mtu

  1. I

    JamiiForums Tanzania Unapochagua Laptop, Hii Ndiyo Kitu Ambacho Kila Mtu Anapaswa Kujua

    “Tech Doesn’t Have to Be Complicated. Here’s Proof.” Uzi huu unalenga watu wanaogopa kununua vifaa vya kielektroniki kwa sababu ya kutokuelewa vizuri, na unaleta uaminifu na ufahamu. Tech Doesn’t Have to Be Complicated. Here’s Proof. Wengi wetu tunahitaji laptop au desktop — kwa kazi, shule...
  2. JamiiForums Tanzania Ukimuona mtu katika taifa hili amekua maarufu na mashuhuri kwa kufanya mambo ya maana basi muheshimu sana.

    Watanzania katika ubora wa "MAKING STUPID PEOPLE FAMOUS" Nafasi ya Mtanzania wa kawaida kuwa katika viwango vya umashuhuri kwa kutumia ubunifu na logic ni kama imeshapigwa chini vibaya mno. Ni ngumu sasa hivi kuonesha ubunifu wako kwa watu, yani ni either wewe uwe kama umeweuka na mwingi wa...
  3. JamiiForums Tanzania Lissu ana Muku ya kwao hakuna Mtu amewahi kumuweza katika jambo lolote.

    Lissu ana Muku ya kwao hakuna Mtu amewahi kumuweza katika jambo lolote. SSH kuwa makini Sana.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Siku hizi wadada hawaombwi tena namba, bali mvulana unaulizwa kwa nini hunaga namba yangu

    Hasa Hawa wadada wanaocheza michezo ya mtu kutoka kila siku😃😁😁
  5. JamiiForums Tanzania Tunakoelekea kila mtu atachanganyikiwa kwa muda wake

    Yes, huu utaratibu wa jeshi la polisi kutofuata taratibu za ukamataji na kwamba wao wako juu ya katiba na sheria za nchi utaisha kwa mwisho mbaya sana. Naona watu badala ya kuogopa na kuwa wapole kama zamani , wanazidi kuchangamka sana na kuwa na confidence dhidi ya uonevu , kimsingi...
  6. JamiiForums Tanzania Kuzaa mtoto ili akikua akusaidie ni moja ya kichocheo cha umasikini wa mtu mweusi

    Sababu ya kumzaa mtoto ni ili umsaidie ikiwezekana hadi uzee wake. Ni utegevu kutafuta watoto ili waje wakusaidie. Kabla haujapanga kupata mtoto weka na mikakati ya kumsaidia hadi mwisho. Muandalie mifumo, urithi wa kutosha ikiwezekana hadi wa wajukuu wako ( watoto wake). Hivi ndivyo vitabu...
  7. JamiiForums Tanzania Prof Janabi awekwa mtu kati

    Prof.Janabi akiambiwa uongo wake na Mkali wa Bio-Chemistry
  8. JamiiForums Tanzania What do you with a research paper after its been published?

    I was just wondering what actions are taken once you finish and publish a research paper. I'm not all that experienced nor informed, so I'm just genuinely curious what could be done with one's research after it's finished. I'm talking more so about humanities research, so it's not necessarily...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa miaka 10 iliyopita sijaona mtu anayeongoza kwa kuishi maisha ya Anasa, Starehe na Gharama ya hali ya juu ulimwenguni kama huyu mwamba

    Huenda kuna matajiri ulimwenguni waliopo na waliopata kuishi, kama kina Mobutu seseko, Kina King khan, Bill gates, Elon musk nk. Pia wapo matajiri wa mafuta huko Saud Arabia na watoto wa mabilionea kama Prince of Saud Arabia nk. Pia wapo celebrities wenye uwezo mkubwa kifedha wanaomiliki Lavish...
  10. JamiiForums Tanzania Hata siku 1 usimsaidie mtu kubeba mzigo Airport, wema utakuponza

    Hata akiwa mzee vipi muache abebe peke yake... Airport sio eneo la bahati mbaya
  11. S

    JamiiForums Tanzania Namna sura au muonekano wa mtu unavyosaidia kukamata suspects /watuhumiwa ikiwa hakuna ushahidi wa wazi

    sura ya mtu, muonekano wa nje hua unasaidia sana kudaka suspects mtuhumiwa Katika mazingira uhalifu ,au tukio limetokea lakini hakuna ushahidi wa moja kwa moja au wa wazi unaoweza kuonesha aliyefanya uhalifu huo, hua panapitishwa msako sasa kama kundi ni kubwa hua kuna factors hua...
  12. JamiiForums Tanzania Mtu asiyewatunza watu wa nyumbani kwake ni mbaya kuliko atheist

