mtu

  1. JamiiForums Tanzania Mitego ya Mitandao: Changamoto za Online Dating ukiwa Mtu Mzima (Umri 30+)

    Zamani, watu wazima walikuwa wanakutana sokoni, kanisani, misikitini, au kupitia marafiki. Lakini leo, kupata mwenza kumehamia kwenye mitandao kama Tinder, Badoo, DM za Instagram, na makundi ya WhatsApp. Ukiwa mtu mzima mwenye majukumu yako, unatafuta mtu makini wa kutulia naye. Hata hivyo...
  2. JamiiForums Tanzania Nimeshavuka hofu

    Kwa level niliyo ifikia Itoshe kusema mimi ni mtu maarufu zaidi katika hili jukwaa kwa sasa Mimi ni kama maji tu usipo yanywa utaya oga, siogopi kitu chochote.. Nimesha vuka fear, ni naweza kuhandle presha na maneno ya watu, hakuna anyeweza kuni challenge na kunitoa mchezoni. Siongei haya...
  3. JamiiForums Tanzania Ni kozi gani ukimuona mtu anasoma chuo unabaki unasikitika?

    Wakuu, Kuna kipindi Nilikuwa nataka kusoma kozi ya Basic Records & Archives Management. Wiki chache kabla ya ku-apply nikakutana na mjomba angu mmoja kasoma soma kidogo. Nikamuelezea nilichokuwa nataka kusoma Badala ya kunipa support akainama akaniuliza "Kwa jinsi internet inavyoshika kasi...
  4. K

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Je mtu anaweza kumeza ulimi wake?

    Kwa kipindi kirefu inaaminika kuwa mtu akipwata na kifafa/degedege anaweza akameza ulimi hivyo hutumia kijiko,kijiti au kumuweka kiganja cha mkono mdomoni kama njia ya kumsaidia. je kunauwezekano wa mtu kumeza ulimi?
  5. H

    JamiiForums Tanzania Ben Pol: Ukikutana na mazingira haya kwa mtu unayetaka kuanzisha nae mahusiano, ni bora uwe single

    Msanii wa bongo fleva Ben Pol ameanika mambo matatu kwenye account yake ya Instagram ambayo ukiyaona hauna budi uachane na hayo mahusiano 1. Kila unapompanga unaetaka kuwa nae kwenye mahusiano ukutane nae anakuambia Yuko busy bila kukupa alternative mfano umempanga ukutane jumamosi alafu...
  6. JamiiForums Tanzania Kisa cha Dola 10 Zilizotupwa Mtoni jasho la mtu haliliwi

    Salamu sio lazima twende moja kwa moja kwenye kisa Cha kweli chenye hekima kubwa👇 Zamani kidogo, kulikuwa na mzee mmoja tajiri na mchapa kazi aliyekuwa anamiliki mali na biashara nyingi. Alikuwa na mtoto mmoja wa kiume aliyekuwa mvivu sana, asiyetaka kufanya kazi yoyote na aliyekuwa anasubiri tu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Madeleka: Nashangaa mpaka leo Polisi wameshindwa kukamata mtu hata 1 wa mauaji ya Oktoba 29, 2025

    Peter Madeleka:"Sasa kwa nini kwenye tukio hili kubwa, tena ambalo linahusisha mauaji ya watu zaidi ya mia tano, Polisi hawafanyi kazi yao, TISS pia inafanya kazi gani? Eh? Kwa hiyo kwenda kujificha kwenye kivuli kwamba kuna Tume yenye sura ya kimataifa, kuna majaji kutoka Uganda, na wengine...
  8. JamiiForums Tanzania Mabaya haya yana faida gani?

    Mtu anatesa mtu Mtu anamuua Mtu Mtu anamdhulumu Mtu Mtu ananyanyasa Mtu Mtu anamtesa Mtu kwa sababu ya mtu
  9. JamiiForums Tanzania Nini kinamfanya mtu muda wake mwingi anakuwa TOXIC sana kwa watu?

    Kuna watu ambao ndimi zao ni kama za nyoka Mioyo yao imekunjamana Macho yao yamejaa moto Vidole vyao vya ku-type vina upanga Kauli zao ni za kukatisha tamaa Lugha yao ni matusi. Nini ni sababu ya haya yote ambapo unakuta mtu robo tatu ya siku yake anachagua kuwa hivi utafikiri ametumwa na...
  10. JamiiForums Tanzania Alieko karibu na kalapina amwambie kuwa sugu sio level yake. Mtu mzima bado mtaa upo kichwani wakati sugu ni executive mind.

