mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. Watanzania wako tayari kuchangia harusi, sio gharama za matibabu ya Mtoto - Dtk. Mollel

    Serikali imetoa wito kwa wananchi kubadilika na kuwekeza katika bima ya afya kama njia ya kujiandaa na changamoto za kiafya, ikiwemo gharama kubwa za matibabu ya magonjwa kama saratani. Wito huo umetolewa Bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, alipokuwa akijibu swali...
  2. Raha ya kuzaa na pisi kali, uhusiano unakuwa unadumu kutokana na mtoto

    Wakuu habari, Katika ujana wangu niliweza kuzaa na pisi kali watatu, na mwingine wa nne ni wakawaida. Kutokana na kuzaa nao watoto wazuri, mawasiliano yamekuwa ni ya mara kwa mara, hasa kwenye kujuliana hali pamoja na kuchangia maendeleo ya huo uzao wetu; ingawa wao hawafahamiani. Kwa sasa...
  3. Dr. Tulia anasema vijana wajitokeze kuyasema mazuri ya serikali; anasahau Baba ukishatoa kafara mtoto mmoja kisa utajiri mazuri yote hufutika.

    Mpo salama! Ukishatafuta utajiri wa kafara, ukamtoa Mke au mtoto mmoja na watu wakajua na watoto waliobakia. Hata uwajengee watoto ghorofa, uwanunulie Range Rover, au ukawasomeshe Marekani. Kamwe hawatakutaja kama Baba Bora, wala hautasifiwa kwa lolote zuri. Hakuna Jambo kubwa kwenye maisha...
  4. Nampongeza mzazi aliyemfuata mtoto wake shule na HELIKOPTA. Ni matumizi sahihi ya Utajiri

    Nimeona video moja, mzazi ametuma HELIKOPTA kwenda kuchukua mtoto mwanafunzi shuleni huko bukoba baada ya shule kufungwa. Jamaa simfahamu ila nampa pongezi sana maana ndio matumizi halali ya Pesa . Huwezi KUWA na pesa mingi alafu uzao wako unaishi kifukara KWA hofu kwamba watabweteka kimaisha...
  5. Mtoto mwendawazimu hapaswi kupewa urithi. Familia inaweza kukodi mgeni aje atawale watoto mpaka watakapojitambua

    Baba na mama wakipata ajali wakafa au wakafa kwa maradhi huku watoto wao 6 ni watano wadogo na mkubwa mwendawazimu ili kulinda mali yule mwendawazimu akaropoka Mimi siwezi kuongoza aje jirani aongoze wakikua hawa wadogo zangu watachukua mali za baba. Akarudia tena " Mimi siwezi" Jirani akaja...
  6. Nifanyeje nipo KATAA NDOA lakini nataka mtoto nianzie wapi?

    Za ijumaa wakuu, Mimi ni mwanaume mtu mzima wa 35 namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa uwezo na hekima ya kuyakimbia mahusiano na mapenzi kwa ujumla toka nizaliwe Kwanza, Changamoto yangu kuu ni kwamba nimefika umri wa kuwa na mtoto lakini bado sina na hii inatokana na kwamba sina circle au...
  7. Mzazi amka: Mlee mtoto kwa kuzingatia nuru iliyomo ndani yake,na na si kwa mazoea ya jamii

    Na Astrosecrets Tz Mtoto ni baraka mtoto ni nuru mtoto si uwanja wa mashindano ya mitihani wala si kigezo cha kutimiza ndoto zako zilizofeli. Mtoto wako ni nafasi mpya ya mwanga kuja duniani, na kila mmoja huja na ramani yake ya ndani ambayo inafichwa kwenye Tarehe ya kuzaliwa (Numerolojia)...
  8. W

    Ni hatua zipi nazotakiwa kuzifuata nikihitaji kuasili (Adopt) mtoto wa kiarabu ?

    Tayari nina mtoto wa kiume niliye adopt 2016 akiwa na miaka mitatu ila ilikuwa kwa njia za kienyeji. watoto wetu mimi na wife tunao watatu hadi sasa, malengo wawe wanne, waku adopt tunahitaji kuongeza wa ziada. Ni jambo la kawaida sana kwa watu wa nje ku adopt waafrika hivyo na sisi tunahitaji...
  9. KENYA: Mchungaji achomwa moto na Wananchi kwa kosa la Kumlawiti Mtoto

    Mchungaji huko Nyeri anayeshutumiwa kumbaka mvulana wa miaka tisa ameuliwa na wanakijiji wenye hasira. Simon Ndegwa, ambaye alikuwa mchungaji katika kanisa la True Disciple Ministry na anayefahamika vizuri na familia ya mvulana huyo, anashukiwa kufanya kitendo hicho cha kinyama kwa wavulana...
  10. R

    Tafakari: Taifa linaloendeshwa kwa ujana wa bandiko na umbea—tumwangalie mtoto wa 2050

    Katika enzi hii ya kidigitali, tunashuhudia namna baadhi ya mataifa yanavyoweza kuendeshwa kwa mbinu nyepesi lakini hatarishi kwa mustakabali wake. Kinachohitajika ni kuhakikisha raia wana bando—ndiyo, intaneti—hata kama ni ya gharama kubwa. Wananchi wakishakuwa hewani, basi hupewa ‘connection’...
  11. Kwa zama hizi tulizopo urithi wa mashamba na mifugo umeshapitwa na wakati , kwa sasa mtoto wako kama hajui teknolojia ataendelea kuwa mtumwa .!

