mto

Mto wa Mbu is an administrative ward in the Monduli district of the Arusha Region of Tanzania. According to the 2012 census, the ward had a total population of 11,405. The name Mto wa Mbu means " Mosquitoes' River ". Mto wa Mbu has an area of 3,600 square kilometres (1,400 sq mi) of which 1,800 square kilometres (690 sq mi) is for cultivation.
Mto wa Mbu is estimated to be in the midway between the neighbouring Karatu and Makuyuni towns. It is one of the towns in the rift valley in the northern part of Tanzania. It close to lake Manyara and Manyara national park. The town of Mto wa Mbu features lodges, rest houses and camp sites for tourists who visit Lake Manyara and Manyara national park.
Banana is the common and largest agricultural product in the town and the surrounding area.
Mto wa Mbu is can be reached by driving from Arusha. It is approximately 112 km from Arusha city and the road is well repaired with tarmac. Tourists vehicles from Arusha, Nairobi, Moshi and Babati always passes through this town on the way to Ngorongoro crater and Serengeti national park.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania John Heche: Tunaongozwa na watu waliokosa maarifa

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema Serikali ya CCM inaongozwa na watu waliokosa maarifa badala yake wamebaki kutishia wapinzani na kufungua mitandao ya kijamii. Ameyasema hayo Agosti 12 katika maadhimisho ya vijana kimataifa yaliyofanywa na chama hicho jijini Dodoma.
  2. JamiiForums Tanzania Serikali imetenga Sh. Bilioni 1.2 kujenga daraja la kisasa la chuma (Mita 30) katika Mto Nyameni, Kata ya Ulaya - Kilosa

    Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa wameelezwa kuwa watanufaika na Shilingi Bilioni 1.2 zilizotolewa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu kwa ajili ya ujenzi wa daraja la kisasa la chuma lenye urefu wa Mita 30 katika Mto Nyameni, Kata ya Ulaya, mradi...
  3. JamiiForums Tanzania Wakati Ethiopia ikijipanga kujenga mabwawa mengine ya umeme mto Nile, Egypt imeanza kutapatapa kwa Kutishia Haitaruhusu ujenzi mwingine

    My Take Naunga mkono msimamo wa Ethiopia kutumia Rasilimali zake. ------------ Waziri wa Rasilimali Maji na Umwagiliaji wa Misri, Hani Sewilam, ametangaza kuwa nchi yake haitairuhusu Ethiopia kujenga mabwawa mapya kwenye Mto Nile. Sewilam ametoa kauli hiyo Agosti 4, 2026, wakati wa mkutano na...
  4. V

    JamiiForums Tanzania Tiba ya macho ya majani yanayoota pembezoni mwa mto

    Kama kichwa cha habari hapo juu. Kuna rafikiangu kwa sasa ni marehemu alikuwa anasaidia yoyote mwenye tatizo la macho,hasa ile hali ya mtoto wa jicho au hata jicho linaloanza kuwa na uoni hafifu au kuwa kama na ukungu hivi. Huyu jamaa yangu marehemu alikuwa anachuma majani fulani mabichi...
  5. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sakaja Apanga Karakana ya Kisasa kwa Mafundi Wanaoathiriwa na Ukarabati wa Mto Nairobi

    Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja ametangaza mipango ya kujenga karakana ya kisasa itakayowahudumia mafundi wa magari wanaoathiriwa na mpango wa ukarabati wa Mto Nairobi. Kituo hicho kipya kinatarajiwa kuwa na uwezo wa kuhudumia hadi magari 1,200 na kitakuwa na huduma mbalimbali, zikiwemo vyumba...
  6. U

    JamiiForums Tanzania BILL CLINTON Aliwapa Wapalestina ardhi yote ya GAZA na asilimia 97 ya Ukingo wa Magharibi lakini hawakutaka kuwa na nchi yao bali kuua Wayahudi!

    RAIS WA ZAMANI WA MAREKANI BILL CLINTON ADAI KUWA Aliwapa Wapalestina ardhi yote ya GAZA na asilimia 97 ya Ukingo wa Magharibi wa mto Jordani (West Bank) lakini kiuhalisia Wapalestina hawakutaka kabisa kuwa na nchi yao wenyewe bali walichokitaka ni kuendelea kuua wayahudi
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Goba Center karibu na Shule ya Living Minds ikinyesha mvua Mtaa unageuka kuwa Mto

    Msimu huu wa mvua sisi wakazi wa Goba tumekutana na changamoto kubwa ya ubovu wa miundombinu. Mtaa wa Bonde kati ya Shule ya Living Minds/Kanisa la RGC na Matosa umeharibika kabisa, magari ya shule asubuhi yanapata changamoto kupita, watembea miguu wanazama matopeni na bajaji hazipiti kabisa...
  8. JamiiForums Tanzania Mto wami kujengwe bwawa la umeme na kwa matumizi ya viwanda na wananchi

    Moja ya mambo ambayo ni muhimu ni kuhakikisha mto wami unajengwa bwawa mfano wa lile la Nyerere Hii inawezekana sababu bonde la mto wami ni kubwa sana na liko under-utilized na bwawa likikamilika litakuwa na faida kubwa sana Litazalisha umeme Litaondoa kero ya maji wilaya ya chalinze, handeni...
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta Mashamba karibu na mto, ziwa au bwawa lisilokauka mwaka mzima, kuanzia hekari 5-40

    Habari wadau usikeni na kichwa cha thread hapo juu , nahitaji shamba kwa ajili ya ufugaji na kilimo lenye chanzo cha maji cha uhakika mwaka mzima , lenye ukubwa wa heka 5 mpaka 40 , liwe mkoa wowote lakini ikiwa mikoa ifuatayo itapendeza zaidi : RUVUMA , IRINGA , SONGWE , MOROGORO Nawasilisha
  10. JamiiForums Tanzania Simba anapokutana na Kiboko kwenye mto (AJ vs Jake Paul)

    Ndondi ni mchezo mzuri sana kama hakuna ndugu yako ulingoni ila kama kuna ndugu yako basi si burudani ya mzaha; ni mchezo unaobeba hatari inayoweza kubadilisha historia ya maisha ya mtu kwa sekunde chache. Uliza familia ya Marehemu Hiromasa au familia ya Segun Olanrewaju ambao walikata moto...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kama Mto Wami ukijengewa bwawa kubwa la Maji,Dar haiwezikujitosheleza kwa maji?

