mtu

  1. K

    Mke wa mtu alivyoharibu ndoto zangu

    Mimi ni kijana nimeajiriwa moja ya kampuni kubwa hapa Tanzania.Nafanya kazi na mwanamke mmoja hivi na Mume wake.Wote wamenipokea kazini. Mume wa huyo dada ni kicheche balaa ni mtu wa totozi.Hizo ni story nilipewa baada ya kukaa nae miezi miwili ofsini.Mke wake ashamfumania mara kibao na...
  2. PreGE2025 Ni vigumu kiongozi anayetegemea kila kitu kuchangia kumshinda mwingine aliyejitosheleza kwa hali na mali

    Kujitolea kwa hali na mali kwa wengine ni kujiwekea hazina ya hali na mali mioyoni mwa wanufaika wa majitoleo yako baadae. Mathalani kwenye uchaguzi wa chadema, tunashuhudia faida za kujitolea na hasara za uchoyo na mazoea ya kupokea au kuchangiwa tu, Kujitegemea na kujitosheleza ni jambo...
  3. Msaada; Mtu yoyote ambaye alishawahi kukopa vision fund au mtumishi wa vision fund microfinance

    Husika na maada tajwa hapo juu; Naomba Kama Kuna mtu humu, alishawahi kukopa mkopo vision fund au ni mtumishi wa taasisi hiyo, atuambie taratibu zake zipoje na mkopo inatoka baada ya muda gani baada ya kumaliza taratibu zote. Asante
  4. Lissu alimwambia Abdul endapo angefanikisha kumsaidia kupata pesa angekuwa rafiki yake. Hajafanikiwa, anachafua kila mtu

    Haya ni maneno ya Tundu Lissu “nilimwambia Abdul anisaidie kupata malipo yangu na nikampa documents,angefanikiwa angekuwa rafiki yangu” Huyu ndio wafuasi wake wanasema ni mkweli kanyooka anachukia utawala wa CCM. Mtu aliyenyooka na anaejua utaratibu anaalika mtoto wa rais nyumbani kwake...
  5. Karibu nikutafsirie Ndoto yako kama umeota leo Desemba 21, 2024

    Ndoto zimekuwa na maana maalum au tafsiri zinazohusiana na imani za kiroho. Ndoto zinachukuliwa kama ishara au ujumbe kutoka kwa nguvu za kiroho au kutoka kwa ulimwengu wa roho. Ndoto ni sehemu muhimu ya maisha ya kila siku ya binadamu. Karibu nikutafsirie ndoto yako. Hakikisha unaweka tarehe...
  6. ABIRIA AKUTWA NA KICHWA CHA MTU (MTOTO)

    Tarehe 19/12/2024 abiria wa bus la Frester VIP T794EHR seat No 40 toka kahama to dar kakamatwa Misigiri Singida anasafirisha KICHWA CHA MTU (mtoto) kwenye begi. Kilikua kinatoa harufu mbaya kwenye gari hadi akashtukiwa. Tuongeze umakini sana kwenye ukaguzi kabla safari haijaanza.
  7. Wasomi wanamageuzi wa nchii wapo wapi? Mpaka mtu aliyepata division 0 anaongza taasisi kubwa hivi miaka 20?

    Kuna shida Tena sio kidogo wasomi wameenda wapi miaka 20 taasisi inaburuzwa na mtu aliyefeli shule na kufukuzaa wasomi kwenye chama.? Mtu Kama Dr Slaa na Zitto wanaondoka kihuni na wasomi kibao wanakimbia hiki chama Ana Nini Cha ziada huyu zero brain ambaye Hana hata shahada ?? Nina mashaka...
  8. AFANDE SELE FT. BWANA SAM - MTU NA PESA.

    AFANDE SELE FT BWANA SAM - MTU NA PESA Verse ..1 ( afande sele) Mtu na pesa hakuna mwanadamu asie jua maana ya pesa/ hata mwanangu Tunda hi leo ana ijua pesa/ tangu ana miezi tisa (9)/ maana kila kukicha anacheki inavyonitesa/ baba ake nateseka / mchana kutwa mbilika na usiku ni batashika/...
  9. Maelezo ya Wenje yamenyooka zaidi kuliko tuhuma za Lissu! Huenda Mbowe bado ni mtu sahihi zaidi kuongoza CHADEMA

    Nimesikiliza maelezo ya Ezekiel Wenje aliyetuhumiwa na Lissu kumpeleka Abdul kumuhonga pesa, ukiniuliza mimi naona maelezo ya Wenje yamenyooka sana kuliko tuhuma alizokuwa anarusha Lissu dhidi ya watu anaodai wamehongwa. Swali ambalo limebaki sasa ni kwamba Lissu anafanya mambo haya kwa sababu...
  10. Unapomuomba namba mwanamke anayeenda au anayetoka kwa mwanaume ampendaye😀 au yule mwanamke anayemheshimu mtu wake anakupotezea mpaka unajisemea