    Dunia ya Leo wanaomiliki bidhaa za kiteknolojia ndo wanamiliki ukwasi. MTU Kama mirradayo , diamond n.k Max Melo Ili uwafikie sijui unabidi ufuge mbuzi wa ngapi na ulime heka ngapi Dunia inashuhudia economic transformation kubwa Sana.
  12. S

    Tatizo la mtoto mdogo kukoroma na kuzungusha macho

    Habari za wakati huu wana jamvi. Naomba kujua je mtoto huyu ana changamoto gani na ni nini tiba yake? Kuna mtoto wa mjomba wangu kwa sasa ana umri wa miaka miwili na nusu. Mtoto huyu tangu azaliwe amekuwa na changamoto ya kukoroma muda wote na kutoa milio kama vile pua zake zimeziba, kwa kifupi...
  13. Profesa Mkenda: Mtoto wa waziri kupata mkopo wa elimu ni wizi

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda, amesema mtoto wa waziri au katibu mkuu wa wizara kupata mkopo unaotolewa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu ni wizi kwakua kitendo hicho kinawanyima fursa wanaostahili. Prof...
  14. Abbas Tarimba, wewe uko tayari mtoto wako afe badala ya mtoto wa boss wako?

    "Mtu anatolea mfano mtoto kipenzi wa rais et akitobolewa macho itakuwaje? Huu ni utovu mkubwa wa nidhamu anajua uchungu wa kulea kweli? Nashauri chama changu kimuite kamati ya maadili achukuliwe hatua hatuwezi kuwa na mtu ana kadi ya chama halafu anatusumbua"_kauli ya mbunge wa jimbo la...
  15. Mzee Mwinyi Alishuhudia Fainali, Simba ikatuaibisha, Mtoto wa Mzee Mwinyi ameshuhudia yaleyale

    Uzi huu ni kumbukizi ya historia na hauhusiani na uzi wa matokeo ya leo. Mnakumbuka ule msemo wa kichwa cha mwendawazimu? Basi hilo jina walipewa makolo baada ya kudufuliwa na kutolewa wakiwa kwao kwenye fainali ambayo wao hulazimisha kuiita shirikisho. Shuhuda wa aibu hiyo alikuwa rais...
  16. W

    iPhone ni kama mkoba wa Gucci au Luis Vuitton wenye buku jero ndani. Ni muonekano tu lakini unabanwa matumizi, Sijutii kuhamia Android

    Nimezitumia Iphone kwa mudamrefu, nilikuwa sisikii wala sioni simu nyingine nje ya iphone, ila baada ya kuhamia android sijioni kabisa nikirudi nilikotoka. Simu za android hapa nazoziongelea ni zile topbrand Samsung, Google Pixe, One Pus, Xiaomi, Mitandao ya simu inakubana ukitumia Iphone...
  17. Je, Naweza kuchagua jinsia ya mtoto kabla sijamzaa.

    Hamjambo 👋🏽 👋🏽 Mimi ni mwanamume. Wajuzi wa jambo hili naomba mnipe mbinu ya namna ya kufanya. Maana nahitaji uzao wangu uwe Y, X, Y, X mpaka mwisho, ila mtoto wangu wa kwanza awe wa kiume.
  18. Kati ya Mzazi na mtoto Nani anatakiwa kumfafuta Mwenzake?

    KATI YA MZAZI NA MTOTO NANI ANATAKIWA KUMFAFUTA MWENZAKE? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Baadhi ya wadau walinipigia simu katika nyakati tofautitofauti wakiwa na visa binafsi tofautitofauti. Waliniuliza, swali hili; Kati ya mzazi na Mtoto Nani anatakiwa kumtafuta Mwenzake? Swali Hilo...
  19. Tanzania tujifunze kwa Finland kuhusu haki Sawa na Maisha ya Kazi, Serikali inalipa posho ya uzazi hadi mtoto akitimiza umri wa mwaka mmoja

    Wakuu, Karibuni tufahamu kwa uchache kuhusu nchi ya Finland kuhusu usawa wa haki na maisha ya kazi. Nchi hii imekuwa kinara wa usawa wa kijinsia kwa muda mrefu. Wafinlandi wamezoea kuwaona wanawake wakiwa katika nyadhifa za juu serikalini, katika sekta ya biashara, na hata kanisani. Mfumo...
  20. Mkasa wa jamaa yangu kuhusu mtoto

    Habarini wadau, ningependa kushare na nyinyi humu jf kuhusiana na mkasa wa rafiki yangu ambaye sasa hivi yupo kama haelewi.Alikuwa na mahusiano na binti mmoja hivi kwa miaka kama miwili iliyopita, baadae mahusiano yakawa yameisha. Amekaa baada ya miezi 8 ya mahusiano yao kuisha, yule mwanamke...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…