mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mwanamke wa Miaka 76 ajifungua Mtoto wa Kiume, Ethiopia

    Tukio la kushangaza limeripotiwa mjini Mekelle, makao makuu ya Jimbo la Tigray, Ethiopia, ambapo mwanamke mwenye umri wa miaka 76, Woizero Medhin, amejifungua mtoto wa kiume. Tukio hilo limetajwa na wengi kuwa la kimiujiza, likifananishwa na simulizi la kibiblia la Sara aliyejifungua akiwa na...
  2. JamiiForums Tanzania Naombeni majina mawili pacha ya kikristo la mtoto wa kiume na kike lianze na herufi "J" Liishie na "N"

    Habari ndugu zangu Wakuu naombeni majina ya kikristo mawili ya mapacha, mtoto wa kiume na kike lianze na herufi "J" na mwisho liishie na herufi sound " N" "Likianza na "Jo" lika sound mwisho "N" itakua unyama zaidi maana mbegu na mayai tumeunga j & n mwanzoni ningependa na watoto wa anze na...
  3. JamiiForums Tanzania Je, hili jina linafaa kwa mtoto wa kiume ?

    Ndugu zangu . Je, ni sahihi kumuita mtoto wa kiume "JOHAN" naombeni pia faida na hasara zake katika jamii?
  4. JamiiForums Tanzania Mzazi unapaswa kujali usalama wa mtoto wako

    Sikuhizi wazazi wamekuwa wavivu sana katika uangalizi wa watoto wao. Wazazi wanawaacha watoto wao wadogo wanavuka barabara kuu (high way) pekee yao wakati wa kwenda shule. Right Marker Dar es salaam
  5. JamiiForums Tanzania Naomba sababu ya Kiufundi na ya Kiutaalam kabisa kwanini huyu Nyoka HATARI hapa hakumuuma huyu Mtoto

    Na mkishaipata hiyo sababu Kubwa ndiyo mtajua na kuamini kuwa kwanini ukitaka Kubarikiwa haraka na Mwenyezi Mungu basi uwe unapenda mno kutoa Sadaka kwa Watoto kwani ile Asante yao / Shukran zao ni Baraka na Ulinzi tosha Kwako na Mimi kwa 90% ndiyo huwa nafanya kila Maulana / Mola akinijaalia...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kwa tabia za mapolisi wetu, ukimkuta mtoto aliepotea na anatafutwa upo tayari kutoa ushirikiano ?

    Umekuta mtaani mtoto aliepotea anatangazwa kutafutwa, unapiga simu kwa wazazi wake waje kumchukua. Mapolisi wanaenda kwa wazazi wanafatilia nani aliemrejesha, hata kama walifuta namba wanaweza kufuatilia kwenye mitandao. Shida inaanza wakianza upelelezi japo sio mapolisi wote
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Ulega Aguswa na Mtoto Mwenye Kipaji cha Ujenzi wa Barabara na Madaraja, Aahidi Kumsaidia

    WAZIRI ULEGA AGUSWA NA MTOTO MWENYE KIPAJI CHA UJENZI WA BARABARA NA MADARAJA, AAHIDI KUMSAIDIA Kufuatia video fupi iliyokuwa ikisambaa mitandaoni, ikimuonesha mtoto Riziwani Martin Asheri mwenye umri wa miaka 13, mkazi wa Kibaigwa mkoani Dodoma ambaye ana kipaji cha kujenga barabara na...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa taratibu za kuomba kujiunga na vyuo vya Elimu ya juu hapa Tanzania

    Heshima zenu Wasomi wa jukwaa hili. Naomba kuelekezwa hatua kwa hatua za kufuata kwa ajili ya ku apply kujiunga na vyuo vya Elimu ya juu hapa Tanzania,kwani nina mtoto wangu amemaliza kidato Cha sita mwaka huu wa 2025. Naileta kwenu hoja hii ili mnipe maelekezo na njia zinazotumika ku apply...
  9. JamiiForums Tanzania Kumbe kule gizani kulikuwa na giza lingine bila wao kujua sasa ni Mtu kati lazma akubali na kuna lingine zito zaidi linakuja vipi Mtoto wa mjini?

