mtuhumiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Shahidi amtambua Jaji kama mtuhumiwa wa mauaji

    Katika hali isiyotarajiwa, shahidi wa tatu kwenye kesi inayomkabili Zephania Ndalawa anayeshtakiwa kwa kosa la kuua kwa kukusudia, amemtambua Jaji Graffin Mwakapeje kama mtuhumiwa wa mauaji ya Thomas Masumbuko. Shahidi huyo, Salome Cheyo (9) akiongozwa na Mwendesha Mashtaka wa Serikali, Musa...
  2. JamiiForums Tanzania RPC Ruvuma asema Mtuhumiwa aliyejeruhiwa kwa risasi ya mguu wakati kitoroka amefariki Dunia

    Kamanda wa Polisi Mkoa, SACP Marco Chilya amesema Francis Ngonyani Severianus ambaye ni mtuhumiwa uhalifu wa uvunjaji wa maduka maeneo ya Ruhuwiko Stendi amefariki Dunia baada ya kupoteza damu nyingi kutokana na jeraha lililotokana na risasi aliyopigwa na Askari Polisi wakati anatoroka akiwa...
  3. JamiiForums Tanzania Katiba mpya iondoe hili suala la CAG kuisomea ripoti Serikali ikiwa wao ndiyo wana makosa mengi

    Hakuna maana yoyote na wala haileti mantiki CAG kuisomea report serikali wakati ndo mtuhumiwa mkuu wa madudu hayo. Katika katiba ijayo kama itaridhiwa tuukatae huu upuuzi. Haina maana sana serikali hiyo hiyo inayofanya madudu ndiyo ati isomewe report. Nashauri marekebisho yafanyike na CAG awe...
  4. JamiiForums Tanzania Urusi: Video ya kuhojiwa ya mtuhumiwa wa ugaidi Moscow

    Wanaukumbi. BREAKING: INTERROGATION VIDEO OF MOSCOW TERROR SUSPECT HE CLAIMS HE WAS RECRUITED VIA TELEGRAM: 'Police: “What did you do in Crocus?” Suspect: “Shot.” Police: “Whom?” Suspect: “People.” Police: “For what?” Suspect: “For money. Half a million Rubles.” Police: “Where did you...
  5. D

    JamiiForums Tanzania JE SIMBA SC WANAJUA KWAMBA MCHEZAJI BABACAR SARR NI MTUHUMIWA WA UBAKAJI ALIYEKIMBIA ULAYA BAADA YA KUSHTAKIWA..??

    Mhhh
  6. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Simiyu: Askari Polisi Bariadi watuhumiwa kumpiga mtuhumiwa na kusababisha kifo chake

    Kwa mara nyingine tena, Jeshi la Polisi Mkoani Simiyu linatuhumiwa kuhusika katika kifo cha Mwananchi aliyekamatwa na Askari Polisi kisha kudaiwa kumpiga na kumsababishia maumivu makali na hatumaye kusababisha kifo chake. Matukio ya Jeshi la Polisi kupiga au kujeruhi watuhumiwa na...
  7. JamiiForums Tanzania Nevada Man Leap and Attack Clark County Judge After Being Denied Probation

    A Clark County, Nevada judge and a marshal were injured on Wednesday afternoon after a defendant who was denied bond threw himself over the bench and attacked the judge, video shows. It is reported that the public information officer for the Clark County District Court said the incident...
  8. JamiiForums Tanzania Arusha: Jeshi la Polisi lamtia mbaroni mtuhumiwa anayedaiwa kumuua Beatrice Minja

    Jeshi la Polisi nchini limesema kuwa limefanikiwa kumkamata mtuhumiwa wa mauaji ya Beatrice James Minja ambayo aliyafanya huko Tarekea Wilaya ya Rombo Mkoa wa Kilimanjro Tarehe 12.11.2023 na mtuhumiwa aliyefanya aliyefanya tukio hilo kukimbia. Akitoa taarifa hiyo leo kwa vyombo vya Habari...
  9. JamiiForums Tanzania Mbeya: Mtuhumiwa mmoja ashikiliwa na Dawa za Kulevya, Polisi yasema imeimarisha ulinzi kuelekea Mwaka mpya 2024

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Kelvin Amanyisye [19] Mkazi wa Lubele- boda ya Kasumulu kwa tuhuma za kupatikana na dawa za kulevya aina ya Bhangi kilogramu 13. Akizungumza na waandishi wa habari Desemba 30, 2023 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishina Msaidizi wa Polisi...
  10. JamiiForums Tanzania Polisi kumng'ang'ania mtuhumiwa na hali ya kuwa walalamikaji hawana mpango na kesi tatizo ni nini?

