mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Kila baada ya wiki Kuna kuwa na jambo linalo trend katika taifa letu. Mfano wiki iliyoisha jambo lilikuwa Lina trendi ni mauaji ya Mtoto Asimwe

    Kila baada ya wiki Moja linaibuka jambo jipya sana Lina trend sana Kwa Tanzania Kwa mfono wiki iliyoisha yalikuwepo matukio mawili makubwa ambayo ni Mauaji wa Mtoto Asimwe na Mgomo wa Wafanya biashara Nchi nzima. Sasa wikii hii (01.07.2024) Hostest news Kwa Tanzania ni 1.Mchungaji peter Msigwa...
  2. JamiiForums Tanzania Aliyebaka mtoto na kumwambukiza UKIMWI aachiwa huru baada ya kuhukumiwa kifungo cha maisha

    Mahakama Kuu ya Tanzania, imemwachia huru mzee wa miaka 78 ambaye alihukumiwa kifungo cha maisha jela kwa madai ya kumbaka mtoto mwenye umri chini ya miaka 18 na kumwambukiza virusi vya Ukimwi (VVU) kati ya 2022 na 2023. Mbali na Mahakama ya Wilaya ya Iringa kumuhukumu kifungo cha maisha Oktoba...
  3. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uzalendo ndani ya mtoto wa Tanzania

    Taasisi ya elimu ingeandaa masomo ya kizalendo kwa watoto sio ti stadi za kazi.Watoto wanabidi wafundishwe uzuri wa nchi yao na pia kupenda nchi yao maana ndio urithi wao ni kazi yao kuilinda. Jeshini zile siku za mwanzoni huwa wanafundishwa uzalendo nyimbo za uzalendo. Lakini kama mashuleni...
  4. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tule Mlo kamili na upimaji afya viwe ni vipaombele Kwa mtoto wa kesho

    Tukisema mtoto ni taifa la kesho iwe Ina maanisha Kwa vitendo Kwa wadau wazazi mpka serikali yenyewe. Ifike mahali wataalam waafya watoe masomo ya mlo kamili Kwa kina mama wajawazito wapo kliniki ili kutengeneza mtoto Bora wa kesho pia ni vizuri wataalam wa afya wakawaoa elimu mama wa jawazito...
  5. O

    JamiiForums Tanzania WATUHUMIWA WA MAUAJI YA MTOTO ASIMWE WAKIFIKISHWA MAHAKAMANI

    https://www.youtube.com/watch?v=Msu_70errXQ Credit: Millard Ayo
  6. JamiiForums Tanzania Said Tewa Mtoto wa Tewa Said Tewa Atembelea Maktaba

    SAID TEWA MTOTO WA TEWA SAID TEWA MUASISI WA TANU ATEMBELEA MAKTABA Leo ndugu yangu Said Tewa mtoto wa mmoja wa wazalendo 17 walioasisi TANU kanitembelea. Said tumekuwa pamoja Dar-es-Salaam lakini baadae Said alihamia Ulaya. Miaka mingi sasa yuko huko lakini huja nyumbani kusalimia. Kumuona...
  7. JamiiForums Tanzania Wazazi wa kiafrika wanaakili tofauti kabisa na wazazi wa kiyahudi kwenye suala la uchumi wa mtoto.

    Kitabu cha kiyahudi Tanakh au Miqra kinatoa siri kubwa kwa familia zao kuhusu Uchumi. Baba huwa anapoingia kutafuta huwa anatafuta kwa sio tu kwa ajili yake bali kwa ajili ya wajukuu na vitukuu. Anaandaa mifumo kuhakikisha anaacha utajiri mkubwa kwa ajili ya watoto na wajukuu. Mithali 13:22...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Kuwa na mtoto moja wakati wazazi wana uwezo wa kuongeza liwe kosa la jinai, ni kumnyanyasa mtoto kukosa ndugu + upweke

    Kuna wazazi huwa wanaamua kwa maksudi wawe na mtoto moja tu kwa sababu ya kuiga maisha ya utandawazi, kuogopa mimba itaingilia kazi zao maofisini, kukwepa gharama za kulea watoto, kutaka kumpa umakini / attention mtoto moja tu, n.k. mtoto anakuwa hana kaka wala dada. yupo peke yake, is it fair...
  9. JamiiForums Tanzania Bukoba: Kauli ya kanisa juu ya Padri anayedaiwa kuhusika kifo cha Mtoto mwenye Ualibino.

    kwa majibu wa taarifa iliyotolewea na msaidizi wa askofu samuel mchunguzi ni kuwa suala hilo nao wanashangaa na hawajui kama mtajwa ni padri wao la maana hawakuhusishwa au kuulizwa kabla ya kutoa taarifa hizo. mtazame kwa mjibu wa millardayo https://www.youtube.com/watch?v=Wo0HElBQcTs
  10. O