    Wakuu things are cottonfire the ground is hot,tutarajie something worst as soon as possible. siyo yeye tu anayetetemeka kwa presha na hasira kali habari ni kwamba ile press ya Slow Slow ni cha mtoto kuna mtu mzito anataka kuachia bomu na hapatakalika tena. unaambiwa hadi yule mtoto wa mjini...
  10. J

    JamiiForums Tanzania DIRA2050: Ifikapo 2050 huduma za afya zitapatikana kilometa sifuri toka kilometa tano za sasa | Hii itasaidia kuondoa vifo vya mama na mtoto

    == Kuelekea 2030 upatikanaji wa huduma za afya kuwa zero kilometa kutoka kilometa 5 ya sasa ambazo zimefikiwa chini ya Uongozi wa Rais Samia. Kufikia mwaka 2050 Dira ya maendeleo ya Taifa inatarajia kuwa na jamii yenye afya ambapo kila mtu anapata huduma za afya kwa usawa na kwa gharama nafuu...
  11. JamiiForums Tanzania The pain ya kusingiziwa mtoto wanawake acheni huu unyama

    Nikiwa kama victim wa kusingiziwa mtoto ambaye kwa mazingira asilimia mia moja sio wa kwangu nawaombeni sana dada zetu kuacha huu unyama.
  12. JamiiForums Tanzania Leo kijiweni : Mzee kasema mtoto akizaliwa katanguliza miguu huona wachawi

    Leo kijiweni naona walevi tu ndio wamekaa hakuna FACT kama jana. Mzee wa zamu leo kasema haya. KUNA UKWELI? Nimekaa na Wazee Apa Kijiweni Wanasema Mtoto Akizaliwa Ametanguliza Miguu Akija Kuwa Mtu Mzima Anakuwa na Uwezo Wa Kuona WACHAWI eti Kuna Ukweli hapa. NAOMBA KUJUA NDG WATANGULIZI
  13. JamiiForums Tanzania Kuna habari nzito inakuja hii ya polepole ni cha mtoto .!

    Wakuu mkae kwa kutulia , jamaa wa super black anaelekea kuuchochea moto
  14. B

    JamiiForums Tanzania Rafiki angu anaomba ushauri analipwa 1.5M, mchumba wake 4M anamwambia ndogo kwa matumizi ya mtoto wao?

    Dah majuzi kwenye mida yetu ya kupiga yetu ya kupiga bia mbili tatu mshikaji wangu akaanza kulia Mara paap akatoa Funda moja la chozi 🥶akapiga na yowe huku akisema Ila "hawa wanawake watatuua" Kuna kauli jamaa aliongea "Yani mwanamke ana mshahara mkubwa kuliko mimi lakini hajawahi changia...
  15. JamiiForums Tanzania Mtoto wa nyoka ni nyoka. Tazama picha.

    Watoto walimsalimia baba akiwa gerezani. Baba Alivyotoka, akajikuta anarudi tena gerezani ila mara hii kumsalimia mwanae.
  16. JamiiForums Tanzania Nilimuombea Mama huyu apate mtoto wa kiume - amepata!

    Wakuu, sikilizeni habari hii ya ajabu! Ni habari ya mama mmoja ambaye kila alipopata ujauzito, alizaa mtoto wa kike. Mara ya kwanza, mara ya pili, mara ya tatu - wote wa kike. Alifurahi kuwapata hao, na aliwalea kwa upendo. Hata hivyo moyoni alitamani apate na wa kiume. Kwa imani, nilianza...
  17. JamiiForums Tanzania U busy na simu unafanya wamama wanaolea wasiweke umakini kumtazama mtoto

    WTF ! Wanawake siku hizi pasua unakuta mdada analea mtoto muda wote busy na simu ku chart online hana muda wakuweka umakini kwa mtoto matoke yake mtoto anapata madhara kwa uzembe wa mama kuendekeza mitandao zaidi
  18. JamiiForums Tanzania Utata mkubwa wazunguka KIFO Cha Mtoto wa JB MPIANA Oceane aliefariki kwa ajali

    Mwanamuziki nguli na mkongwe wa DRC wale wapenzi wa muziki ya Congo , rhumba , soukouss, n k watakua sio jina geni kwao, JB MPIANA , akiwa mapumzikoni South Africa, alitaarifiwa juu ya kifo cha Binti yake Océane kutokana na ajali ya gari. Océane alikua na mazoea yakwenda mara kwa mara...
  19. JamiiForums Tanzania Kama unamtetea pedophile kisa tu anashiriki dini moja na wewe kwanini uumie siku ukijua mgeni wako au uncle wake wa shuleni anarubuni mtoto wako?

    Kama utaweza kufanya upumbavu na unyama wa aina hii kwa kisingizio cha jadi ya dini au mara oooh sijui nani nani tunaemuheshimu alifanya then unastahili kibaya chochote kile kikutokee maishani mwako. Naeelewa hatuko perfect ila kwenda kurubuni mtoto mdogo wa kike miaka 6, 12, 9, 10, 8 wewe ni...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kuzaa mtoto wa nje, mke wangu anaharibu watoto kwa kigezo cha "upendo"

    Mimi na mke wangu tumebarikiwa kuwa na mtoto mmoja, ana miaka 6 mpaka sasa Tatizo la huyu mtoto ni mtoto ambaye hana uvumilivu, akitaka kitu fulani ni lazima mama yake ampe la sivyo atakuwa analia mpaka akipate, akipewa chakula fulani asipokipenda itabidi mana yake ampikie kingine au mkamnunulie...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…