mtu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Huyu mtu hafai atakutesa sana na kufanya usione thamani yako

    1.Ambaye muda wote anakukosoa kana kwamba hakuna hata siku moja umewahi kupatia hii ni dalili kuwa wewe sio yule akutakaye 2.Muda wote anakulaumu tu kana kwamba hakuna hata siku moja umewahi kuwa mwema kwake hii ni dalili HANA MUDA NA MAZURI YAKO 3.Mara nyingi anakutishia kuwa kuna watu...
  2. JamiiForums Tanzania Kifo cha Papa kinatukumbusha Mungu ndio mtawala. Hofu zote zipelekwe kwa Mungu sio mtu au kipngozi ambaye ni mavumbi

    Mungu anatwala. Haugui Hafi Hachoki Hazimii Hatishwi Matendo yote ya heshima na inada uyaelekezwe kwa Mungu asiyekufa. Viongozi wa kidini na kiserikali wapewe heshima za kibinadamu. Heshima kuu irudi kwa Mungu Muweza wa Yote. Kwa Mujibu wa Biblia. Baba mtakatifu (Yohana 17:11) sio mtu. Ni...
  3. JamiiForums Tanzania Amini Nawaambieni , Pamoja na Mapungufu Yake Yote ya Kibinadamu, Mtu Huyu Ana Mungu Ndani Yake!, Anaongozwa na Roho wa Mungu!. Mshuhudie Hapa!.

    Wanabodi Kwa kadri siku zinavyozidi kwenda, ndivyo ninavyozidi kumkubali mtu huyu, amenyooka kama reli!, hakika mtu huyu ana roho wa Mungu ndani yake!, mtu bila kuwa na roho wa Mungu, bila kuongozwa na Roho Mtakatifu, huwezi kumpa makavu live tena bila kupapasa, kwanza kumtambulisha mbunge...
  4. JamiiForums Tanzania Yeyote Anayetaja Amani Bila Kutaja HAKI, Ni Mnafiki, Tumzomee.

    Kuitafuta haki kwa anayeonewa na kunyimwa haki yake, ni tendo halali na takatifu, na ni wajibu wa msingi. Siku hizi wadhulumaji wa haki za wananchi , ili waendelee kudhulumu haki za wananchi, wanajificha nyuma ya neno amani, lakini hawathubutu kutaja HAKI. Amani ni zao la HAKI, huwezi kuitaja...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Hivi hizi njemba zinazoiga iga biashara mna deal nazo vipi, mtu anakuja kufungua biashara kama yako pembeni yako

    Umeumiza kichwa kuanzisha biashara yako, si kwa lelemama, si kwa bahati nasibu, umekesha sana usiku kwasababu ya kufanya research, ulichunguza location, ukapima mzunguko wa wateja, ukapanga jinsi bidhaa zako zitakavyokaa, ukafikiria bei ambayo inaweza kuvutia wateja, ukajifunza mbinu bora za...
  6. JamiiForums Tanzania Inawezekana kumlazimisha mtu kwenda sober house?

    Mmoja wa ndugu wa karibu ana tatizo la kunywa pombe kupitiliza. Ni kama ameshakuwa mraibu wa pombe, na imemuathiri sana afya yake. Hajali kula, kipaumbele chake ni pombe, tena zile za bei rahisi vilivyo kwenye vichupa vidogo wanavyoviita "DIAMOND" Ameshashauriwa sana bila mafanikio. Njia gani...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mtu alie nusurika kifo ktk siasa acheni kumsonga mtalitesa Taifa mtazitesa nafsi zenu

    Nawaomba serikali ya jamuhuri ya muungano kutambuwa mh Lissu sio mwanadam ila ndani yake ana nguvu za ziada baada ya jaribio lakutaka kumuua ndani ya mji mkuu dodoma kushindwa bila shaka mnakumbuka yale yalitokea ambayo hayakuwahi tokea tangu tupate uhuru. Huwotaji jicho la tatu kuona haya ila...
  8. JamiiForums Tanzania Sales Person Mtu wa Masoko katika kiwanda Cha Sembe.

    Habari Naitaji sales person ( Mzoefu au mwenye uwezo wa kutafuta masoko ) Ya Unga wa Sembe, Dona, Pumba ya Mahindi. Mashara : 300k ~ 600k kwa mwez kutokana na uwezo na uzoefu wako. Piga : / Whatsapp 0754397178
  9. JamiiForums Tanzania Elimu ya darasani haimfanyi mtu kuwa na akili nyingi kuliko wengine – Ushahidi uko wazi kwenye viongozi wetu.