    JamiiForums Tanzania Aliyemuua mtoto wake kwa kutofanana naye ahukumiwa kunyongwa

    https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/aliyemuua-mtoto-wake-kwa-kutofanana-naye-ahukumiwa-kunyongwa-4663540 Credit: Mwananchi
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la mtoto albino Kagera, mheshimiwa Rais weka saini adhabu ya kifo

    Siku zote huwa nawaonea huruma sana wafungwa wanaponyongwa ila kwa hili la mtoto albino aliyeuawa na kukatwa viungo huruma imenitoka. Mheshimiwa Rais wakithibitika mahakamani ukiletewa karatasi weka saini wanyongwe. Kama sehemu tu ya huruma yangu naomba wasinyongwe kwa kamba. Kiti cha umeme...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Waliomuua yule mtoto albino wahasiwe haraka sana, hawana sifa ya kuitwa binadamu

    Huyu mtoto hadi mmekatisha uhai wake amewakosea nini jamani, hili jambo kila ninapofanya shughuli zangu linanijia, nimevaa uhusika kuwa yule ni binti yangu amefanyiwa unyama ule, niko katika hali gani. Kweli nyie mliofanya unyama na ukatili kiasi hicho mnastahili kuwepo duniani kweli? Huyu...
  13. JamiiForums Tanzania Kifo cha mtoto albino kinataka amri ya Rais sio masikitiko ya Rais

    Akiwa kwenye Kongamano la Maendeleo ya Habari, Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha masikitiko kutokana na kifo cha mtoto mwenye ulemavu wa ngozi kule Kagera. Rais ametaka watu waliokuwa kwenye kongamano wasimame na kumuombea. Hata hivyo hakutoa kauli ya kimamlaka kutaka waliohusika wakamatwe...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akisherehekea Siku ya Mtoto wa Afrika pamoja na wajukuu zake Ikulu Dar es Salaam

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Samia Suluhu Hassan akisherehekea Siku ya Mtoto wa Afrika akiwa pamoja na wajukuu, Ikulu jijini Dar es Salaam. Siku hii huadhimishwa Juni 16 ya kila mwaka. Katika kuadhimisha siku hii, Rais Samia amesisitiza umuhimu wa Serikali, familia na jamii...
  15. JamiiForums Tanzania Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Afrika

    Siku ya Mtoto wa Afrika huadhimishwa kila Mwaka ifikapo Juni 16 kuwakumbuka Watoto waliouawa na Serikali ya Kibaguzi huko Soweto Mwaka 1976 wakiwa katika Maandamano ya kudai Haki zao ikiwemo Haki ya kupata Elimu na kufundishwa kwa kutumia Lugha zao Asilia
  16. JamiiForums Tanzania Hii kali

    Picha ni Mwanandoa aliyezaa nje mtoto kisha hakumuoa huyo dada. Mwanamke aliyekua anamuoa alikuwa hajui kama ana mtoto nje. Siku ya harusi wakati wa kutoa zawadi, mwanamama aliweka mtoto kwenye beseni kama zawadi.
  17. L

    JamiiForums Tanzania Nimetukanwa matusi ya nguoni na mtoto wa shangazi yangu

    Kwema wandugu Kuishi na watu kazi sana, kuishi na ndugu kazi sana Huyu kijana wa shangazi yangu ni mhuni, mlevi, mvivu, si muwajibikaji na hana, nidhamu. Namgharamia kwa vingi, kuanzia kumlisha, mavazi, malazi na kadhalika Kazi nimemtafutia mimi, nilitumia jina langu apate kazi ingawa hakuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna ukweli kuwa mwanaume na mwanamke wenye damu zenye chaji tofauti +ve na -ve hawawezi kupata mtoto?

    Leo nimemsikia Mkuu wa kitengo cha damu salama wa hospitali moja ya serikali Dar es Salaam akisema ikiwa mwanaume ana damu +ve na mwanamke ana damu -ve (au vinginevyo) hawawezi kupata mtoto na kama wakipata mtoto atazaliwa akiwa na matatizo makubwa ya kiafya. Hivyo ameshauri kabla ya kuoana ni...
  19. JamiiForums Tanzania Ni lazima mtoto kusoma tution shuleni Kipindi hiki cha likizo?

    Kuna jirani yangu ametoka safari kumfata kijana wake Kipindi Cha likizo, amejikuta akilazimishwa na walimu kuwa mtoto aendelea na masomo Kipindi hiki cha likizo. Kwenu wadau, naombeni mwongozo kuwa kuna ulazima wa mtoto kusoma likizo shuleni?
  20. JamiiForums Tanzania Unalijua hili kuhusu mtoto wa Osama bin Laden

    Je wajua? Omar bin Laden, mtoto wa nne wa Osama bin Laden, ni msanii na mwandishi, na sanaa yake inaonyeshwa nchini Ufaransa, ambako anaishi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…