muhula

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Juuchini

    Trump Ahofia Kung'olewa Kabla Muhula Wake Haujaisha.

    Rais wa Marekani, Donald Trump, ametoa onyo kali kwa wabunge wa chama chake cha Republican, akidai kuwa wasiposhinda uchaguzi wa katikati ya muhula wa Novemba 2026, wapinzani wake wa chama cha Democratic watamng'oa madarakani kwa kumfungulia mashtaka ya kikatiba. Akizungumza Jumanne katika...
  2. A

    KERO Wanafunzi wa Chuo Cha SAUT tumenyimwa ID ya special semester ya kwanza licha ya kumaliza ada kwa muhula wa kwanza

    Baada ya kutamatika kwa muhula wa pili wa masomo kwa chuo kiukuu cha SAUT utaratibu huwa ni mtihan ya Special na supplementary za semester ya kwanza kufanyika. Kwa ratiba ya chuo kuku cha SAUT mitihan imeanza kufanyika tarehe 12 /08 2025 na inatarajiwa kutamatika tarehe 19/08/2025 lakini...
  3. Dennis Robert Shughuru

    GE2025 Namuona Samia Suluhu akitawala muhula wa 2025 mpaka 2030

    HUU NDO MSIMAMO WANGU WA UCHAGUZI WA 2025 Kwanza acha ni-declare interest mimi siandiki uzi huu kwa sababu ya kusaka cheo au teuzi bali kuna mambo nataka uyaone kwa jicho la utofauti Misimamo yangu sitakubali nafasi yeyote ile ya kupewa ķutoka serikalini iwe ni Ubunge wa kuteuliwa Ukuu wa...
  4. Parabolic

    Mpinzani mkuu wa Rais Paul Biya wa Cameroon aenguliwa kugombea

    Kiongozi wa upinzani nchini Cameroon Maurice Kamto ameondolewa kwenye orodha ya wagombea katika uchaguzi wa urais wa Oktoba 12, 2025. Ni majina 13 tu kati ya 83 yaliyowasilishwa kwa baraza la uchaguzi nchini humo yalikubaliwa. Hakuna sababu iliyotolewa kwa uamuzi wa kutomruhusu Kamto kusimama...
  5. I

    Ni wazi Kassim Majaliwa hatakuwa Waziri Mkuu ajaye, je Waziri Mkuu ajaye atahudumu muhula mmoja?

    Rais Samia anagombea muhula wa pili wa Urais wake na ndiyo muhula wa mwisho kwa kwa mujibu wa Katiba iliyopo. Kwa kuwa Majaliwa hagombei tena ubunge na kwa mujibu wa Katiba iliyopo Waziri Mkuu lazima awe ametokana na Wabunge wa kuchaguliwa, Rais Samia atalazimika kuchagua Waziri Mkuu mwingine...
  6. The Zanzibar Echo

    Museveni awania muhula wa saba madarakani Saumu Njama

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameomba tena uteuzi wa kugombea muhula wa saba, hatua inayomuelekeza kwenye miaka 50 ya utawala. Museveni, mwenye umri wa miaka 80, amepuuza wito wa kustaafu huku wakosoaji wake wakionya kwamba amegeuka kuwa mtawala wa kiimla, kwa kuwa hana upinzani wa maana hata...
  7. V

    Kama hudaiwi, umemaliza yote, unakasirika kuambiwa kuna mengi ya kufanya, unagombea muhula mwingine ufanye nini ???

    Kwenye news kubwa za leo, limetokea jambo si la kawaida. Mheshimiwa ameghadhibika vibaya mno kuambiwa laivu na Mbunge wa Kisesa kwamba wewe sisi huku tunakudai, na wanaosema hawakudai leteni hela zao huku kwetu tufanye maendeleo. Mheshimiwa Mwenyekiti amemkata jina Mbunge Mpina na kusema...
  8. Mhaya

    Hii kusema Chama kitaanza kutekeleza Mchakato Wa Katiba Mpya wakiingia Madarakani 2025-2030 ni uongo, kila muhula wanakuja na Uongo huu.. shituka wewe

    Swala la katiba Mpya lilianza kupigiwa kelele na kupamba moto toka enzi za Kikwete akaingia magufuli naye akasema yupo kwenye mchakato wa kukamilisha, Mzee Magufuli alahudumu miaka yake 5 akaaga Dunia, jambo hilo halikukamilika, badae akaingia Samia kwa Tiketi ya Magufuli akapalilia pale pale...
  9. Tlaatlaah

    Naona kama ni fedheha kwa msomi kukaa bungeni muhula mzima bila kuteuliwa waziri japo sio lazima wala muhimu na jimboni pakiwa pakavu tu hakuna kitu

    Yaani watu wa kawaida tu bungeni wanafanya kazi nzuri kwenye majimbo yao, wanafanya kazi nzuri wanapopewa dhamani serikali kuu, wanahamishwa kutoka wizara moja kwenda nyingine, huku wasomi na ubobevu wao wakishindwa hata kua na ushawishi wa kua wenyevikiti wa kamati za bunge, na jimboni pake...
  10. Yoda

    Trump asema hatanii kugombea muhula wa tatu wa urais

    Ile tabia ya viongozi wa Africa kung'ang'ania madarakani baada awamu zao kumalizika hatimaye imefika huko kwa waliokuwa baba wa demokrasia. Mtawala wa US, Donald Trump ameanza kuchombeza uwezekano wa yeye kugombea muhula wa tatu kinyume na katiba, Trump anasema raia wengi wanamuhitaji kugombea...
  11. Mindyou

    Marekani: Mbunge apeleka muswada bungeni utakaomruhusu Donald Trump kugombania Urais kwa muhula wa 3

    Wakuu, Inaonekana huko nchi Marekani wameanza kufuata mienendo ya wanasiasa wa CCM. Mbunge mmoja huko nchini Marekani amepeleka muswada bungeni ambao una lengo wa kumuongezea muhula wa 3 Donald Trump. Muswada huo una lengo la kumpa Donald Trump miaka mingine 4 akishamaliza muda wake wa...
  12. Kyambamasimbi

    Je wanafunzi wataanza muhula ujao na walimu idadi ileile Huku idadi ya wanafunzi ikiwa imeongezeka?

