mtu

  1. JamiiForums Tanzania Mwanamke huwa anapata ugumu ku-Move on endapo alimpenda mtu fulani na akaweka matarajio makubwa kwake , so ni jukumu la mwanaume kutopasha kiporo

    Morning. Kuna Dada mmoja alimpata kijana mmoja akiwa na only 20 years . By that time Huyo Dada mchumba wake wote walikuwa wanasoma. Baadae yule Dada alimaliza masomo yake na kujariwa na Mwananchi na baadae BBC. Na yule Kijana alimaliza masomo yake akaenda jeshini na Kuwa na cheo kikubwa tu...
  2. JamiiForums Tanzania Abtali Mwerevu, Mtu mwema, Makini na Mwaminifu Kupitiliza

    Nimekuwa nikiitumia JamiiForums tangu inaanza. Kwanza niliitumia kawaida bila kujiunga, mpaka nilipoamua kujiunga rasmi mwaka 2013. Kila ninapoingia mtandaoni mtandao wangu wa kwanza ni JamiiForums. Mara zote nilipoingia, nilikuta habari za watu wengine mpaka hii leo nilipoingia na kukuta tuhuma...
  3. JamiiForums Tanzania Moderators naomba mtu anajiita Abtaili Mwerevu apewe ban kwa kutangaza ajira za utapeli .

    Abtali Mwerevu ni member Mkongwe Ila tapeli . Anakuja JF anatangaza ajira ambazo zimejaa utapeli mkubwa kuna ajira katangaza juzi watu wamemfata WhatsApp kawafanyia utapeli. Kuweni nae makini au apewe life ban
  4. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche: Hatutapiga magoti kwa mtu yeyote, kama wewe ni kiongozi wa umma lazima ukubali ukosolewe

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amesema kuwa chama hicho hakiogopi vitisho, ukandamizaji wala hila dhidi ya wapinzani, na kitaendelea kusimama kidete kutetea haki, uhuru na maisha ya Watanzania wote Akizungumza Julai 23, 2025, wakati wa kutoa...
  5. JamiiForums Tanzania Unamsaidiaje Mtu ambae Akili zake Zimehama/Zimeruka?

    Wakuu, msaada wenu naomba msaada kwenye jambo. Hivi unamsaidiaje mtu ambae akili zake zimeruka?. Yaani mwanzoni alikua na akili timamu kabisa ila ghafla tu anageuka kua FYATU anaanza kuongea vitu vya ulimwengu ambao hauonekani kwa macho, unamsaidiaje? Halafu nyie mnaozushia watu...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Una lipi la kumwambia Kamanda wa Mama?

    Kamanda wa mama amjibu Polepole,adai dadaake hakutekwa bali alikuwa kwa mumewe. Unalipi la kumwambia huyu kada wa mama? 🤣🤣
  7. O

    JamiiForums Tanzania Utatambuaje mtu uliyenaye karibu ni Psychopath au Serial Killer?

    Hivi sasa ni saa 4 usiku na madakika! Salamu kwenu wanajukwaa! Katika jamii tunazoishi tunashirikiana na watu wengi sana, kila siku inapoanza maisha yetu yanahusisha kukutana na watu mbalimbali. Sasa utatambuaje kwamba mtu aliye karibu yako ni Psychopath au Serial Killer. Pyschopath ni mtu...
  8. JamiiForums Tanzania Online skills gani iko sokoni sahivi, ambayo mtu akisomea hata juta maishani mwake?

    Habari wanajf Kuna rafiki yangu ni mwajiliwa mahari flani , anamuda mwingi wa ziada baada ya kazi, anataka huo mda wa ziada ajifunze kozi nzuri online ambayo ipo sokoni Ili imsaidie kupata pesa ya ziada baada ya kumaliza masaa ya kazi. Vifaa vya kujifunzia vipo Pc, smartphone, bando 24/7 hours...
  9. JamiiForums Tanzania Utakuta Mtu Ameajiriwa Tayari Serikalini Lakini Bado Anafanya Maombi ya Ajira: Hawa Nao Wanasababisha Upungufu wa Ajira Nchini

    Utakuta Mtu Ameajiriwa Tayari Serikalini Lakini Bado Anafanya Maombi ya Ajira: Hawa Nao Wanasababisha Upungufu wa Ajira Nchini Kuna watu ambao tayari wamepata ajira serikalini, wamepangiwa vituo vya kazi, na wanaendelea kupokea mishahara kila mwezi. Lakini jambo la kushangaza na la kusikitisha...
  10. JamiiForums Tanzania WAISLAMU WANARUHUSIWA KULA NGURUWE KWA MAZINGIRA HAYA

