Rais alihutubia Taifa Jana..
Ilikua ni hotuba ya kuponya na kutibu maumivu ya fikra na kuleta ahueni na matumaini mapya mioyoni mwa waTanzania.
Ni hotuba nzito na ya kimamlaka, ya kiongozi mkuu wa nchi mwenye nguvu sana, na yenye maelekezo muhimu mazito na ya maana sana kwa nchi, mataifa na...
Maana yupo bado anaishi nyumbani kwa wazazi wake. Mwingine yupo tu amekomaa kuishi kwa shemeji yake mjini, wakati chuo kaishamaliza miaka kadhaa ilopita, hana kazi wala biashara, na kakomaa town kubanabana familia za watu.
Na mambo yalivyobadilika hususani utovu wa kimaadili kama vile ulawiti...
Wananchi wazalendo wa msomera mkoani Tanga, ambao hapo kabla walikua wakiishi ndani ya hifadhi ya Taifa ngorongoro, ambapo baadae kwa kushauriana na mamlaka za serikali, na kwa hiyari na utashi wao, Lakini pia kwa kuzingatia maslahi mapana ya Taifa, na urithi wa vizazi vijavyo, wananchi wale...
Salaam,Shalom,
Ushahidi wa Luhaga Mpina uko dhahiri kuwa Kuna uwezekano mkubwa kuwa TUNDU Lissu alisema Kweli juu ya kuhusika Kwa baadhi ya masheikh na maaskofu kuhujumu Taifa Kwa kutengeneza mgao wa sukari nchini Ili kupata faida binafsi.
TABIA hii ya Kiongozi Mkuu kunyamazia HOJA zenye...
Watumishi wengi mpaka leo hii hawamkubali JPM kwa sababu kuu nne
1.Mishahara haikupanda
2.Watu hawakuajiriwa
3.Madaraja hawakupandishwa
4.Mianya ya Upigaji ilizibwa
Sasa mambo mengi mazuri ambayo Magufuli kaifanyia hii Nchi ni wazi sasa ni wakati Muafaka watumishi kusamehe na kuyaenzi...
Ndugu zangu Watanzania,
Kila jambo na majira yake na wakati kwa kusudi maalumu chini ya mbingu. Nafikiri sote tunamfahamu vyema Mheshimiwa David Kafulila,tunafahamu uzalendo wake kwa Taifa letu,uchapa kazi wake, upendo wake kwa Wananchi. Tunafahamu vyema na kwa undani uwezo wake wa kujenga hoja...
Ndugu zangu,
Nimekutana na hii tafakuri juu ya baraka za mzazi kwa watoto. Tafakuri hii imejengeka kupitia mandiko ya vitabu vitakatifu kwa kile alichokifanya Isaka kwa mtoto wake Yakobo.
Kwamba Isaka alipokuwa Mzee sana na kuona siku zake za kuishi zinaelekea ukingoni, akamtaka mwanaye...
Wakuu,kama tunavyofahamu kuna wabunge zaidi ya 50 kutoka Zanzibar na wengine huchaguliwa kutoka baraza la wakilishi kuja kwenye Bunge la Muungano ambalo kimsingi ni Bunge la Tanganyika kupitia Koti la muungano.
Ambapo wabunge hao kutoka Zanzibar huja kujadili masula ya Tanganyika,hivyo ni...
TANZANIA TUITAKAYO NA MAARIFA YA KUJITEGEMEA.
Binadamu tunakabiliwa na changamoto kubwa za kimaisha ambazo zinahitaji suluhisho hasa katika masuala ya kiteknolojia. Ikiwa ni pamoja na jinsi ya kufikia maendeleo endelevu ya Tanzania Tuitakayo, hapa tunaongelea kuchochea uchumi wa masoko wenye...
Kwanza niwapongeze kwa kipindi chote hicho cha uwongozi wenu enyi viongozi wa Simba.Mliitoa Simba Shimoni(kutokuwa maarufu na tishio) hadi kuifanya timu maarufu Afrika kwa hatua mbalimbali ilizopitia chini ya uwongozi wenu.
Mmefanya mengi mazuri ambayo yanatakiwa kubaki kama kumbukumbu nzuri na...
Sina uhakika kama mheshimiwa rais Samia anafahamu taswira anayojijengea mbele ya umma wa Watanzania kwa kuendelea kumpa Paul Makonda nafasi katika serikali yake.
Kwa kipindi kifupi tu cha wiki moja tangu Makonda ateuliwe kuwa RC wa Arusha, mtizamo wa watanzania kuhusu rais Samia umebadilika...
Ukipenda unaweza kuchukua ushauri huu, huu si wakati muafaka wa kufanya uchaguzi kabla katiba haijakaa sawa, moja ya jambo muhimu miiko ya kulinda tunu na uchumi wa Taifa bado inahitaji maboresho vinginevyo kila mmoja atakayeingia ataanzisha yake na kulipa muzigo Taifa kama unavyohangaika hivi...
Akili za kuambiwa changanya na zako.
Maalim Seif, gwiji la siasa za mageuzi aliitisha maandamano Zanzibar, watu wengi sana walikufa, wakajeruhiwa na wengine wakawa wakimbizi shimoni Mombasa.
Ukaja muafaka, Maalim kapewa vyeo lukuki na maslahi matamu matamu.
Lakini kwa nini hakuwakumbuka...
Kuna hoja dhaifu kuwa kwa kuwa IGA katika mkataba wa bandari una matatizo, basi tuje tuwe macho kwenye maandalizi ya HGA ili yale madhaifu ya kwenye IGA yarekebishwe na HGA. Kwanza kwa faida ya baadhi yetu ni kwamba HGA (Host Government Agreement) ni makubaliano ya msingi kati ya mwekezaji wa...
Asalam,
1. Ninaipenda CCM na Ni Mwanachama wa CCM
2. Ninaipenda Nchi yangu na ni mzalendo hasa.
3. Ninaulewa wa itikadi na misingi ya saisa ya CCM
4. Ninapinga Mkataba wa sasa wa DPW, nitauunga ukirekebishwa.
5. Ninawaheshimu viongozi wa Chama, ninawakosoa wanaokosea (rejea mwongozo wa CCM WA...
Nadhani wote ni mashahidi kupitia SMO kule Ukraine wa kitu gani haya madude yanaweza kufanya kwenye uwanja wa vita.
Napendekeza jeshi letu liwekeze kwenye teknolojia hii ili kujiweka tayari,napendekeza kwa kuanzia kiwanda cha drone kijengwe Zanzibar.
Au MK254 unasemaje
Nashangaa wizara ya Ardhi inaposhindwa kujibu propaganda za Lissu kwamba awamu ya sita imekuwa ikinyanganya watu ardhi. Serikali iliunda kamati ya mawaziri ambayo ilipitia migogoro ya ardhi, na watanzania kwa maelfu, waligawiwa ardhi iliyokuwa Ina mgogoro na hifadhi za taifa au taasisi za umma...
Utajiri wa uswizi leo hii umechangiwa sana na namna ambavyo walitumia mwanya wa kutengeneza Sheria nzuri zilizowafanya matajiri wengi wa ulaya kupeleka fedha zao Uswizi kwa kuwa nchi za ulaya zilitengeneza Sheria kali sana za kodi baada ya vita kuu ya pili ya Dunia.
Leo hii Zanzibar wametangaza...