mtu

  1. N

    Ufahamu mti unaofanana na mtu

    Unaitwa madrak ni mmea wenye maajabu sana kwanza unafanana na sura ya mtu halafu ukiwa unaukata unalia kama mtoto unatoa sauti kabisa huu mti una maajabu mengi na una sumu inayoweza kukua wanautimia sana kwenye mambo ya kichawi chawi.
  2. Hukuzaliwa kuja kuokolewa na mtu

    👉HUKUZALIWA 👉KUJA 👉KUOKOLEWA 👉NA MTU Hakuna mtu yeyote anaye zaliwa(ku-exsist on this Earth) hapa Duniani ili aje kuokolewa ama kusaidiwa na mtu yeyote, Upo hapa Duniani ama tuite upo Katika huu ulimwengu wa tatu ili ukuze Ufahamu wako/consciousness, haujazaliwa Kuja kuokolewa na Bwana Yesu ama...
  3. Uongozi wa Simba SC nitengeeni Bilioni 2 tu kisha mtumeni Mtu aniltee hapa Kampala niwafanyieni Usajili wa kuwa Bingwa wa Makombe yote 2025

    Nina Jicho la Kuona na Kumjua Mchezaji kuliko Injinia Hersi na mkinipa hizi Hela nawasajalieni Wachezaji wangu Saba ( 7 ) wa Kimataifa niliowaona Watatu niko nao hapa hapa Kampala Uganda na Watano wako Afrika Kusini, Congo DR, Ivory Coast, Zambia na Angola. Kwa Wachezaji wa Ndani nitawasajilia...
  4. Naona si sahihi mtu kuweka plate namba ya Jina lake

    Inawezekana sina hilo gari lenye hadhi ya kuwekea private registration plate, au labda sina gari kabisa. Lakini kiukweli nikipishana na gari njiani lina plate namba imeandikwa jina la mtu, uwa namuona huyo mtu ni limbukeni mshamba mmoja tu. Hata hivyo hata wao ulimbukeni ukiwaisha uwa...
  5. Usimkopeshe mtu kuanzia leo 1-6-2024 mpaka Disemba 31, halafu utaona amani itavyorudi moyoni

    Ndugu Mtanganyika , usimkope ndugu yako hela kwa sababu kuna hatari ya kuharibu uhusiano wenu. Kukopa hela kwa ndugu kunaweza kusababisha migogoro na mvutano, hasa kama kuna tatizo la kulipa deni kwa wakati au kama kutakuwa na hali ya kutokuelewana juu ya masharti ya mkopo. Ndugu huyo utakuwa...
  6. O

    SoC04 Taarifa Binafsi zinazokusanywa na Makampuni ya mikopo Ya Online ni hatarishi kwa Faragha ya Mtu

    Siku hizi kumekuwa na Kampuni nyingi za Mikopo Online kama Branch, PesaX, Twiga Loan, Mloan, Cash X. Bongopesa Na watu bila kuwa makini mtakuja jikuta mnaingia matatizoni kutoka na taarifa zinazokusanywa na Kampuni hizi. Nimejaribu kadhaa na hakuna ya afadhali, unakuta inakusanya taarifa...
  7. Ikitokea umekutana na mtu aliyepotea, mwenye tatizo la afya ya akili; utamsaidiaje ili kuwapata ndugu zake?

    Kuna video clip huwa zinasambazwa zenye kuonesha watu wenye matatizo ya akili ambao wamepotea au kutojielewa kwa wakati huo. Video hizo huonesha mahojiano kati ya mwenye tatizo na mchukua video. Je, ni sahihi kufanya hivyo? Je, ikitokea sasa mwenye hili tatizo akawa sawa, na kuiona video hiyo...
  8. A

    Natafuta Vyuo vinavyotoa Course ya Commmunity Health

    Hivi course ya COMMUNITY HEALTH ipo na inatolewa kweli? Nimejaribu kufatilia vyuo vingi sijaiona. Naomba kama kuna mtu anajua chuo kinachotoa hii course tafadhali.
  9. SoC04 Tanzania tuitakayo: Tuwekeze sasa kwenye mifumo ya uwajibikaji, tuache kutegemea mtu atutatulie shida zetu bali Mfumo ndio utatue

    TUJENGE MIFUMO YA UWAJIBIKAJI, KAMWE TUSITEGEMEE KUWA NA NAMBA ZA OCD AU ASKARI WA USALAMA BARABARANI. Taifa tunapaswa kuwekeza sasa kwenye mifumo imara ya uwajibikaji ili leo na kesho hata kama kiongozi hayupo basi mifumo ifanye kazi, tuweke mifumo tukifikiria kwamba kuna siku viongozi wote...
  10. A

    Natafuta mke hasa mtu mzima wa kuoa ambae yupo serious

    Jmn natafuta mke
  11. Duh instagram imejaa matangazo ya waganga mara kuiba mume wa mtu, libwata na kurudisha nyota.

