Habari wakuu!
Kuendesha biashara inahitaji akili nyingi sana, huu uzi ni maalum kwa watu ambao wamewahi kuanzisha biashara na zikafanikiwa.
Katika biashara kuna mtaji (Fungu la pesa la kueendeshea biashara), matumizi (kodi ya fremu, umeme, ulinzi, usafirishaji n.k) pia kuna faida (Mauzo -...