Mtumba is an administrative ward in the Dodoma Urban district of the Dodoma Region of Tanzania. According to the 2002 and 2012 census., the ward has a total population of 7,277.The ward is along the main road to Dar es salaam. Residence in this ward depends much on Agricultural activities as well as Animal keeping.
The Wards of District of Dodoma urban -Dodoma Region-Tanzania
Chamwino | Chihanga | Dodoma Makulu | Hazina | Hombolo | Ipala| Kikombo| Kukuyu North | Kikuyu South | Kilimani | Kiwanja cha Ndege (Dodoma)| Kizota | Madukani | Majengo (Dodoma) | Makole | Makutupora | Mbabala | Mbalawala | Miyuji | Mkonze | Mpunguzi | Msalato | Mtumba | Nala | Ng’ong’ona | Nzuguni | Tanbukareli | Uhuru | Viwandani | Zuzu
Inaonekana hii simu ilitumika huko marekani kwenye kampuni ya AT&T.
Nikiiwasha bila line inawaka vizuri. Nikiweka line inanitaka ku unlock network code.
Kwankuwa nipo mkoani, na huku mafundi hamna kuna ujanja bila mafundi wa software?
mkuu Chief-Mkwawa
Jina la biashara ni thriftwaika au kwa namna rahisi Waika Mitumba
Ni wauzaji wa nguo za mtumba za kike na watoto kwa bei ya jumla na Rejareja
Tunaouzoefu wa miaka zaidi ya minne (4) kwenye biashara hii..Na kwa uzoefu wetu tunatambua kuwa hitaji kubwa zaidi kutoka kwa watu kwenye bidhaa hizi za...
Msigwaaa Kiko wapi 🤣🤣
Msigwa Hilo Bichwa lako tunajua Lina Elimu ya hapa na pale tu kama mashahidi wako wa kesi ya LISSU .
Mnatanguliza Ufisadi mbele na Matumizi mabaya ya Fedha za Umma .
.
KARIBUNI SANA VUNJABEIMTUMBAGRADE1 WAUZAJI WA BALO ZA MTUMBA GRADE 1 KUTOKA CHINA UK CANADA'S DUBAI
WHATAPP GROUP LETU UJIFUNZE ZAIDI VUNJABEI 🔥BALO ZA MTUMBAGRADE 1
Mawasiliano 0657710078
TUNAPATIKANA ILALA DAR ES SALAAM MIKOANI TUNAFANYA DELIVERY
Habari wakuu,
Natumai wote ni wazima. Nimepanga kuanzisha biashara ya kuuza nguo (hasa T-shirts za kiume na kike - Grade 1 A). Lengo langu ni kuanzisha duka lenye muonekano wa kisasa na bidhaa bora kwa vijana wa mjini.
Nahitaji ushauri na mawazo mapya kuhusu mambo yafuatayo:
1. Njia bora ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akitembelea Maabara Kuu ya Kisasa ya Kilimo iliyopo Mtumba Jijini Dodoma tarehe 08 Agosti, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akisikiliza maelezo kuhusu Maabara Kuu ya Kisasa ya Kilimo...
Kwa wenyeji wa jiji la Mwanza ,ni wapi wanauza taulo zenye quality ya juu kabisa ,zisizo toa manyuzi nyuzi wakati wa kujifuta mwili?
Iwe mtumba au special ili mradi iwe very high quality/fabric.msaada wadau
WHATAPP GROUP LA MITUMBA Vunjabei balo za mtumba grade1 group 3
Karibuni sana jaman mjipatie balo za mtumba grade1 kutoka china uk Canada Dubai Korea
Tuna balo za nguo aina mbalimbali na Kila balo Lina nguo yake na bei yake mfano balo la shati ni shati tu t-shirt ni t-shirt tu Jean's...