    Katika jamii yoyote yenye maadili mema, jukumu la kuwahudumia na kuwatunza watu wa nyumbani ni la msingi sana. Biblia katika 1 Timotheo 5:8 inasema: “Kama mtu hawatunzi wale wa jamaa yake, hasa wale wa nyumbani mwake mwenyewe, ameikana imani, tena ni mbaya kuliko yeye asiyeamini.” Mbele za...
  13. JamiiForums Tanzania Mtu anawezaje Kulea watoto 15, wake 5 na ukoo bado unakutegemea

    Mwamba kazidi hata Idadi iliyowekwa kwa Wavaa kobazi (4). Watoto wanaojulikana kama wote (15) bado wasiojulikana na ndugu wa Mchongo wanaohitaji Msaada kwako. Hapo kwa Mshahara upi?
  14. JamiiForums Tanzania Hapa tanzania kuna mtu bado anajiona ni raisi japo sio raisi

    Ex president huyu naona kama kawa mfalme sasa kwenye nchi hii. Uwezi kusema umetumwa na raisi hata kenya yenyewe kasongo ajawai kumtuma kenyata. Tokea utawala huu jamaa kawa kama mfalme mkubwa sana
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kunamtu humu aliwahi kuandika Mbowe anafabya kazi na CCM na akasema hamtaamini ni miaka 2 sasa imepita

    Hakika kwa yanayoendelea naamini,toka amepigwa kwenye kura hakuwahi kuongelea Chadema wala kuhudhuria vikao,hata jana kwenda kumsalimu Lissu ni kujiosha tu nami nasema mtakuja kuamini msiyoamini. Hata wengi wanaopinga na mambo ndani ya chama ni watu waje wa karibu,wengine viongozi wenzake mf...
  16. JamiiForums Tanzania Mfahamu Armin Meiwes aliyetengeneza last supper na nyama ya mtu.

    Huyu armin meiwes alikuwa mtu mkimya asiyekuwa na mambo mengi na hata majirani zake ndivyo walivyokuwa wakimuona. Yaani mtu asiyekuwa na makuu na mtu . Lakini kwenye ulimwengu wa Internet hakuwa hivyo kama majirani zake walivyomwona . Alikuwa kiumbe cha kuogofya sana akitumia jina au ID ya "...
  17. X

    JamiiForums Tanzania Mtu pekee anayekutakia mema na uumzidi mafanikio ni baba na mama yako mzazi tu

    Ndugu na marafiki ni wanafiki tu siku ukifanikiwa ndio utaelewa au ukiwa umewazidi kimafanikio utaona jinsi walivyo kihalisi. Watajifanya kukupongeza kinafiki tu ila pembeni wanaumia sana. Baba ni mpambanaji mwenzetu kila siku atakupa mawazo ya kukujenga. Na huwa anafurahi sana kuona watoto...
  18. JamiiForums Tanzania Msanii Carina , hajarogwa na mtu yeyote ila amefariki kifo cha kawaida.

    Msanii Carina , hajarogwa na mtu yeyote ila amefariki kifo cha kawaida.
  19. D

    JamiiForums Tanzania Sio ubinafsi lakini ukishazoea kuishi peke yako ni raha sana na ni ngumu kuja kuishi na mtu tena

    Huu utafiti nimejifanyia mimi mwenyewe. Nimezoea kuishi peke yangu kiasi kwamba hata nikipata binti yoyote wa mahusiano namuona kero akiwa kwangu. Yaani zamani nilishikwa na upweke baada ya kuachana na mpenzi wangu wa muda mrefu lkn kuna mahala nikakuta wanasema "Do not fight loneliness, but...
  20. JamiiForums Tanzania Kila mtu ana upekee kwenye alama zake za vidole

    Alama za vidole ni za kipekee sana kutokana na mchanganyiko wa sababu za kijenetiki na matukio ya nasibu wakati ukikua kama kijusi tumboni kwa mama yako na hivyo kusababisha kutofautiana kwa mifumo ya matuta na mistari kwenye ncha za vidole. Tofauti hizi, ikiwa ni pamoja na umbo, saizi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…