo wa kumlaumu chama kuwa amezeeka,lakini hatimae akasajikiwa yanga kiulaini sana. Yanga wakaanza kelele...
  20. Kutumia nguvu kubaki kwenye nafasi ambayo hukuitafuta ni kumkosea Mungu

    Mungu hutupa neema kubwa kubwa na ndogo ndogo. Neema ni kitu unapewa tu bila kukisumbukia au kukitarajia. Akupaye neema hatarajii uifanye kuwa haki na siku akitaka kuchukua hatarajii ugome bali umshukuru kwa angalau alichokupa. Pia anaweza kuamua kuongeza neema juu ya neema kwa kadiri atakavyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…