    Hili ni wazo langu kama mto Rufiji ulivyojengewa bwawa,hawawezi kuujengea na Mto Wami bwawa ili uweze kuhifadhi maji kipindi chote cha masika kuliko kuacha maji ya mvua yakipotelea baharini? Nawakilisha,ikiwezekana hata maji ya mto Jangwani nayo yajengewe bwawa
  12. JamiiForums Tanzania Mto Mara na Chumvi

    Hizi ni kingo za Mto Mara (Rorya). Ukiupita Mto Mara hutajua kuwa unaweza kuua bustani ya mtu. Huu weupe ni Chumvi. Chumvi hii inabebwa na mto toka unakoanzia hadi ziwa Victoria. Kutumia maji haya kwa kilimo kama bustani inabidi kuchukua tahadhari ya kupambana na maji haya vinginevyo...
  13. JamiiForums Tanzania Mnao lala bila mto pillow mna wezaje?

    Mimi binafsi siwez lala bila mto Siwezi lala uchi yaan mali zangu ziwe naked kabisa siwez lazima nilale na bukta au pensi Siwez lala taa ina waka Siwezi lala mwanzoni mwa kitanda lazima nianguke Siwez lala uku mziki una imba no Ninyi wengine mna wezaje?
  14. JamiiForums Tanzania Watanzania mnaoishi ughaibuni msitukane mamba kabla hamjavuka mto, Kuna siku mtatimuliwa huko ughaibuni

    Nyie Watanzania wenzangu mnaopotosha umma mkiwa ughaibuni jueni kuwa sera za kimataifa kila siku huwa zinabadilika ipo siku mtarudishwa nchini kwa lazima, Amani yetu ni mhimu sana, tumeikuta amani tumezaliwa kwenye amani ndo maana tupo hai mpaka Leo, wewe kwenda kanada au Marekan usiwe ndo...
  15. JamiiForums Tanzania KERO Uchafuzi wa Mto Matarawe, Manispaa ya Songea Mjini: bomu la kimyakimya

    Utupaji hovyo wa taka kando ya Mto Matarawe umekuwa tatizo kubwa linalozidi kushamiri kila siku. Wananchi wanaoishi karibu na mto huo wamegeuza kingo za mto kuwa sehemu ya kutupia taka ngumu, taka za nyumbani, plastiki, mabaki ya chakula na hata vinyesi. Tabia hii si tu inaharibu mandhari ya...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali irudishe baadhi ya maeneo ya bonde la mto Kilombero kwa wananchi kuwanasuru wananchi hao na wimbi la umasikini.

    Hali ilivyo katika maeneo mengi ya bonde la Kilombero ni ya kusikitisha sana. Maeneo karibia yote yaliyokuwa yakitumika kwa shughuli za kilimo yamechukuliwa na serikali kwa kigezo cha kuhifadhi ardhi oevu na pia kuhakikisha mradi wa umeme wa bwawa la mwalimiu Nyerere una sustainability...
  17. JamiiForums Tanzania Fun fact: Unaufahamu mto meander?

    Huko Uturuki Kuna mto uliojipindapinda unaoitwa mto meander. Kutokana na mto huu kujipindapinda mito ndiyo kukaitwa meandering.
  18. JamiiForums Tanzania Nimejishangaa sana kuchelewa tambua Umuhimu wa Mto katika kumpa mwanamume muingilio mwarara

    Yani huu mto Niko nao hapa kila siku. Sikujua utumia. Haki Mapenzi ni Ubunifu. Sikuwahi jaribu hili... Hivi kumbe mwanamke anaweza banikwa zaidi ya kuku..!!!?? Ehh!!
  19. JamiiForums Tanzania KERO Ubovu wa barabara na kukosa daraja Mto Mpiji kati ya Kibamba kibwegere na Lumumba kwa mazengo

    Barabara ya Maili moja(Loliondo) mpaka Lumumba kwa mazengo haipitiki na kizungumkuti. Kwa miaka mingi sasa barabara hii haipitiki licha ya kuongezeka sana kwa wananchi wanaotumia njia hii kwenda kufanya shuguli zao za kiuchumi..Ni bara bara yenye asili ya tope tupu la mfinyazi iwapo mvua...
  20. JamiiForums Tanzania Fatma Mwassa: Ifanyike tathimini waliojenga eneo la Mto Kanoni (Bukoba). Inadaiwa wamepelekea ujenzi wa daraja kusuasua

    Ikiwa imepita miezi minne tokea Mwanachama wa JamiiForums.com adai kwamba kuna ujenzi holela wa 'Night Club & Bar' ambapo alidai sehemu ya miundombinu yake imejengwa kwenye eneo la Hifadhi ya Mto Kanoni, Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Fatma Mwassa amefanya ziara eneo hilo akiwa na wataalamu wa mipango...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…