mtoto wake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Desierto

    Hii Haina tofauti na mzazi anamtoa mtoto wake kijijini aje kufanyia kazi za ndani mjini

  2. M

    Msiba Usio wa Kawaida: Mbwa Kuruhusiwa Kuunusa Mwili wa Marehemu kabla hajazikwa, ni sawa ?

    Nimeshuhudia mambo mengi katika misiba tofauti, lakini tukio hili nililoliona limevunja kabisa rekodi. Mbwa aliruhusiwa kuisogelea maiti na akaanza kuinusa, kulikuwa na watu wachache na ni kabla maiti haijatolewa nje kwa watu wengi kwa ajili ya kuagwa na kisha kuanza safari ya mazishi...
  3. Roving Journalist

    Mbeya: Marry Timotheo ashikiliwa kwa tuhuma za kumuua Mtoto wake, alikuwa anamuadhibu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Marry Timotheo, Mkazi wa Garijembe Mbeya kwa tuhuma za mauaji ya Mtoto wake aitwaye Scola Athanas Mwaba [10] aliyekuwa Mwanafunzi wa Darasa la Nne katika Shule ya Msingi Ngonde. Tukio hilo limetokea Disemba 09, 2025 saa 6:30 mchana katika Kijiji cha...
  4. Carlos The Jackal

    Kamteua Mtoto wake ELIMU ili Shule za Kiislam zifaulishwe , Shule za Wakatoliki zikandamizwe kwenye matokeo !!Dec 9 Wakatoliki msibaki ndani!!.

    For Our Common Good , our Enemy ni Mmoja. Msituachie tu sisi Waumini wa Ufufuo na Uzima , nawaomba Tarehe 9 Kila Mmoja ajitokeze, Anguko la Watesi wenu ndio Uhai wetu sisi !!. Dec 9 asibakie MTU nyumban.
  5. Just Pray

    GE2025 Baba asimulia mtoto wake alivyouliwa 'Mwanangu alipigwa risasi akafariki akielekea dukani'

    Familia za watu waliowapoteza wapendwa wao kwenye maandamano yaliyotokea baada ya uchaguzi mkuu nchini Tanzania, wanaendelea shughuli za kuandaa mazishi ya wapendwa wao huku wengine nao wakiendelea kuomboleza baada ya shughuli hiyo kukamilika. ripoti zinasema kuwa watu wengi walipoteza maisha...
  6. funaku

    Ubaya hujibiwa kwa wema alianza kuitukana CCM,akaja Samia na Sasa mtoto wake!

    Namkumbuka Padre mmoja aliwahi kunihubiria kuwa ushinde ubaya kwa wema. Yaani mtu mbaya anapokuletea ubaya usimjibu na waka usimtendee ubaya badala yake jikite kumpelekea wema. Tujibu Ubaya kwa wema zaidi... KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
  7. Mama Ametufikia

    Wanawake wana kitu inaitwa (Emotional Bonding) ,hii hasa ndo sababu ni ngumu single mothers kuacha kuwasiliana na Baba mtoto wake au X wake.

    Leo nimeamua kuwasaidia na maarifa nawapa bure . Kwanini single mothers hata umpe mahitaji yote ya muhimu , she will keep in touch with her EX or single dad . issue kubwa ni Emotional bonding,. Nadhani wanaume watakuwa mashahidi, pale akihitaji kuruka na X baby Mama wake huwa ni rahisi Sana .
  8. Youbettersleep

    Kamfukuza beki 3 kisa mumewe anamla, akajichanganya akaliwa na mtoto wake

    Mwanamke alihisi mmewe anatoka na house garl akamtorosha kimyakimya akalala kwa chumbani kwa hoise garl na kuchomoa taa usiku jamaa akaingia akamvua nguo akamla bao mbili wakalala hadi asubhi kulivyokucha akawasha taa ili amseme mmewe kwamba nimekufuma anacheki ni mwanae wa kiume🙄🙄🙄 KESI IKAWA...
  9. bro alex

    Mwanamke wa Miaka 76 ajifungua Mtoto wa Kiume, Ethiopia

    Tukio la kushangaza limeripotiwa mjini Mekelle, makao makuu ya Jimbo la Tigray, Ethiopia, ambapo mwanamke mwenye umri wa miaka 76, Woizero Medhin, amejifungua mtoto wa kiume. Tukio hilo limetajwa na wengi kuwa la kimiujiza, likifananishwa na simulizi la kibiblia la Sara aliyejifungua akiwa na...
  10. Think2

    Auza kiwanja ili afanye birthday ya mtoto wake

    Hivi wadada izi akili mnazitoa wapi?? Unauza kiwanja ili ukafanye happy birthday ya mtoto ukweni kweli? NI hivi huyu dada baada ya kuolewa huku dar, mwanaume aliemuoa alitoa mahari hio mahari alipewa yeye baada ya kuongea na dada yake wa mkoani akamshauri anunue kiwanja maana wanaume dar...
  11. Komeo Lachuma