    Pale unapomuomba no mwanamke anayeenda au anayetoka kwa mwanaume ampendaye😀 au yule mwanamke anayemheshimu mtu wake Anakupotezea mpaka unajisemea mimi ni wakupuuzwa hivi na mwanamke tu kweli 😀 Mwanamke akiwa anaenda au anatoka kwa mwanaume ampendaye ndugu yangu achana naye hatakusikiliza...
  11. Mbeya: Mtu mmoja auawa kwa kukatwa na panga wakigombea goli lilokataliwa uwanjani

    Anyulise Mwamkisu (49) ameuawa kwa kukatwa na mapanga, katika uwanja wa mpira wa miguu wa Kijiji cha Mofwile Halmashauri ya Wilaya ya Kyela, Mkoa wa Mbeya, kulikokuwa na Ligi ya mpira kati ya Nyuki FC na Mofwile FC na kuibuka kwa vurugu baada ya timu moja kushinda goli na kukataliwa, hali...
  12. Unawezaje kuishi Kwa kutegemea kuendesha bodaboda

    Huwa
  13. Vodacom Tanzania nawauliza, mtu mwenye miaka 75+ haruhusiwi kumiliki simcard yenu?

    Ajabu sana hii, Leo nimemwambia wakala amsajilie Line ya Vodacom Tanzania mzee wa miaka 77, wakala amepambana imeshindikana anasema voda hawaruhusu mtu wa miaka 75 na kuendelea kusajiliwa line.. Ina maana mna nini special sana nyie mpaka muweke limit ya mtu kumiliki simcard ya mtandao wenu...
  14. D

    Chawa hakai kwa mtu msafi

    Habari wakuu, bila kupoteza muda niende kwenye lengo la kuandika makala hii,kwanini watu wanapenda kuwamiliki chawa Kwanini nini chawa,chawa ni mdudu anaependa kukaa maeneo machafu, kwenye nywele,nguo chafu. Chawa husababisha upele, kujikuna na hata magonjwa. Mtu msafi hana chawa, chawa...
  15. Tundu Lissu: Watekaji wanataka wanimalize wamsingizie Mbowe

    Enyi watu wabaya mjulikanao kama 'watu wasiojulikana,' nimezisikia njama zenu. Mnataka kuniumiza halafu mumsingizie Mwenyekiti wetu wa chama, Freeman Mbowe. Ndivyo mlivyofanya wakati wa kifo cha marehemu Chacha Wangwe. Ndivyo mlivyofanya tena wakati mliponishambulia tarehe 7 Sept '17. Na ndivyo...
  16. Miaka 63 ya uhuru wenye ukoloni wa mtu mweusi.

    Kwanza kabisa poleni na pilika za mwisho wa mwaka, mambo yamekuwa mengi ajali, magonjwa na kila aina ya ubaya unaotulenga sisi binadamu. Tuwe na mwisho mwema. Hili suala la uhuru kiukweli mimi sioni kama ni uhuru wenye haki na kufuatwa kwa misingi ya katiba kama inavyoagiza. Kama haitoshi...
  17. Inakuaje mtu umehama kikazi kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine then urudishwe ulipotoka?

    Et wadau,kwann wasikatae kabla haujaondoka..vipi uliefanikiwa kuhama ukaambiwa urudi ulirudi au ilikuaje?
  18. Sababu ambazo hupelekea mtu kujihisi vizuri zaidi na mawazo na hisia zake mwenyewe na kupendelea shughuli za peke yake

    Hapa kuna baadhi ya maswali ambayo unaweza kujiuliza ili kujielewa vizuri zaidi: * Je, unapendelea kuwa peke yako mara nyingi? * Je, unajisikia vizuri zaidi unapokuwa na watu wengine? * Je, unaogopa kukataliwa? * Je, unajisikia peke yako au umetengwa? * Je, una matatizo yoyote ya afya ya...
  19. M

    Usikubali kila mtu akufute machozi wengine wana leso zenye pili pilipili

    USIKUBALI KILA MTU AKUFUTE MACHOZI WENGINE WANA LESO ZENYE PILI PILIPILI Kilio chako kikisikika na kila mtu tegemea kutonyamanza kwa sababu kuna watu watatumia kama fursa ya kukuliza zaidi kwa sura ya kukufuta machozi kwa kutumia vitambaa vyenye pili pili. Kwa haraka utaona wanakuja kukusaidia...
  20. R

    Maana halisi ya Uchawa/Upambe: ni derogatory term, ni matusi makubwa ya nafsi ya mtu/utu wa mtu

    definition ya wapambe /machawa ni watu wasiokuwa na tafakari, ni bendera fuata upepo. Hawana reasoning yoyote from higher mental faculties. Wanatumia matumbo yao kufikiri. Ni watu wa hovyo ambao wana very low level of thinking, especially RATIONAL THINKING!Hivyo mtu akikuita chawa, amekutukana!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…