muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Uingereza yasema kipigo kutokea Israel ni suala muda tu

    1. Hajatokea Natanyahu kutia neno hadharani tokea kipigo cha jumapili. 2. Inafahamika amekuwa na vikao vya baraza la vita kila siku tokea siku hiyo. 3. Ziarani Israel David Cameron kaliweka wazi: 4. Kwamba kama alivyofanya Iran, mwendo ni calibration ya mapigo kutoleta madhara sana: 5...
  2. Unaye mtu wa kukusikiliza? Kuna muda unapitia hali unapitia unatamani kumweleza mtu mmoja upate ahueni lakini hayupo

    Mimi Sina mtu wa kumweleza,Sina mtu wa kunisikiliza, Kuna wakati unapitia hali flani una wish angekuwepo mtu M,Moja na akusikilize tu. SISI ni wale tumezaliwa kwenye familia za baba huku na mama kule, Nataka kusema hivi msifanye makosa haya, Kuzaa Kila mtoto na baba yake, Kuzaa Kila mtoto...
  3. Majibu ya Serikali Kuhusu Vitambulisho vya NIDA Vyenye Ukomo na Visivyo na Ukomo

    SERIKALI KUANZA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI KUHUSU VITAMBULISHO VYA NIDA VYENYE UKOMO NA VISIVYO NA UKOMO Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janejelly James Ntate ameuliza swali lililoelekezwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kuhusu...
  4. R

    Huyu aliyeelekeza magari ya serikali kupaki saa kumi na mbili ana maana gani?

    Leo imetolewa hoja kwamba magari ya serikali yapaki saa kumi na mbili. Unajiuliza hawa watu wanapotoa haya matamko wanashindwaga nini kufanya tathimini? Nchi hii inawaza kuendesha shughuli zake masaa ishirini na nne; Mama anawaza kuona soko la Kariakoo linafanya kazi masaa ishirini na nne...
  5. S

    Beno Kakolanya atoroka kambini kuelekea Mechi na Yanga SC

    Kablu ya Singida Fountain Gate imesikitishwa na kitendo cha gilikipa wao Beno Kakolanya cha kutoroka kambini muda mchache kuelekea game yao dhidi ya Yanga. Singida wanakichukulia kitendo hicho kama ni hujma na wanafatilia kwa undani pamoja na wachezaji wengine wote wenye viashiria vya kuihujuma...
  6. P

    Nchimbi: Kiongozi wa kweli habagui anaowangoza. Huwezi kuwa na vikosi vya upelelezi muda wote unatafuta wenzako wanasema nini

    Niwaombe wana CCM wanaoshinda uchaguzi katika ngazi zote, kiongozi wa kweli ni mnyenyekevu na habagui anaowaongoza, waunganishe watu wote waliokuwa chini yako. Huwezi kuwa wewe una vikosi vya upelelezi muda wote unatafuta wenzako wanasema nini. Binadamu ana haki ya kufikiri, anaweza akayona ya...
  7. Muda mwingine uhalisia tunaouona sio kweli sana, hata vitu vingi vinavyotuvutia hatujui sababu hasa kwanini vimetuvutia

    Umewahi kujiuliza je? Mfano wewe ni mpenzi wa yanga au simba, ni kwanini unapenda na ni vigumu kubadilishwa mtizamo wako kiasi kwamba hata wazingue kwa kiasi kikubwa bado utazidi kutafuta namna ya kutetea ili uendelee kuipenda. Kuna case mbili fikiria alafu useme katika case ipi utabadili...
  8. B

    Marekani yasema kipigo kutokea Iran ni suala la muda tu

    1. Zipo jitihada nyingi za kheri kuzuia Shari. Ugumu uliopo uko wazi: 2. Hata hivyo wanayo kheri kuu walio wapatanishi na wenye kuipigania amani pasipo kukoma: 3. Kumbe kipi kilicho bora zaidi, binadamu apitishwapo kwenye lindi la mauti? 4. Hadi pale Iran atakapothibisha vinginevyo...
  9. Benchika kocha jina, muda utaongea

    Ukilinganisha takwimu za kocha objective na huyu Benchika za mr objective ni nzuri kuliko za huyu. Najua mtakuja na mapovu ila muda utaongea
  10. Kupitia Mapambano ya Maisha kuna muda unasema vita nimevipiga ila ndio hivyo