    Wakuu kuna jamaa yangu alipatwa na tatizo wakawa wamempeleka polisi, kule polisi akapata dhamana kwa sababu kosa lake lilikuwa lina dhamana, akaenda kuzungumza na wale waliokuwa wanamshitaki na wakawa wameelewana kuwa mambo yasiendelee mbele zaidi yaani kufika mahakamani. Sasa changamoto...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Sikio la kufa halisikii dawa: Mtuhumiwa na watu wake wadaiwa kusambaza video ya Pauline akimuhoji kijana husika

    Kwa mshangao mkubwa, nimeoni picha ya kijana husika kwenye clip akihojiwa na mwanamke anaetajwa kuwa ni Pauline (haonekani katika video) na kwa maelezo ni kuwa clip hiyo yenye kuonyesha sura ya huyo kijana akihojiwa na Pauline imesambazwa na Pauline na watu wake. Sasa huku sio ndio kujimaliza...
  12. JamiiForums Tanzania Fundi Kushona auawa baada ya kumsaidia mtuhumiwa chakula

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia mwanaume mmoja mkazi wa kijiji cha Kwalakamu wilayani Rombo kwa madai ya kuhusika na mauaji ya fundi nguo, mkazi wa Kijiji cha Ngaseni, Anord Tarimo (30). Agosti 29, mwaka huu fundi huyo, anadaiwa kucharangwa mapanga sehemu mbalimbali za mwili...
  13. JamiiForums Tanzania Tabora: Aliyeomba Rushwa ili amsaidie Mtuhumiwa wa Mauaji aachiwa baada ya kulipa Faini

    Mahakama ya Wilaya ya Tabora imechukua uamuzi huyo dhidi ya Denis Kantanga, aliyekuwa Askari Polisi nafasi ya Konstebo baada ya kukiri makosa mawili ya Kuomba na Kupokea Rushwa ya Tsh. 18,000,000 kinyume na Sheria. Mahakama ilimhukumu kutumia kifungo cha miaka miwili Jela au kulipa faini ya...
  14. JamiiForums Tanzania Sababu za kukamatwa kwa Wakili Peter Madeleka

    Mnamo mwaka 2020 Wakili Peter Madeleka alikamatwa na kufunguliwa kesi ya Uhujumu Uchumi no. 40 (Economic case no 40/2020) katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Arusha. Katika kesi hiyo alishtakiwa kwa makosa mbalimbali ikiwemo kughushi (forgery) kinyume na Sheria ya Mwenendo wa Adhabu (Penal Code)...
  15. O

    JamiiForums Tanzania Wakili Kibatala, Shahidi walivyochuana taratibu za kumtambua mtuhumiwa

    Dar es Salaam. Kesi ya mauaji inayomkabili mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara na tajiri wa madini mkoani Arusha, Erasto Msuya maarufu kama Bilionea Msuya imeendelea kuunguruma Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, huku wakili wa utetezi na shahidi wakikabana koo kuhusu gwaride la utambuzi...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufaa yamuachia huru mtuhumiwa aliyedaiwa kukutwa na heroine gramu 200.34, Bangi gramu 2.88 na vigae 3

    6 April 2023 Mahakama ya Rufaa Tanzania Dar es Salaam, Tanzania Jopo la majaji wa Mahakama ya Rufaa Tanzania chini ya jaji J.A Koroso baada ya kusikiliza rufani ya Mussa R. Magae, imetoa hukumu ya kumuachia huru Mussa Ramadhani Magae baada ya Mahakama ya Rufaa Tanzania kushindwa kushawishika...
  17. JamiiForums Tanzania Unafiki wa CHADEMA: Wanampigania mtuhumiwa wa mauaji, wanapuuza haki ya aliyeuawa

    September 2020, Emmanuel Polycup Mlelwa ambaye alikuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu Iringa, alitekwa, aliteswa, aliuwawa, na mwili wake ulienda kutupwa katika eneo la bwawa la Kibena huko Njombe. Katika uchunguzi, GEORGE SANGA ambaye hivi sasa members wa CHADEMA wanasema aachiwe, alikiri kuhusika...
  18. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Chato: Kituo cha Polisi Muganza chachomwa moto na wananchi kupinga mauaji ya mtuhumiwa anayedaiwa kusababibishiwa kifo na Polisi

    Bodaboda Amepigwa Na Polisi Na Kumsababishia Kifo Ndipo Wananchi Wameandamana Na Kuvunja Kituo Cha Polisi inadaiwa Watu Wawili Wamesha Poteza Maisha Kutokana Na Ufyatuaji Wa Risasi Na Mabomu Ya Machozi. Chanzo cha tukio hili ni mwendesha boda boda aliuziwa betri ya gari kumbe ilikua ya wizi...
  19. O

    JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa mauaji ya mke amtumia sms mama mkwe

    Moshi. Ni matukio nadra kutokea katika jamii, baada ya mtuhumiwa anayesakwa kwa udi na uvumba na polisi kwa tuhuma za mauaji ya mkewe, kumwandikia mama mkwe ujumbe mfupi (SMS), kuelezea ushiriki wake katika tukio hilo. Mtuhumiwa anadaiwa kutuma ujumbe huo wakati polisi wakiwa tayari wamechukua...
  20. JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa wa dawa za kulevya aomba majadiliano na DPP kumaliza kesi

    Raia wa Marekani, Brandon Summerlin (31) ameieleza Mahakama kuwa anakusudia kumwandikia barua Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) ya kukiri na kuomba kupunguziwa adhabu ili aweze kulimaliza shauri lake. Summerlin ambaye ni mwalimu wa mafunzo kwa njia ya mtandao, anakabiliwa na shtaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…