    Binafsi najiuliza ufanisi utatoka wapi ikiwa idadi ya walimu ni ileile halafu wanafunzi wameongezeka kwa shule zote za msingi na sekondaril,mfano Kuna shule jirani watoto walidahiliwa kuanzia form one ni 500 je idadi ya walimu waliopo inatosha? Jibu ni hapana nn kifanyike au serikali haijui takwimu?
  13. Mturutumbi255

    Mada Changamshi: Je, Rais Samia Suluhu Hassan Anatakiwa Kugombea Muhula Mmoja tu?

    Ndugu wananchi na wanachama wa vyama vyote vya siasa, leo tunakutana kujadili suala nyeti na lenye umuhimu mkubwa kwa mustakabali wa taifa letu. Tangu Rais Samia Suluhu Hassan achukue madaraka baada ya kifo cha ghafla cha Rais John Pombe Magufuli, kumekuwa na mijadala na mitazamo tofauti kuhusu...
  14. Msanii

    Polisi ibadilike kabla muhula haujawadia

    Sisi veterans tunalishauri jeshi la polisi yafuatayo. Liache na kujitenga kutumika kisiasa Lijitathmini utendaji na utumishi wake kama linaishi kwa mujibu wa Katiba na Sheria inayoliunda Lisitumike na wenyenazo kuwanyanyasa wasionazo (nazo = pesa) Kuacha kuua raia kwa kisingizio cha kudhibiti...
  15. Msanii

    Pendekezo: Rais akishamaliza muhula wake ndio uwe ukomo wake kwenye utumishi wa umma

    Rais ni madaraka ya juu kabisa kwenye Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Yeye ndiye mkuu wa vyombo vyote vya ulinzi na usalama. Sheria ya Wastaafu inampa Rais unafuu mkubwa kuendelea kuhudumiwa na Hazina kwani pamoja na kujengewa makazi na serikali, anaokea mshahara 100% ya rais aliyepo...
  16. W

    SI KWELI Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema atangaza kutogombea muhula wa pili uchaguzi Mkuu mwaka 2026

    Licha ya kufanya makubwa kwa muda mfupi ndani ya Mhula wa Kwanza, Rais wa Zambia Hakainde Hichilema ametangaza hataomba muhula wa pili kwenye uchaguzi mkuu wa baadae 2026. Hapa Tanzania hakuna chochote kafanya na bado chawa wanataka aongeze muda mpka 2030! Tamaa na Uroho wa Madaraka. Tazama...
  17. R-K-O

    SI KWELI Katika muhula wa kwanza wa Hayati Rais Magufuli Tanzania haikuwahi kupokea msaada wa kifedha kutoka kwa nchi yoyote

    Ni kipindi nakumbuka Mwamba aliibatiza jina nchi kuwa donor country (nchi inayotoa misaada) na kuna usemi kwamba Tanzania tulijihudumia bila misaada ya wazungu tulijibana bana tule kwa urefu wa kamba ndio maana hata vyuma ilibidi vikazwe. Palikuwa pana ukweli?
  18. BARD AI

    Gabon: Rais Ali Bongo kuwania Muhula wa 3 licha ya Familia yake kutawala kwa miaka 55

    Kiongozi huyo aliyeingia Madarakani mwaka 2009 akichukua nafasi ya Baba yake, Omar Bongo aliyetawala kwa zaidi ya miaka 40, atawania nafasi hiyo tena katika Uchaguzi Mkuu wa Agosti 2023. Bongo alishutumiwa na Kiongozi wa Upinzani Nchini Gabon, Jean Ping akwa Wizi wa Kura katika Uchaguzi wa...
  19. BARD AI

    Rais Macky Sall asitisha kugombea muhula wa 3 kisa maandamano

    Kwa mujibu wa Wanasiasa wa Upinzani Nchini Senegal, wamesema Kiongozi huyo ameachana na mpango baada ya kuwepo kwa shinikizo la kumpinga pamoja na maandamano yaliyoitishwa Nchini kote. Rais akitoa uamuzi wa kutogombea amesema "Senegal ni bora zaidi ya mimi na ina viongozi wenye uwezo mkubwa...
  20. ChoiceVariable

    Senegal: Wafuasi wa Upinzani Waandamana Kupinga Rais Macky Sall Kugombea Muhula wa Tatu

    Mamia ya wafuasi wa Upinzani wameanza maandamano ya Siku 3 kupinga hatua ya Rais Macky Sall wa Senagal kupanga njama za kubadili Katiba Ili kumuwezesha Kugombea muhula wa 3. Wafuasi hao wengi wakiwa ni wa Kiongozi wa Upinzani Ausmane Sakho aliyeko kolokoloni wameapa kupambana kuhakikisha...
Back
Top Bottom