muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Natangaza kuhama Kwa muda jamii sport

    Nimeamua kuhamia jukwaa la siasa Sasa Napumzika ubishi wa Simba na Yanga Nataka nianze kujadili mawazo mazito ya siasa Nina akili na maarifa makubwa ambayo yanaweza kusaidia Taifa Tujadili uchaguzi na maendeleo ya Taifa letu Tujadili rasimali zetu zinazopotea midomoni mwa mbwa mwitu Mijadala ya...
  2. JamiiForums Tanzania LGE2024 Njombe: Wananchi Wanging'ombe zoezi la Upigaji Kura halichukui muda mrefu

    Baadhi ya wananchi wa Igwachanya Halimashauri ya Wanging'ombe, waliojitokeza katika zoezi kupiga kura leo November 27, 2024 ili kuwapata viongozi wa mitaa, vijiji na vitongoji watakaowaongoza kwa kipindi cha miaka 5. Soma Pia: Yanayojiri kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa mkoa wa Njombe
  3. JamiiForums Tanzania Mtandao wa tiGO wabadili jina, sasa kuitwa YAS

    Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo Tanzania imebadilishwa jina na sasa itajulikana kama YAS kuanzia leo. Mabadiliko haya yametangazwa mchana huu jijini Dar es Salaam katika hafla iliyohudhuriwa na watu mbalimbali na kuongozwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Muda wa drama za kuelekea 2025 umewadia

    Sasa hivi tutawaona sana vijiweni, kwa mama ntilie, kwenye bodaboda, kwenye michezo hasa ligi za kisiasa( diwani / mbunge cup) nk PIA SOMA - LIVE - Kuelekea 2025 - Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
  5. JamiiForums Tanzania Itachukua miaka 11 kwa Deni la Serikali kuisha ikiwa hakutakuwa na Mkopo mwingine wowote kwa muda huo huku ikilipa Tsh. Trilioni 8.8 kila mwaka

    Kwa mujibu wa ripoti za Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na Wizara ya Fedha, hadi kufikia Septemba 2024, zinaonesha Deni la Serikali lilifikia Tsh. Trilioni 98.5 ambapo kwa kipindi cha miaka 9 Deni hilo limeongezeka kwa Tsh. Trilioni 64.2. Ili Tanzania iondokane na Deni hilo, itachukua miaka 11...
  6. JamiiForums Tanzania Ninachojua kuhusu Dhamana za Serikali za muda mfupi /T Bills

    1. Dhamana za muda mfupi zinaitwa Tresury Bonds au T bills✅ 2. Ni uwekezaji kama wa hisa✅ 3. Hazina kodi ✅ 4. Huwezi chukua muda wowote✅ 5. Zinauzwa siku maalumu✅ 6. Ni za serikali siyo binafsi✅ 7. Watu wengi. hawaujui kabisa aina hii ya uwekezaji✅ 8.Dhamana za muda mref zinaitwa Premium...
  7. JamiiForums Tanzania Shusha nondo kuhusu T-Bills au dhamana za serikali za muda mfupi

    Wakuu, kupitia uzi wangu wa UTT nimejifunza kuhusu T bills au Dhamana ya serikali za muda mfupi. Ninachojua ni Mnada kama wa fedha! MWENYE UJUZI WA DHAMANA YA MUDA MFUPI ASHUSHE NONDO!! #Bila-Nyinyi-Sitoboi
  8. R

    JamiiForums Tanzania Ikiwa unatumia muda mrefu kwenye kioo kujipamba kuliko maandalizi ya kiroho siku ya ibada jua hakuna ibada bapo!

    Salaam,Shalom!! Imeandikwa ( mithali 16:1), maandalio ya moyo ni ya mwanadamu, Bali.... Pana mtumishi mmoja pia aliwahi kuimba kuwa, Ibada huanzia nyumbani. Sasa TOBA, msamaha, utakatifu wa mwili NAFSI na Roho, ni vitu vinavyotakiwa kuanzia nyumbani. Kuoga, kusafisha mwili ni muhimu ila muda...
  9. JamiiForums Tanzania Tetesi: Muda wowote kabla mwezi haujaisha Rais kutandika mkeka mpya, Mtanda ajiandae kisaikolojia!

    Hizi ni habari za ndani pasi na shaka muda wowote kutafanyika mabadiliko ya watendaji wakuu wa mikoa, ni mabadiliko ya kawaida ila chanzo ni wengine kulewa madaraka na kuyatumia vibaya na kufanya utoto hao watakwenda na maji. Angalizo: Hatujui mabadiliko haya kama yanahusiana na mechi ya Pamba...
  10. JamiiForums Tanzania Sio vibaya ukianza kwa ku-share tracks tano za rap bora uzipendazo za muda wote

    1: Nas - New York State Of Mind "I never sleep, cause sleep is the cousin of death. Beyond the walls of intelligence, life is defined. I think of crime when I'm in a New York state of mind" 2: Ice Cube - Today Was The Good Day "Get me on the court and I'm trouble Last week, messed around and...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Kuna benki unasubiri saa zima kuweka/ kutoa pesa. Ni benki gani ya kuaminika ambayo nitahudumiwa fasta?

