Serikali imeipatia hospital ya Dkt Samia Suluhu Hassan iliyopo wilayani Muheza kiasi cha sh. 2,570,164,000 fedha kuendeleza ujenzi wa hospitali hiyo pamoja na ununuzi wa vifaa tiba.
Akikabidhi sehemu ya vifaa tiba vilivyotolewa na serikali Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo...