mtu

  1. Huwa ni rahisi mtu kuwa na Tabia mbaya kuliko kuwa na Tabia nzuri.

  2. Usiamini sana watu, mtu ambaye hakuonei wivu ukimzidi ni Baba/Mama yako tu

    Sijui kama ni Bongo au dunia nzima. Adui wa kudumu wa kukufanya uwe na taadhari ni wivu kwa wanaokuzunguka. Usiwe mwepesi kufunguka kwa kula mtu. Hata aliyefanukiwa na tajiri akiona unapiga kahatua kidogo tu moyo unalipuka qnataguta namna ya kukupiga pini. Ujumbe ni kwamba Ukiacha Mjngu...
  3. Lijue tatizo jipya la kisaikolojia ambapo mtu aliyepata "mafanikio" kwenye maisha yake huamini kwamba watu wake wa karibu wanamchukia

    Wewe unaesoma Uzi huu bila shaka : 1. Umewahi KUKUTANA na mtu mwenye tatizo kama hili. Au 2. Wewe mwenyewe una tatizo hilo ila hujui kama upo nalo. Tatizo hili mara nyingi humkuta mtu ambae amepiga hatua kidogo kwenye maisha au amepata breakthrough kiuchumi jambo ambalo yeye analitafsiri kama...
  4. Kutokana na ugumu wa maisha, kila mtu anatafuta kibonde wake wa kumuangushia zigo la lawama

    Vijana wanawalalamikia wazazi! Wazazi wanawalalamikia watoto! Wananchi dhidi ya serikali na viongozi! Mbaya zaidi wadangaji kulalamika hakuna wanaume wa kuoa siku hizi! Waafrika kulalamikia wazungu waliowaletea dini! Hayo yooote tisa, mbaya ni wale wanaoingia kwenye mahusiano wakidhani kuna...
  5. N

    Mara ya kwanza kutongozwa na Mke wa mtu na baada ya kushiriki tendo ananiambia amenasa mimba

    Ilikuwa mwaka huu huu unaoishia na kama sijakosea ilikuwa mwezi wa sita. Kwenye page yangu ya facebook nikianza kuona pale kwenye messangers notifications za salamu za mwanamke fulani na wala nilikuwa sizitilii maanani. Kila nikiingia facebook tu, lazima nikute yeye kanitafuta kwa vijisalamu...
  6. M

    Mke wa mtu kanidanganya ananitesa

    Nilianza mahusiano na dada fulani mwenye watoto wawili awali alinambia wameshatengana na mumewe na wanaishi nyumba moja kila mtu na chumba chake na kweli tulikua tukichat mpaka usiku wa manane. Nimempenda Sana na yeye ameonyesha kunipenda lakini taratibu kadri tunavyoenda muda wa mawasiliano...
  7. Umewahi kupata maumivu kutoka kwa mtu uliyewekeza muda, upendo na imani yako kwake?

    Kuna watu wengi ambao wanapitia maumivu ya namna hiyo, hii ni kwasababu unajikuta umewekeza sana kwa mtu huyo, endapo ikatokea akakuumiza basi maumivu yanapita ndani kabisa, wengi hawawezi vumilia hili na kujikuta wanafanya jambo la ajabu. Je, umewahi kupitia maumivu haya? Toka kwa nani? Sababu...
  8. Nasikia kumbe ukiwa Mtu wa CIA, MOSSAD na FSB unaongezewa 'Senses' zingine Mbili ili uwe Hatari Kiujasusi / Kinjagu je, ni zipi hizo?

    Na wanasema zenyewe huwa zinakuwa nje ya zile Senses Tano ( 5 ) za Kawaida ambazo zinajulikana na zimezoeleka. Ninazisubiria kutoka Kwenu Wajuaji!!!!
  9. Kwani Makonda alitenda dhambi ngapi? Mbona anataka kuombewa na kila mtu?

    Kiukweli sijawahi kuona mtu anayetaka kuombewa na kila dhehebu, huyu ni wa kwanza , yaani ukivaa msalaba au Baraghashia , au ukishika Tasbih au Rozali basi atakuvamia umuombee! Kwanini anataka aombewe na kila mtu , alitenda Makosa gani? Je ni mzima au amepata matatizo ya Ubongo , hivi hawa...
  10. Zitto Kabwe umefikia hatua ya kujidhalilisha? Hakika umeanza kuchanganyikiwa

    HiVi Zitto kabwe huu aliofanya si zaidi ya uzalilishaji na ukandamizaji wa haki za binadamu! Hivi si dalili za Zitto kama kiongozi kuchanganyikiwa? --- Kiongozi wa kikundi cha Mapigo Tisa cha Kijiji cha Kalinzi Wilaya ya Kigoma, Khalid Isaa (kushoto) akimwongoza kiongozi wa chama cha...
  11. Bado kuna ubishi kuwa hiki ni chuma? Je, chuma hiki ni chuma kingine ila ni kama kile au chuma hiki ni kile kile kimerejea kivingine?

    Wanabodi, Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na makala za Kwa Maslahi ya Taifa, leo ni swali tuu kuhusu hiki Chuma kipya. Baada ya mtu kupelekewa moto na akaachia ngazi mwenyewe, bado kuna ubishi kuwa hili ingizo jipya ni chuma cha ukweli kama chuma cha Mjerumani?. Je chuma hiki ni chuma...
  12. Hapa Afrika, suala la kujiuzulu na kuachia madaraka ni msamiati ambao hukumbatiwa na wachache

    Hapa Afrika, suala la kujiuzulu na kuachia madaraka ni msamiati ambao hukumbatiwa na wachache sana kwasababu kwa muktadha wa Afrika; cheo ni ulaji, cheo ni mamlaka, cheo ni biashara, cheo ni fimbo Kwa washindani, cheo ni "connection" ya mambo mbalimbali. Nashangaa kuona mnajiuzulu pamoja na...
  13. Usimfanyie wema kupitiliza mke wa mtu

    Kama ikitokea mke wa mtu anahitaji msaada, basi iwe kwa kiasi usijifanye unajali kupitiliza sio vizuri. Sababu ni kuwa, binadamu tuna athiriwa sana na wema, ukimfanyia mtu wema ambao hajafanyiwa au hafanyiwi inaleta tashwishi moyoni. Mfano: Mfanyakazi mwenzako (mke wa mtu) anaumwa, itoshe...
  14. Hivi kwanini mtu akikataliwa ombi la kuwa wapenzi huwa anakata mawasiliano na yule muhusika?

    Hivi kwanini mtu akikataliwa ombi la kuwa wapenzi huwa anakata mawasiliano na yule muhusika?
  15. Ili mtu mweusi aweze kuendelea anabidi kujifunza kutoka kwa mzungu na watu wa dunia ya kwanza

    Tukubali tu wenzetu wazungu wamepiga hatua kubwa Sana na wako mbele yetu sana. Tujifunze kupitia wao na sio kuwachukia maana kuwachukia haisadii chochote zaidi ya kuendelea kukaa pale pale. Ukitaka kuijenga Akili yako ili iwe bora, soma vitabu vya wazungu huko ndo utapata maarifa sahihi na...
  16. Z

    Rais Samia unaamini mtu kama Mchechu anastahili kuwa msajili wa Hazina?

    Huyu Mtu hana sababu yoyote ya nafasi muhimu kitaifa kama hii. Siyo kwamba tunamchukia, lakini Hata wewe mh. Rais unatambua kwamba njia aliyopitia kuwa boss wa NHC ni hiyo hiyo aliyotumia wewe kumurudisha na sasa kuwa msajili wa hazina. Labda ilikuwa kukomoa maamuzi ya Magufuli. Siamini wewe...
  17. Kuna wanawake wana nguvu sana; Marilyn Monroe aliwezaje kuwachanganya JFK & RFK mtu na kaka yake kwa wakati mmoja

    Huyu dada Marilyn Monroe alikuwa na nguvu isiyo ya kawaida. John F. Kennedy akiwa Rais wa Marekani huku mdogo wake Robert F. Kennedy akiwa mwanasheria mkuu wa serikali walijikuta wote wakiangukia katika penzi la dada huyo aidha kwa kujua au bila kujua. Marilyn Monroe alikuwa na kipi hasa cha...
  18. Ukianza kula Nyama ya mtu huwezi kuacha

    Kumekucha tena, siku hazigandi, waliyoyatenda yanaenedelea na yatakula hadi shoka. Kama shoka ikichomeka usidhani mpini utabaki salama, Time will tell. CCM msipotubu dhambi hii itaendelea kuwatafuna na kamwe hamtapata amani. Yajayo wala hayafurahishi.
  19. Maana ya kiroho mtu akichota mchanga katika eneo lako la kazi, biashara au mahali ulipokanyaga

    Nitaeleza kwa uelewa wangu, Mtu akikuchota namaanisha akichota mchanga wa unyayo wako (ulipokanyaga) au eneo unalofanyia biashara, tegemea mtaji kushuka wateja kuisha kabisa au mambo yako kuyumba kila utakacho fanya utaangukia pua. UFANYE NINI UNAPOONA MTU KAKUCHOTA? Unachota mchanga wa hapo...
  20. Hukuzaliwa kuja kuokolewa na mtu

    Hakuna mtu yeyote anaye zaliwa(ku-exsist on this Earth) hapa Duniani ili aje kuokolewa ama kusaidiwa na mtu yeyote, Upo hapa Duniani ama tuite upo Katika huu ulimwengu wa tatu ili ukuze Ufahamu wako/consciousness, haujazaliwa Kuja kuokolewa na Bwana Yesu ama Kuja kufuata mafunzo ya Muhammadi ...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…