    Kuna benki kadhaa hap nchini imekuwa ni kama utamaduni / mazoea mtu kukalishwa muda mrefu mpala lisaa unasubiri kuweka / kutoa pesa. Ni kweli mawakala wapo lakini kuna sababu zinatulazimu kwenda bank, mawakala wengi huwezi kuingiza au kutoa zaidi ya milioni 1. Unaingia Benki, unatoa kikaratasi...
  12. JamiiForums Tanzania Dr. Khiago Kilonzo kikaangoni, kuenguliwa muda wowote!

    Wakuu, poleni kwa janga la Kariakoo. Mungu awarehemu waliotangulia, majeruhi wapate nafuu mapema na ambao bado wapo katika kifusi wapate kuokolewa wangali hai, Amen! Kama mtakumbuka vyema, mwishoni mwa mwezi May niliwaletea habari kuhusiana na suala la Dr. Khiago kutumia nafasi yake kama Katibu...
  13. JamiiForums Tanzania Umewahi kutana na mtu ambaye mawazo yake muda wote yamekaa kingono tu?

    Katika safari ya maisha, mara nyingi hukutana na watu wa tabia tofauti, kila mmoja akiwa na changamoto zake. Wapo watu ambao mawazo yao yanaweza kuelekezwa kwenye masuala maalum kama kazi, familia, au maendeleo binafsi. Lakini pia wapo ambao, kutokana na sababu mbalimbali, maisha yao huzungukwa...
  14. JamiiForums Tanzania Ni muda Cheo cha Makamu wa Rais kifutwe Tanzania

    Kwa Sasa Katiba ya Jamhuri ya Tanzania inatakiwa kupitiwa upya, na kuondoa cheo Cha Makamu wa Rais. Cheo hili hakina tija kinaongeza tu mlundikano wa vyeo visivyokuwa na maana. Makamu wa Rais Hana mamlaka Kama aliyonayo Waziri Mkuu, ndio maana Waziri Mkuu anaweza kumfukuza au kumsimamisha kazi...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna muda wanawake wana intelijensia ya ajabu jana yamenikuta

    Jana si nimeyakanyaga, huwa nafanya kazi dar kwa hio muda mwingi nakua huko ila mke yupo mkoani. Mwisho wa mwaka huwa narudi na mwaka huu nimerudi mapema, sasa jana wema wangu si ukaniponza. Nikaamua kumtoa out wife, sijui kichaa gn kikaniingia nikampeleka pub moja ambapo huwa naenda sana...
  16. JamiiForums Tanzania Zuchu aachane na Wasafi asimame mwenyewe kama Nandy ! Atafute mume aolewe muda ni sasa awe na familia

    Wabobezi wa Sheria za mikataba waingie kazini wamsaidie huyu mrembo kijana na mwenye mvuto mkubwa Afrika nzima ,kuuvunja mkataba wake na Wasafi ili asimame mwenyewe kwa uwezo wa zuchu akiwa mwenyewe atafanya makubwa sana! Zuchu asipoondoka Wasafi atadumaa na hatakuwa huru hata siku Moja ...
  17. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa waokozi kariakoo!

    Kutokana na kuwa jengo kwa ujumla lipo katika hali ya hatari sana, hasa kutokana na uwezekano wa kuweza kuporomoka na kuleta maafa, Nawashauri waje nje kwenye mlango mkuu wa jengo, wachimbe Tundu la mraba kushuka chini, katika urefu wa mita 6-7, halafu waanze kwenda mbele usawa wa lango kuu...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Clouds FM wanajadili nani mchezaji bora wa muda wote kati ya Samata na Msuva

    Ktk kipindi hiki muhimu kuelekea mchezo wa kufa na kupona kuelekea kufuzu AFCON. Badala ya kuhamasisha umoja wa timu, wao wanajadili nani bora kati ya Msuva na Samata. Nadhan tuna safari ndefu kufikia Uchambuzii wa Michezo wenye tija kwa taifa
  19. JamiiForums Tanzania Leverage: Namna biashara imara inavyoweza kunufaika kwa kuwekeza pesa ya ziada kwenye mali za muda mrefu

    Kwenye masuala yanayohusu mikopo, Leverage ni neno linalomaanisha ‘getting more from less’, maana yake unaweza ukawa na shilingi elfu kumi mfukoni mwako halafu ukaitumia hiyo elfu kumi yako kupata elfu kumi na mbili kutoka kwenye taasisi ya fedha kwa njia ya mkopo. Kunufaika na ‘Leverage’...
  20. JamiiForums Tanzania Hallo, nisamehe kwa kukupigia muda huu ila napenda nikuambie, nilikupenda, ninakupenda nitaendelea kukupenda leo na mpaka kesho.

    Hallo, nisamehe kwa kukupigia muda huu ila napenda nikuambie, nilikupenda, ninakupenda nitaendelea kukupenda leo na mpaka kesho. Furaha yangu haijawahi kudumu bila wewe, nakupenda hauko nami ila unaishi MOYONI wangu. Tangu uniache basi sijawahi kufurahi kwa namna ile njema, furaha yangu haidumu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…