mtume

Mtume (pronounced em-tu-may) was an American funk and soul group that rose to prominence during the early 1980s and had several R&B hits during its career. Its founder, former percussionist James Mtume, previously played and toured with Miles Davis in the early 1970s. Other members of the group included Reggie Lucas, Philip Field, and vocalist Tawatha Agee. Mtume also gained recognition after having its hit single "Juicy Fruit" extensively sampled by many hip-hop artists, most notably by the Notorious B.I.G. in the 1994 hit song "Juicy".

View More On Wikipedia.org
  1. Castle_Lite

    Allah alimfundisha Mtume kutengeneza Kimea

    Ndugu zangu Waislam Quran 16 : 67 "Na kutokana na matunda ya mitende na mizabibu mnatengeneza ulevi na riziki nzuri. Hakika katika hayo ipo Ishara kwa wanao tumia akili." Tumeruhusia kutengeneza kunywa na kuuza vilevi. Tumswalie mtume. Jagina gallow bird adriz Ertugrul Bey Wazolee Cc...
  2. Castle_Lite

    Quran inadai Mussa alitabiri kuwa Mtume ataandikwa kwenye Injili

    Anzia kusoma Quran 7 : 155 - 157 Ila nakuwekea mstari mmoja ambao ndio una hoja yangu. Quran inasema kuwa Mussa alimtabiria Mohamed kuwa ataandikwa katika Torati na Injili. Je Mussa alijua kutakuwa na Injili?. 100% Mohamed kabun hiki kitabu kwa kutumia janja janja tu. Kaunganisha unganisha...
  3. Castle_Lite

    Mtume Mohamed na Upendeleo wa Allah

    Kama Duniani tu Allah alimpendelea Mtume wetu na kumruhusu kuoa wanawake 10+ . Nina amini huko Peponi atakuwa anawazagamua sana wale Mahurumain wa Allah. Quran 33:50 "Ewe Nabii! Tumekuhalalishia wake zako ulio wapa mahari yao, na ulio wamiliki kwa mkono wako wa kulia katika alio kupa Mwenyezi...
  4. M

    Uongozi wa Mtume Muhammad S.A.W Wakati wa nchi ilipokuwa na Migogoro. Jinsi alivyotatua

    Mtume Muhammad (S.A.W) alikuwa kiongozi wa kipekee aliyeongoza jamii yenye migogoro ya kikabila, kiimani, kijamii na kisiasa. Uongozi wake uliijenga amani, umoja, utawala wa sheria, na usawa katika mazingira ambayo awali yalikuwa magumu sana. Njia alizozitumia 1. Alisimamia Mkataba wa Amani –...
  5. Muuza madafu wa Ikulu

    Auawa kwa kumkufuru mtume Muhammad S.A.W

    Mwanamke mmoja ameuawa kwa kuchomwa moto na kundi la watu katika jimbo la Niger Kaskazini mwa Nigeria baada ya kutuhumiwa kumkufuru Mtume Muhammad (S.A.W). Polisi walilaani mauaji ya mwanamke huyo aliyetambuliwa katika vyombo vya habari vya ndani kama mchuuzi wa chakula anayeitwa Amaye ...
  6. Chizi Maarifa

    Hapo Kabla Waislamu na Mtume walikuwa wanaswali wakielekea Uyahudini (Yerusalem) Mpaka aliposhusha Aya

    Awali, Waislamu walikuwa wakiswali wakielekea Bayt al-Maqdis (Jerusalem). Baadaye, Qur’ān ikateremsha amri ya kubadilisha Qibla kuelekea Kaaba: Baadaye allah aliona wanaswali wakiangalia Mbinguni na yeye hayupo huko, akaona wana angalia Jerusalem kwa Mungu wa Kiyahudi. Muhammad akapata wahyi...
  7. Chizi Maarifa

    Ni kwanini Jinbril halikumwamini Mtume aliposema hajui Kusoma na kuendelea Kumkaba Nusura ya Kumuua?

    Ni kwanini Jinbril halikumwamini Mtume aliposema hajui Kusoma na kuendelea Kumkaba Nusura ya Kumwua? Natafakari sana jambo hili sipati majibu. Hili Jin Bril kwa nini halikuwa linamwamini mtume aliposema hajui kusoma wala kuandika? Why? Angekuwa ni malaika Gabriel angejua tu kuwa huyu jamaa...
  8. Think2

    Mwamposa ni mfanyabiashara kupitia kanisa lake na wala sio mtume kama wengine wanavyofahamu

    Naanza na hii ●kaingia mkataba na kampuninya ice drop kwamba awe anatumia maji yanayozalishwa kwenye kampuni hio kama majinya upako baada ya kuyaombea kwaio ice drop na A rise and sunshine ni trade partners Uthibitisho unajionesha wazi maana kuna logo ya ice drop na hio ya mwamposa A rise and...
  9. Y

    Barua ya wazi kwa Mtume Mohammad (S A W)

    As-salatu na salam, ewe Rasul wa Rahma, Nuru yako bado inang’aa, hata karne zikipita, Tumekuletea kilio cha Umma, kutoka Tanganyika hadi Gaza, Kwamba hatuwezi tena kuishi bila mwongozo wako. Baada yako, Bakr al-Siddiq aliweka msingi, ʿUmar akaleta adili, ʿUthmān mnyenyekevu, ʿAlī jasiri...
  10. Bi zandile

    Mtume Paulo hakuingia katika mahusiano kwa maisha yake yote.