    Mtu huyu atakuwa katika 40s ili bado mtaa umemkaa kichwani, Hurka yake ni fujo za mitaani ambazo zilipekea hadi watu kuumia. Wakati huo bado anapambana na upumbavu wa mitaa na umri ukiwa umeenda, mr 2 sugu aka 2 proud anafanya mambo international na anasaini mikataba ya mpunga. Mtu mwenyewe...
  11. JamiiForums Tanzania Penzi ni pepo ya siri, hapewi mtu mbinguni

    Alikuwa akiamini kuwa mapenzi ya dhati ni kama pepo ndogo ya siri tunayoijenga hapa duniani, zawadi adhimu tunayopeana faragha na ambayo haitapatikana mbinguni. Alimwamini mpenzi wake na kumkabidhi funguo zote za roho yake, akiamini kabisa kuwa kifua chake ndicho kilikuwa bandari salama ya...
  12. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam kila mtu ninayekutana naye akinichekea nakuta ana pengo. Afya ya meno imekuwa tatizo kubwa sana miaka hii

    Hii hali inaanza kutisha. Siku hizi unakutana na mtu, hasa mdada mrembo, unampa marks zote. Lakini akitabasamu unakuta ana pengo au meno yana matatizo yanayoonekana wazi. Hii inanifanya niamini kwamba suala la kutunza afya ya kinywa na meno limekuwa changamoto kubwa kuliko tunavyolichukulia...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia anachekesha kama si mtu wako wa karibu

    Nyie mnaomcheka ni sababu si ndugu yenu. Kichaa anachekesha kama si ndugu yako. Mambo anayoyafanya ni ya aibu sana. Lakini si wa kumcheka. Lazima mjue ametokea wapi na amepitia hali gani. Ni kujaribu tu kumwelewa kuwa hapo ndo ukomo wake wa akili ulipoishia. Hakuna maajabu yanaweza tokea tena...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi huyu ni AI au ni mtu halisi nimekua na mashaka sana, anaitwa africanafai Instagram halllooooo chombo mzeer

    Ni mwanamziki, inasemekana ni mkenya picha zake zinanichanganya sana, aseee chombo kweli mtoto Yuko stand, mpaka naogopa nahisi ni AI
  15. JamiiForums Tanzania Azim Dewji: Siamini serikali inaweza kuwa na sababu ya kumpoteza mtu; anaweza kufungwa au kutafutiwa kesi ili kumuondoa kwenye reli

    Mhoji (Charles William): Mara nyingi unapotoka kuzungumzia kuhusu masuala ya amani, utulivu na jinsi ambavyo watu hawatakiwi kuendeshwa na propaganda, kuna watu wamekuwa wakisema mzee Azim Dewji anatakiwa kuungana na Watanzania ambao wanalaani baadhi ya vitu vinavyotokea hapa Tanzania, matukio...
  16. JamiiForums Tanzania Masikio yangu yanaumia sana nikimsikia mtu anasema, "binafsi yangu" 😸😹

    Hivi mtu anaposema, "binafsi yangu", anamaanisha nini? Binafsi + yangu= ?
  17. JamiiForums Tanzania Tafuta mtu asiyekujua mlipe pesa akutukane bila sababu ni tiba kubwa sana

    Kuna mda mambo yanakusonga eeeh!! Ngoja nikupe dawa Kama wewe ni mwanaume mtafute mwanamke , kama wewe mwanamke mtafute mwanaume Tena umlipe , ila mtu ambaye asiyekujua alaf kuwe na watu pembeni hata watatu na wao wasiokujua wawe wanasikiliza Mwambie changamoto zako zote huyo mtukanaji, tena...
  18. JamiiForums Tanzania Maisha Yamenifundisha Jambo Moja: Usisubiri Mtu Akuokoe

    Kuna kipindi nilikuwa naamini ipo siku mtu atakuja abadilishe maisha yangu. Nilisubiri nafasi, nilisubiri bahati, nilisubiri msaada. Lakini kadiri miaka ilivyopita, nikagundua kuwa muda ndio ulikuwa unapita, si matatizo. Maisha hayana huruma kwa anayesubiri sana. Yanamheshimu anayechukua...
  19. JamiiForums Tanzania Mtu sahihi wa kufanya naye kazi

    Leo nimezidi kuamini kuwa changamoto kubwa kwenye biashara si kupata wateja tu, bali ni kupata watu sahihi wa kufanya nao kazi. Teknolojia, hasa AI, imeanza kuwa mshirika muhimu sana. Ndiyo, inaweza kuwa na gharama, lakini mara nyingi inafanya kazi kwa ufanisi, kwa wakati, na bila visingizio...
  20. JamiiForums Tanzania Vipofu wakilala huota ndoto kama ilivyo kwa mtu anayeona? Umewahi kujiuliza huwa inakuwaje?

    Kwanza kabisa tuelewe ndoto ni kitu gani. Huwenda ikawa si jambo geni kabisa kwa wengi. Ndoto ni nini? Ndoto ni mfululizo wa matukio, mawazo, hisia na uzoefu ambao ubongo huunda wakati mtu akiwa amelala. Ndoto nyingi hutokea katika hatua ya usingizi inayoitwa REM (Rapid Eye Movement), ambapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…