Bunzali Jidola (30), mkazi wa Kijiji cha Imalanguzu, Igunga mkoani Tabora, anadaiwa kumchinja na kumuua mtoto wake mwenye umri wa miezi miwili kwa kutumia kitu chenye ncha kali, kumjeruhi mke wake, na kisha kujinyonga.
Kamanda wa Polisi, Richard Abwao ameeleza kuwa mwanaume huyo alimtuhumu mke...