    Kuna mambo mawili hapa ya kuthibitisha kuwa mtume hakuwahi kuwa katika mahusiano: #1. Paulo alisema wazi kabisa kuwa alikuwa mseja (1Kor. 7:7-8). Aliandika mafundisho mengi kuhusu ndoa mara nyingi sana - lakini kamwe hakuwahi kuandika kuhusu yeye mwenyewe kuwa katika ndoa. Katika...
  11. Setfree

    Tazama jinsi Mtume Paulo anavyoendelea kuitikisa dunia!

    1. Paulo, aliyefahamika awali kama Sauli, alikuwa Farisayo aliyejitoa kuwaudhi Wakristo wa kwanza. Alishiriki moja kwa moja katika kuuawa kwa Stefano na alikuwa na chuki kubwa dhidi ya jina la Yesu. 2. Alikutana "live" na Yesu na kubadilishwa kabisa. Akiwa njiani kwenda Dameski ili kuwakamata...
  12. U

    Kama ni kweli Wafu hawajui chochote kwanini Mtume Yohana alionyeshwa wazi wazi ROHO za. Wafu waliuawa zikimlilia Mungu awalipizie kisasi Watesi wao?

    Biblia inajichanganya? Uelewa mdogo? Rejea ufunuo wa Yohana ambao ni kitabu cha mwisho kibiblia
  13. GENTAMYCINE

    Baada ya kuachana rasmi na Yanga SC sasa Mchezaji Clatous Chota Chama huenda Akili zake nzuri zikawa zimemrejea kwa kusema huu Ukweli

    Kiungo nyota wa kimataifa kutoka Zambia, Clatous Chama, amesema kuwa klabu ya Simba SC inapendwa na kuheshimiwa zaidi nchini kwao Zambia ikilinganishwa na Yanga SC. : Chama ambaye ameachana na Yanga, amesema kuwa staili ya mpira ya klabu ya Simba, historia yake barani Afrika, pamoja na uwepo...
  14. Webabu

    Waarabu wa leo wala hawafanani na babu yake mtume Muhammad rehma na amani ziwe juu yake

    Baitul haram iliyopo Makka ndiyo nyumba ya mwanzo duniani kujengwa kwa ajili ya kumuabudu Mungu (Allah). Nyumba hii iiinuliwa kuta zake kwa mara nyengine na nabii Ibrahim na mwanawe Ismaili.Katika historia ndefu ya nyumba hii ni kwamba imewahi kupitia mikononi mwa makafiri na washirikina...
  15. U

    Swahaba mtukufu aliyepata muujiza wa ajabu kutoka kwa Mtume Muhammad(saw) baada ya kupigwa mshale hadi mboni ya jicho ikadondoka kwenye shavu lake

    Ni Swahaba nani ambaye Mtume(saw) alirudisha jicho lake baada ya kujeruhiwa katika vita vya Uhud? Huyu ni Swahaba mtukufu aliyepata muujiza wa ajabu kutoka kwa Mtume Muhammad(saw) baada ya jicho lake kupigwa mshale katika vita vya Uhud, hadi mboni ya jicho ikadondoka kwenye shavu lake...
  16. chiembe

    GE2025 Mtume maarufu Nigeria mwenye wafuasi milioni 10 asema Rais Samia atashinda uchaguzi 2025, wanaompinga ndani ya chama wataaibika, uchumi utang'aa

    Mkikaa kimya hata mawe yataongea, sasa watu kutoka mbali kabisa wameiona nyota angani mithili ya mamajusi. Nabii huyu kasema kwamba Samia Suluhu Hassan atashinda kwa kishindo uchaguzi mkuu 2025. Kikubwa zaidi, amesema kwamba katika awamu ya urais ya 2025-2030, uchumi utakua kwa kasi ya...
  17. DR HAYA LAND

    Pichani ni Mke wa Mtume Bulldozer Mwamposa, mama wa madhabahu ya Inuka Uangaze

    Pichani ni Mke wa Mtume Bulldozer Mwamposa, mama wa madhabahu ya Inuka Uangaze 👀 Nadhani wale mliokuwa mnamuulizia mama yenu wa kiroho mmemuona.
  18. U

    "Ukiwa na uwezo wa kumswalia mtume mara mia moja kwa siku hakuna siku utalala njaa mpaka unakwenda kaburini

    Nukuu ya Dr Sulle
  19. Yoda

    Mtume alijuaje Yesu Kristo hakuuwawa msalabani na Warumi?

    Wayahudi waliomshitaki Yesu kwa Herode na Pontio Pilato, wanafunzi wake walioukuwa wafuasi wake wanaotembea naye kila siku na Warumi waliokuwa wakoloni watawala wa Judea ambao ndio walimuhukumu Yesu wote wanashuhudia kwamba Yesu Kristo alitundikwa na kuuwawa msalabani, wanachotofautiana tu ni...
  20. D

    Mwakilishi wa Mufti hatimae afika kwa Mtume, apongeza watu kukatwa vichwa na kufungwa

    Katika kilele cha maadhimisho ya uzinduzi wa kanisa la mtume mwamposa! Mbele ya Rais mwakilishi mufti amesema anaunga mkono watu kupotezwa, kutekwa na kukatwa vichwa ili amani iendelee kuwepo! Apongeza kazi ya MTUME kuwaalika kushiriki katika hafla hiyo ili kutoa neno hilo aliloagizwa na mufti...
Back
Top Bottom