    Kwa muda mrefu sana tumekuwa tukidanganywa kwamba elimu ya vyeti ndio kipimo cha akili au uwezo wa mtu kufikiri. Lakini tukitazama hali halisi ya nchi yetu, tuna viongozi wengi wenye PhD, Master's, au shahada, lakini wanashindwa kufanya maamuzi ya msingi yanayowanufaisha wananchi. Tuna walimu...
  10. JamiiForums Tanzania Unakuaje Mtu Mzima Katika Kundi Lako la Marafiki Kila Ukiambiwa Usimamie Ishu Fulani Hata 2000 Kila Siku Huna

    Tunaelekea wapi kama wanaume? Kuna kundi la wanaume ambao kwa namna ya kushangaza wamezoea kuishi ndani ya unyonge—unyonge wa kutokuwa na hata shilingi mfukoni. Hali ni mbaya kiasi kwamba hata mtu ambaye humjui binafsi, ukimuangalia tu unajisikia kero. Kwa nini? Kwa sababu umaskini wake...
  11. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kujifunza coding kwa kila mtu

    Coding Siyo kwa Wataalamu Tu—Ni Kwa Kila Mtu! Katika dunia ya leo inayozidi kuwa ya kidijitali, kujua misingi ya coding ni muhimu kwa kila mtu, si kwa wataalamu tu! Coding ni funguo za mafanikio katika dunia ya kisasa. 🚀 Kwa Nini Coding ni Muhimu? 1. Fursa za Ajira: Sekta nyingi sasa...
  12. JamiiForums Tanzania Mtu wa IT anahitajika haraka

    Habari zenu wadau. Kuna nafasi mbili za watu wa IT wanahitajika haraka. Sifa: Wenye Bachelor au Diploma ya IT na uzoefu angalau mwaka mmoja. Nicheki WhatsApp namba: 0683535699
  13. JamiiForums Tanzania UMEWAHI MPAMBANIA MTU HADI AKAPATA KAZI KISHA AKAANZA KUPAMBANA WEWE UONDOLEWE KAZINI!??

    Wakuu Habari! Mungu awe nanyi katika mapambano Yenu. Kisa hiki ni chá ukweli na kimenitokea mimi mwenyewe kabisa toka Kwa ndugu yangu mmoja. Nilikuwa nafanya KAZI taasisi moja Hapa nchini Kuanzia mwaka 2021 Hadi mwaka huu mwanzoni. Ni taasisi kubwa yenye malisho mazuri sana. Mwaka 2023 Kuna...
  14. JamiiForums Tanzania Marufuku kumwita mtu fulani: "Mwamba"

    Imezuka tabia, siku hizi, watu wanapomuona mtu fulani ana msimamo thabiti, imara, wanamwita “Mwamba.” Kwa mujibu wa Maandiko, "Mwamba" ni jina lenye uzito mkubwa kiroho. Jina hilo ni la Yesu Kristo peke yake, kama Maandiko yanenavyo katika 1 Wakorintho 10:4b. Kumwita mwanadamu “Mwamba” ni...
  15. M

    JamiiForums Tanzania NAOMBA KUULIZA FAVORS ANAZOPATA MTU MWENYE ULEMAVU KWENYE AJIRA ZA SERIKALI KUPITIA AJIRA PORTAL

    Napenda kujua Naomba kujua favor anzopata mtu mwenye ulemavu kwenye ajira za utumishi ikiwa labda kafeli oral au hata written wanamsaidiaje hapo? Nina ndugu yangu Kaomba Hz kazi za ualimu masomo ya biashara yeye kakatika mkono
  16. M

    JamiiForums Tanzania FAVOR ZA MTU MWENYE ULEMAVU KWENYE AJIRA ZA SERIKALI KUPITIA AJIRA PORTAL

    Ningependa kujua Naomba kujua favor anzopata mtu mwenye ulemavu kwenye ajira za utumishi ikiwa labda kafeli oral au hata written wanamsaidiaje hapo? Nina ndugu yangu Kaomba Hz kazi za ualimu masomo ya biashara yeye kakatika mkono
  17. I

    JamiiForums Tanzania Unapochagua Laptop, Hii Ndiyo Kitu Ambacho Kila Mtu Anapaswa Kujua

    “Tech Doesn’t Have to Be Complicated. Here’s Proof.” Uzi huu unalenga watu wanaogopa kununua vifaa vya kielektroniki kwa sababu ya kutokuelewa vizuri, na unaleta uaminifu na ufahamu. Tech Doesn’t Have to Be Complicated. Here’s Proof. Wengi wetu tunahitaji laptop au desktop — kwa kazi, shule...
  18. JamiiForums Tanzania Ukimuona mtu katika taifa hili amekua maarufu na mashuhuri kwa kufanya mambo ya maana basi muheshimu sana.

    Watanzania katika ubora wa "MAKING STUPID PEOPLE FAMOUS" Nafasi ya Mtanzania wa kawaida kuwa katika viwango vya umashuhuri kwa kutumia ubunifu na logic ni kama imeshapigwa chini vibaya mno. Ni ngumu sasa hivi kuonesha ubunifu wako kwa watu, yani ni either wewe uwe kama umeweuka na mwingi wa...
  19. JamiiForums Tanzania Lissu ana Muku ya kwao hakuna Mtu amewahi kumuweza katika jambo lolote.

    Lissu ana Muku ya kwao hakuna Mtu amewahi kumuweza katika jambo lolote. SSH kuwa makini Sana.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Siku hizi wadada hawaombwi tena namba, bali mvulana unaulizwa kwa nini hunaga namba yangu

    Hasa Hawa wadada wanaocheza michezo ya mtu kutoka kila siku😃😁😁
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…