    Maranyingi kama mtu unakaa mahali tulivu na kufikiria. Unajitathmini mwenyewe na kulinganisha maisha yako sasa na miaka 1/2 au zaidi iliyopita. Unagundua kuna vizuizi vingi mno umeshindana navyo au umeviondoa kwenye maisha yako na unajipa pongezi. Motisha ya kuendelea kupambana na maisha...
  11. Paul Makonda aingia Arusha, akabidhiwa ofisi na kuzungumza na Wananchi

    https://www.youtube.com/watch?v=p3adH5D00yU Naibu Katibu Mkuu CCM Bara, John Mongela akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda katika hafla ya kukabidhiana ofisi Leo April 8, 2024 katika ukumbiwa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Pia viongozi mbali mbali wamehudhulia hafla hiyo...
  12. L

    Paul Makonda kupokelewa kishujaa Arusha, Magari ya msafara yafurika uwanja wa ndege kumsubiri atue

    Ndugu zangu Watanzania, Arusha kumekucha,kanda ya kaskazini imesimama, wananchi wanatetemeka kwa furaha, shughuli zote zimesimama, habari ni moja tu, stori ni moja tu ni juu ya ujio wa Mwamba Mwenyewe Mheshimiwa Paul Christian Makonda Kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara. Imeshuhudiwa...
  13. Wanyama 9 wanaoweza kuishi bila Chakula wala maji kwa muda mrefu

    Chakula ndio chanzo kikuu cha nishati kwa mwili wetu kufanya kazi vizuri. Chakula pia huongeza usagaji chakula huku kikiipa nguvu mifupa, misuli na mishipa ya fahamu. Ikiwa hatutakula, tunaweza kuwa na hasira na upungufu wa maji mwilini. Wanadamu hawawezi kuishi bila chakula na maji kwa siku...
  14. Tangazo la Kazi za Muda TAMESA Aprili, 2024

    Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) ni Taasisi ya Umma iliyoanzishwa kwa Sheria ya Wakala wa Serikali Sura ya 245. Majukumu yake makubwa ni kutoa Huduma za Matengenezo ya Magari na Mitambo, Huduma za Umeme ikiwa ni pamoja na kufanya Matengenezo ya Taa za Barabarani, kufanya Matengenezo...
  15. Mlikaa muda gani baada ya kuoana kabla ya kupata mtoto?

    Wakuu nina miezi miwili bila bila niko kwa ndoa. Niko na mashaka.
  16. I

    Rais Samia alivyowezesha mageuzi katika sekta ya afya ndani ya muda mfupi

    Afya bora au Afya dhaifu ni kigezo cha kutambua uhai wa Taifa lolote, Afya bora ni matokeo ya mambo mengi na moja wapo likiwa ni huduma bora katika nyanja mbalimbali. Miaka kadhaa iliyopita mgonjwa kufanyiwa CT SCAN ilikuwa nadra na kwa hospitali chache. Kwa kutambua umuhimu wa huduma bora za...
  17. G

    Nimepigwa hard disk speed ni ndogo sana, tusiwe na haraka tuchukue muda kuzikagua kuepuka huu upigaji

    UPDATE / MREJESHO: Tatizo lipo kwenye case ni usb 2.0, nimetesti kuiunganisha moja kwa moja kwenye desktop speed ni nzuri MB 50 kwa sekunde, chief mkwawa kanishauri ninunue case ya usb 3.0 model ni HTS545032A7E380 Nilienda kununua hard disk ya GB 320 kwa elf 25 maalum kwajili ya kuifanya...
  18. Muda mfupi uliopita, IOF iliamua kuwaita askari wa akiba kwa ajili ya mifumo ya ulinzi wa anga kutokana taarifa za Iran kushambulia

    Wanaukumbi. 🚨 Muda mfupi uliopita, IOF iliamua rasmi kuwaita askari wa akiba kwa ajili ya mifumo ya ulinzi wa anga "kutokana na hali ya usalama." Kwa saa kadhaa, jeshi la anga na ulinzi wa IOF vimekuwa katika hali ya tahadhari na tayari kabisa, wakihofia jibu la Iran kwa shambulio la IOF la...
  19. G

    Bado CCM hakujatulia. Naziona teuzi na tenguzi nyingine muda si mrefu

    Nadhani CCM hawakai kama Kamati katika kupendekeza, kuchambua na kupitisha nani awe nani ndani ya chama. Yawezekana maamuzi mengi hutegemea mahaba na mapendekezo ya mtu au kikundi cha watu wachache. Sina hakika na hili ndiyo maana nimetumia maneno nadhani na yawezekana. Ukiangalia kwa nje...
  20. CCM isione aibu, muda bado upo

    Majina ya mmoja wao atakaye teuliwa kuwa katibu mwenezi yametangazwa lakini laa! Orodha iliyotolewa inasikitisha sana kwani haifsnani na CCM tuijuayo, hii imepwaya haina wanasiasa. Bila kuwa mwanasiasa hakuna atakachokieleza kwenye uenezi wake, ukweli lazima usemwe kati yao hakuna hata mmoja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…