    Ukitaka kula pesa ya mwa afrika basi uijiingize ktk huduma za kiroho na ukitaka kujua roho chafu za watu basi mnunulie pombe mganga alewe alafu akuambie mambo anayoletewa kuyafanyia kazi. Ni mapicha unayaona tu mara mbuzi ameuliwa na amechorwa maumbo na alama tofauti. Alafu chini ya posts zao...
  12. SI KWELI Video ikimuonesha mwanaume akiwa mtupu akikimbia baada ya kukutwa na mke wa mtu

    Kuna video inasambaa twiter na Instagram ikimuonesha mwanaume akiruka dirisha na kukimbia huku akiwa mtu kabisa bila nguo, watu hao wamekuwa wakishare video hiyo na kuweka ujumbe wa MKE WA MTU SUMU wakimaanisha mtu huyo alikuwa na mke wa mtu kisha akafumaniwa ndio anakimbia. Je, ni kweli mtu...
  13. Kama CCM imeshindwa na Makonda kaweza, CCM ya Nini tena?

    Nimeona madudu yanayoibuliwa na Makonda na kushangiliwa sana na watu wa CCM wakiona kama Makonda ndiye CCM na taasisi na wengine wote ni Chauma au UDP. Labda niwakumbushe watu wa Arusha, haya anayo yaibua Makonda ndiyo madhaifu ya serikali ya CCM. Rushwa, ubadhilifu, kunyima haki raia, matumizi...
  14. M

    Mtu mwenye masters na hana degree ya hiyo kozi aliyopitia post graduate diploma anatambulika kwenye ajira?

    Habari wadau wa JF, Hivi mtu mwenye masters lakini hana undergraduate degree ya hiyo course aliyopitia post graduate diploma anatambulika kwenye ajira sekta binafsi au serikalini?
  15. M

    Mtu Mwenye miaka 35 ni Kijana?

    Ni mara nyingi utasikia mtu mwenye zaidi ya miaka 35 anajiita kijana. Wengine wana miaka 45 na zaidi hasa wanasiasa lakini wana jiita vijana. Mnaonaje hili wakuu ni kwamba Ujana una makundi tofauti au ni huwa tuna/wana jifariji tu kujiita vijana ilihali wakijua wazi kwamba umri tayari umesha...
  16. Una lipi la kumshauri huyu Mke wa mtu?

  17. Ukiachwa achika

    Mwaka jana kuna binti aliniacha ghafla kupitia sms nanukuu "D nimefikiria nimeona hatuwezi fika mbali naomba tuachane" hapo ni baada ya dk kadhaa za kuambiana tunapendana akanipiga block kuanzia kwenye simu mpaka kwenye mitandao yake ya kijamii nikawa sina direct access ya kuwasiliana naye siku...
  18. WanaJF tupeane mawazo kwa mtu anayetaka kufanya biashara Kariakoo kwa mtaji wa milioni 50

    Kwema wakuu, Kuna mtu kanifata anahitaji ushauri, anataka kujilipua kwenda kariakoo kufanya biashara.... Kwanini Kariakoo? Anaamini Kariakoo ndo hub ya biashara hapa Tanzania.... Mzunguko wa kariakoo si rahisi kuupata mahali pengine popote hata kama unapata faida ndogo Amekua akifanya...
  19. Nilimpenda sana Binti humu, ila sasa nimegundua kila mtu anampenda tu. Inauma

    nimekua nikimpenda sana @_ephen sijui ndo nimekosea handle yake ?. ila nimempenda sana... sana, siwezi kuelezea ni jinsi gani. lakini pia nimekuja kugundua watu wengi pia wanampenda huyu Binti. nampenda sana _ephen, ila kutokana na kuona kila mtu anampenda nabaki katika utata, je ni sahihi...
  20. Video: Huduma kwa wateja Taasisi za Umma mbovu. Nimepiga simu Nest (PPRA) nusu saa hakuna anayepokea. Siasa zisiue huduma kwa jamii

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…