Kuna tukio nimekutana nalo maeneo fulani eti binti kamfumania Baba yake tena anapiga mayowee watu wajae washuhudie akijua anamkomesha baba yake kumtia aibu kingine eti anapambania ndoa ya Mama yake.
Nikajiuliza vipi kimaadili hili jambo limekaa sawa kweli? au tuishi kiutandawazi kuitikia mapokeo?
⚠️ TAARIFA YA MTOTO ALIYEPOTEA ⚠️
Tunaomba msaada wa wananchi wote.
Mtoto anayeitwa EDITHA ERICK ameripotiwa kupotea tangu juzi saa 1 usiku na mpaka sasa bado hajapatikana.
📍 Maeneo aliyopotelea:
Wilaya ya Hai, Kata ya Bomang'ombe.
Kwa yeyote atakayemuona au kuwa na taarifa zozote zinazoweza...
Angalia historia za kuvuja kwa connection zote duniani na hapa nchini jamii itamsema vibaya mwanamke badala ya mwanaume.
Mwaka 2008 dunia ilishuhudia kichupa kikivuja cha mjuba Ray Jay na Kim Kardashian, mwamba hata hakusemwa dunia nzima ikamwita Kim malaya.
Tangu hapo Kardashian family...
Kuna baadhi ya wanawake (single mothers) ambao wao wanaamini ya kwamba wana uwezo wa kulea watoto Peke yao bila ya usaidizi kutoka kwa mzazi mwenza(baba).
Na hii imekua ni sababu ya wanawake hao kukataa kuendelea kuishi kwenye maisha ya ndoa wakiamini ya kwamba wana uwezo wa Kusimama Peke yao...
Nalaani kitendo cha Polisi kumpiga Marungu mtoto wa Kike form three.
Ni kweli Polisi Tanzania mpo je ya. Sheria. Kwenye hili mumejua kutuumiza. Polisi unapiga Marungu mtoto mdogo wa kike kama unapiga kibaka?
Hivi kweli hili jeshi la Polisi la Tanzania ndo lile tunajua au kuna kitu kipo nyuma...
Nimekuwa nikipitia mitandaoni nimeona umuhimu wa mabinti zetu katika kupambania haki na usawa. Wakati kwa miaka mingi ilikuwa inaonekana hii empowerment imekuja kumuondolea nafasi yamwanaume kwenye jamii lakini imekuwa na matunda mazuri.
Nimepita vijiweni, sokoni na mitandaoni kama nilivyosema...
Takwimu za Britain sainsbury bank, zinasema kuwa wazazi wenye watoto wa kike wanatumia zaidi ya dola 400 toka kuzaliwa mbaka umri wa miaka mitano tofauti na wazazi wenye watoto wa kiume.
Sababu kubwa ni mavazi. Mavazi ya kike ni gharama zaidi ukilinganisha na yakiume mfano gauni, viatu, kofia...
CHUKUA KALAMU NA KARATASI,
UNESCO: KILA $1 KWENYE ELIMU YA MTOTO WA KIKE INAZALISHA $3 KWENYE GDP | RAIS SAMIA KATUMIA 47.8M KUJENGA SHULE ZA SAYANSI ZA WASICHANA 26
Rais Samia amejenga shule 26 za Sayansi kwa wasichana kwenye mikoa 26.
Tunafahamu,Ukiwekeza dola moja ya Kimarekani kwenye...
Habari za Jioni wakuu?
Leo nimeona niwashirikishe juu ya mchongo huu. Ni kuwa, hii ni Program maalamu ya kuwawezesha mabinti ambao hawakumaliza elimu ya Sekondari kwa sababu yoyote kujiendeleza kielimu na kifani. Elimu hii wanaipataje na kwa gharama gani?
1. Elimu hii inapatikana kwenye vyuo...
Hello Doctors na wanajamii forum wote kwa jumla. Nna mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 6 kasoro anasumbuliwa na maumivu ya kitovu kwa muda wa mwaka mmoja sasa! Nimeshakwenda hosp mara kwa mara tatizo halionekani!
Kwa mara nyingine nmeenda tena kuoanana na specialist wa watoto..akafanyiwa...
Nimemsikia mwenyewe (tena kupitia TBC1 Taarifa ya Habari ya Saa Mbili usiku huu) huyo Msichana akisema kuwa kwa 95% hicho Kiingereza ambacho CCM na Mwenyekiti wake Taifa pamoja na Chawa Gegedu wake wanamsifia na kusema kuwa ni Faida ya Shule za Kata CCM hakujifunzia Shuleni hapo japo alikiri...
Jana nimekutana na dharau kwenye daladala ambapo kila mmoja alikua amefura kwa staili yake.
Baada ya kupanda tu dada akaanza kuongea na simu, ikionesha amemuazima gari anaeongea nae. Sentence “ gari yangu” ilitumika sana. Sauti ilikua kubwa gari zima alisikika yeye.
Sasa sijui uyo aneongea nae...
KUH; MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA KUPINGA UKEKETAJI DHIDI YA MWANAMKE NA MTOTO WA KIKE TAREHE 6 FEBRUARI, 2025
Dar es Salaam, 02 Februari, 2025
Ndugu wanahabari, tarehe 6 Februari, 2025 kila mwaka ni Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya kupinga ukeketaji dhidi ya mwanamke na mtoto wa...
Mtoto wa kike yuko katika mazingira hatarishi ukilinganisha na mtoto wa kiume!!mtoto wa kike asipopata mahitaji muhimu atatafuta njia nyengine za kujipatia kipato ambazo ni hatarishi kwake .njia hizo mmojawapo ni kujiuza.hakuna kitu kinachoniuma sana ninapopita maeneo kama mbeya pazuri na pale...
Na Ahmed Abdulla, Zanzibar:
Katika muktadha wa dunia ya sasa, usawa wa kijinsia umekuwa ni suala la muhimu sana, hasa linapokuja suala la nafasi za uongozi kwa wanawake.
Miongoni mwa mbinu zinazotumika kukuza uwezo wa uongozi kwa watoto wa kike ni kupitia klabu za jinsia mashuleni.
Klabu hizi...
Waswahili wanasema kuzaa sio kupata kweli nimeamini.
Kuna binti wa ndugu yangu mmoja huko Kilimanjaro mtoto wake wa kike amemaliza masters ya udaktari hivi karibuni ila kwa bahati mbaya akiwa anafutilia mambo yake ya kazi akapatwa na hali ya kuchanganyikiwa ghafla maana hakuwa anapatikana...
Naomba kufahamu mwenye uzoefu na jambo hili maana kuna mtoto wa sister wangu mtoto wake wa kike ana miaka 8 ameanza kutoka damu ukeni mama yake ananiambia sijamuelewa tunahisi ni hedhi hapa nadrive kumpeleka hospitali
Wakuu,
Katika uzi wangu uliopita niliuliza wazazi wapo kundi gani kwenye malezi ya watoto na digitali, kama wataruhusu watoto kutumia simu kwa kuwapo mwongozo au kuwa wakoloni na kuacha wakikua mpaka chuo ndio watumie simu.
Nilishangazwa na baadhi ya majibu wakisema kwa mtoto wa kiume haina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.