Karibuni sana mtumba safi wauzaji balo za mtumba grade1 kutoka Pakistan china Thailand Canada Dubai UTURUKI na Korea
Tuna balo za nguo aina mbalimbali na bei hutofautiana kulingana na balo linatoka nchi Gani na aina ya nguo
Whatapp group VUNJABEI 🔥BALO ZA MTUMBAGRADE 1
Mawasiliano 0657710078...
.
Kutokana na changamoto za ajira nashauri vijana wale ambao hamna kazi mtumie mitandao ya kijamii vizuri tafuta mfanyabiashara anayekuamini mwenye uwezo wa kukupa mzigo wa mali kauli ukihitaji ushauri wa biashara ni FOLLOW Justine mtasiwa au Justine mitumba tunauza mitumba jumla na...
Habari
karibu vunjabeimtumbagrade1
Hapa tuna deal na uuzaji wa mabalo ya mtumba ya aina zote
Whatapp group Vunjabei balo za mtumba grade1 group 3
Ballo zetu ni Kutoka UK,China, Dubai,Canada 🇨🇦
AINA ZA MABALO👇
Mixer handbag 👜
Ladies skinny jeans
Office paints
Shifon blouse
Shifon blouse...
KARIBUNI SANA balo safi za mtumba wauzaji balo za mtumba grade 1 kutoka China uk Canada uingeleza Dubai na korea
Tuna balo za nguo aina zote Viatu mabegi shuka pazia
Mawasiliano 0657710078
Tunapatikana ilala dar es salaam mikoani tunafanya delivery
Mbunge wa Dodoma Mjini (CCM), Anthony Mavunde ametangaza katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 atagombea tena ubunge katika Jimbo jipya la Mtumba, akianisha sababu tatu za kuiacha Dodoma Mjini.
Uamuzi huo ameutangaza huku akilia kuwa hakuna namna na hawezi kujigawa katika maeneo mawili akabaki...
Imekuwa miezi kadhaa sasa askari toka mtumba wanapita na difenda zao Mahoma, Ipala na Hombolo kubeba vijana wasio na hatia na kuwavisha kosa la uzururaji. Wanapita saa 3 usiku wakakamata mpaka madogo wanaorusha movie tena wakiwa ndani ya vibanda vyao.
Ndugu zao kufika kituoni wakatozwa 50000...
Kata ya Mtumba yanufaika na ujenzi wa barabara pamoja na kalavati kwa gharama ya shilingi 73,000,000 kwa lengo la kurahisisha upatikanaji wa usafiri na usafirishaji katika eneo hilo.
Hayo yalielezwa na Diwani wa Kata ya Mtumba, Edward Maboje alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari...
Kata ya Mtumba, Halmashauri ya Jiji la Dodoma yapatiwa jumla ya shilingi 83,000,000 kwaajili ya mikopo ya asilimia 10 kwa makundi maalum ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu kwa lengo la kuwainua kiuchumi na kuboresha maisha yao.
Hayo yalielezwa na Afisa Maendeleo ya Jamii Kata ya Mtumba...
Wiki zilizopita nili nunua viatu vya kichina ikatokea vikapotea mazingira ambayo ni uzembe wangu.Kwa vile nilipo mji ni mdogo nikashangaa kuulizia na alama niliyo gundua kuwa niliweka mimi nikaambiwa ni mtumba vinadumu.
Hivi kwa nini watu wanaamini kilicho tumika kinadumu wakati kinaweza kuwa...
Habari zenu ndigu.zangu
Kuna yoyote anaefahamu iwapo kuna chimbo la hawa wachina ambao wanauza mabalo ya mitumba kwa jumla ukiachana na wamatumbi wenzetu ilala?
Karibuni sana vunjabeimtumbagrade1 wauzaji wa balo za mtumba grade 1 tuna balo za nguo aina zote Leo nawapa Bei ya nguo baadhi tu
✅Jeans kiume 450000 kike 320000 PC 80 mpk 90
✅nguo ya mtoto 400000 PC 350
✅ gauni 400000 PC 130
✅blouse 380000 pc 280
✅shati 900000 PC 200
✅viatu 250 PC 40
✅ school...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.