    Muhamad alioa mke wa aliyekuwa mtoto wake baada ya kuwafarakanisha na mumewe

    Zayd bin Harithah ni nani? Alikuwa mtumwa aliyepewa Mtume Muhammad, ambaye alikombolewa na kupendwa kama mwana. Mtume Muhammad alimchukua kama mwana wa kufikia (adopted son) na watu walimuita "Zayd bin Muhammad" kwa muda. Lakini baadaye Mtume alikataza kuita watoto wa kufikia kwa majina ya...
  12. matunduizi

    Nampongeza mzazi aliyemfuata mtoto wake shule na HELIKOPTA. Ni matumizi sahihi ya Utajiri

    Nimeona video moja, mzazi ametuma HELIKOPTA kwenda kuchukua mtoto mwanafunzi shuleni huko bukoba baada ya shule kufungwa. Jamaa simfahamu ila nampa pongezi sana maana ndio matumizi halali ya Pesa . Huwezi KUWA na pesa mingi alafu uzao wako unaishi kifukara KWA hofu kwamba watabweteka kimaisha...
  13. D

    Usiku Mume wangu alikuwa anamshika Mtoto wake sehemu za Siri,mtoto wa Kiume

    Duuh leo nimeona Huko Youtube jambo la Kunishangaza sana, sijui kama ni kwlei au la ila limenishanagza Mno. hivi haya mambo ya ushirikina Kumbe yako Seriously hivi? Hebu msikilize huyu dada akihojiwa na Mchungaji wake na Jinsi alivyofunguka https://www.youtube.com/watch?v=4qRefElrPs0
  14. Bushmamy

    Rombo; Kilimanjaro Baba aua mtoto wake na Kisha kuchimba shimo na kumfukia

    Baba mmoja ajulikanae Kwa jina la Edward mwenye umri mwenye umri wa miaka 66 anashikiliwa na jeshi la polisi wilayani Rombo kwa kosa la kumuua mtoto wake wa kiume Kwa shoka na Kisha kuchimba shimo na kumzika mwenyewe usiku. Hali ya Taaharuki imeikumba Kijiji Cha Kilema katika kata ya...
  15. Now and then

    Jay Z kapata mtoto ana miaka 40 na sasa Jay Z mtoto wake amemchorea ramani za kuja kufanikiwa kirahisi kabisa , nyie masikni acheni kuzaa ilimradi!.

    Jay Z kapata mtoto ana miaka 40 na sasa Jay Z mtoto wake ameshamchorea Ramani za kuja kufanikiwa kirahisi kabisa , nyie masikni acheni kuzaa ilimradi!. Kumbuka Jay Z katoka familia za kimasikini Sana , aliwahi hadi kuuza drugs , n.k Alichokifanya ni kuamua kuukataa umasikini kwa kuhakikisha...
  16. BigTall

    Baba aitaka Hospitali ya Aga Khan imlipe fidia ya Tsh. Bilioni 1.2 baada ya mtoto wake kukatwa mguu

    https://www.youtube.com/watch?feature=shared&v=5DrxCZ8iVZs Mwanaume anayefahamika kwa jina Ally Mkii, Mkazi wa Msongola Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam, ameishtaki Hospitali ya Aga Khan iliyopo Jijini Dar es Salaam imlipe fidia ya kiasi cha Shilingi Bilioni 1.2 kutokana na madai yake...
  17. Knock life

    Wakuu sielewi hii kitu nimemleta single maza kwangu ila mtoto wake analia Ahsubui mpaka jioni nahisi kuchoka

    Wakuu sielewi hii kitu nimemleta single maza kwangu ila mtoto wake analia Ahsubui mpaka jioni. Ukimzuia kitu analia , mama yake hataki aguswe Ana miaka 2 sasa. Ila akimuacha mtoto anakaa kimya yaani anamlea kimyai mayai .
  18. R

    Ndugu aliekuja kunisalimia na mtoto wake kachukia baada ya kumkataza anavyompa kazi za ziada house girl, nimekosea ?

    Kuna ndugu yangu (sio wa damu) kafikia kwangu siku ya jumatano, alifika na mtoto wake ana miaka miwili Nilikuja kuambiwa na wife nikahakikisha kwa watoto, ndugu huyu anampa kazi house girl kama kufua nguo za mtoto, kumuogesha mtoto, kupasha maji, kuandaa uji, kumtuma tuma, n.k. Nikamuita na...
  19. F

    Anatafuta kazi, aweze kumtunza mtoto wake mwenye ulemavu

    Kuna dada mmoja anamtoto mlemavu wa mguu, mtoto Hana mguu mmoja, huyu dada amesomea certificate ya mipango ,mwanaume aliyemzalisha alimkataa alipojifungua tu Mtoto mlemavu, anaomba msaada aweze kupata kazi ili aweze kumuhudumia mwanae, kila mwaka mtoto anatakiwa abadilishiwe mguu bandia, hali...
  20. D

    Biden alimfutia mtoto wake mashitaka; Trump kawafutia mashitaka mashabiki zake na kuwafukuza kazi wote waliomhukumu. Demokrasia ipo wapi?

    Wote wametumia nguvu ya uraisi. Tunajifunza nini' ikiwa huko ndo kioo Cha demokrasia Kila mtu anatolea mfano?!!
Back
Top Bottom