    Baadhi ya wanazuoni na maulamaa katika dini ya kiislam wanasema mtu anaweza kula nyama ya nguruwe endapo mtu atakuwa katika mazingira ambayo hakuna chakula cha aina yeyote zaidi ya nguruwe, apa mja anaruhusiwa kula nyama iyo kwa lengo la kupoza njaa na kujiepusha na kifo. Maana katika maandiko...
  11. JamiiForums Tanzania Mtu anayeitwa kiparangoto ni nani? nasikia ndo anataka kukiondoa kitalu namba nne

    Leo nilikuwa Ofisini Ila nimeambiwa kuna MTU anaitwa Kiparangoto je huyu ni nani wakuu?.
  12. JamiiForums Tanzania Kila mtu angependa kuwa na kaka kama Alute Mughwai

    Mdogo mtu huwa anapitia misukosuko mingi ila kaka mtu kamwe hajawahi kaa pembeni. Tundu Lissu ana bahati kuwa na kaka kama Alute. Hakika Alute ni mfano wa kuigwa. Apewe tuzo ya kaka bora. Ila pia Tundu Lissu anaonyesha ana adabu kwa wakubwa zake kwenye familia ndo maana kaka yuko naye bega kwa...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu ameleewa alichokiongea DC Msando?

    Salaam! Ukisikiza kauli za mtu huyu zilizopita ukilinganisha na aliyotoa Jana, Ni kama anafuta kauli zake zote zilizopita kwamba tubaki na hii ya Jana . Amesema kwamba, jukumu lake ni kulinda watu wote na dini zote na Imani zote, Kwamba serikali haina mamlaka kuingilia uhuru wa watu kuabudu...
  14. JamiiForums Tanzania Mayai ni chanzo cha lishe mwilini, lakini ulaji wa mayai kupitiliza ni hatari

    Mayai ni chanzo cha lishe mwilini, lakini ulaji wa mayai kupitiliza ni hatari. Hivi karibuni mtu mmoja kutoka India amefariki dunia baada ya kujaribu kula mayai 50 kwenye mashindano ya kula mayai huko nchini India, alianguka na kupoteza fahamu baada ya kula mayai 42. Marafiki wawili waliweka...
  15. JamiiForums Tanzania Tuchanane: Mambo ambayo akifanya mtu aibu unaona wewe!

    Binadam alivyo leo kitabia na mwenendo ni zao la mambo 3. 1. Jenetiki alizorithi 2. Mazingira aliyokulia 3. Mazingira aliyomo. Tunakutana ukubwan, si vibaya tuambizane mambo yanayotia kinyaa kwenye jamii.(general bad manners). Haijalishi kwa makusudi au bahati mbaya. 1. Kuongea na simu sauti ya...
  16. JamiiForums Tanzania Urais siyo nafasi ya Majaribio lazima apatikane mtu madhubuti

    GT Hatupaswi kuchezea nafasi ya uraisi kwa tamaa binafsi hili ni suala la kitaifa. Linapokuja suala la uraisi maslahi ya Taifa lazima yakae mbele kwanza vyama pembeni Samia hana uwezo na udhubutu huo.
  17. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli mtu anaweza kuendesha maisha yake kwa kutegemea betting tu?

    Kuna yule jamaa kule twitter anaitwa Sativa17... nilikuwa nafuatilia video yake akielezea jinsi alivyotekwa na kunusurika kufa baada ya kupigwa risasi ya kichwa. Aliulizwa anafanya kazi gani akadai anafanya betting ( michezo ya kubashiri ) tu, hafanyi inshu nyingine yoyote na kupitia hiyo...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Sekta ya madini kuipeleka Tanzania uchumi wa kati juu 2050 wenye Pato la TZS50,000 Kwa kila Mtu kwa siku.

    Mojawapo ya sekta zilizochaguliwa kupewa kipaumbele na Dira2050 ya maendeleo katika kuleta mageuzi kiuchumi ifikapo 2050 ni sekta ya madini ambayo kwa kipindi cha miaka kumi (2014-2024) imekuwa ikikua kwa wastani wa 9% mpaka 10% ambapo jumla ya mchango wake katika pato la taifa kwa kipindi cha...
  19. F

    JamiiForums Tanzania GE2025 Yeyote anayetaka CCM iendelee kubaki madarakani baada ya utawala kwa miaka zaidi ya 60 huyo sio mjinga tu ni limbukeni mkubwa

    Mtu yeyote anayetaka CCM iendelee kubaki madarakani hata baada ya utawala kwa miaka zaidi ya 60 huyo sio mjinga tu bali ni limbukeni mkubwa!
  20. JamiiForums Tanzania Una mwambia nini mtu ambaye ana mpenda mpenzi wako ?

    Una mwambia nini mtu ambaye ana mpenda mpenzi wako ?? :Mimi namwambia aendelee kumpenda tu asikate tamaa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…