Mara nyingi viongozi wafanyapo state visits wanakuwa na wenza wao wa ndoa. Ziara ya Rais Samia ya siku 2 nchini Kenya imeonesha picha ya couples wakati wa state banquet, lakini kwa upande wa Tanzania pamepwaya. Je, kuna tatizo?
Endapo mume wa Rais Samia angeonekana, wakati Marais wanaongelea...